MDAU MWAKILASA WA DIASPORA ANADI ORGANOGOLD KATIKA MAONESHO YA SABASABA DAR ES SALAAM
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziTaswira mbalimbali katika maonesho ya SabaSaba jijini Dar es salaam leo
Banda la Umoja wa Mataifa katika Maonesho ya SabaSaba jijini Dar es salaam Kijana majasiriamali akionesha kazi zake kwa waliotembelea banda la Umoja wa Mataifa kwenye Maonesho ya SabaSaba. Yeye ni mmoja kati ya vijana wengi wanaofadhiliwa na Umoja wa Mataifa katika mafunzo ya ujasiriamali kufuatia mpango wa Umoja huo wa kuendeleza watoto, vijana na kinamama Mkurugenzi wa mipango na mahusiano wa TIB Development Bank Bw. Jaffer S. Machano (mwenye miwani) akiwa na wafanyakazi wenzie wa benki...
10 years ago
MichuziAICC YASHIRIKI MAONESHO YA 39 YA KIMATAIFA YA BIASHARA YA DAR ES SALAAM (SABASABA)
Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) kimeshiriki maonesho ya 39 ya kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba) ili kuelezea umma juu ya shughuli zake mbalimbali ikiwemo masuala ya uendeshaji wa mikutano. AICC ilielezea pia uwepo wa kituo chake cha Mikutano kwa Mkoa wa Dar es Salaam kijulikanacho kama Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC) chenye kumbi zenye uwezo wa kuhudumia wageni 10-1000. Mbali na masuala ya mikutano AICC pia iliweza kuwaelezea wadau...
11 years ago
MichuziMama Salma Kikwete atembelea maonesho ya sabasaba jijini Dar es salaam leo
Mama Salma Kikwete (katikati mwenye kitenge)akitembelea leo maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya sabasaba jijini Dares Salaam.Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema. Mama Salma Kikwete (katikati mwenye kitenge)akipata maelezo leo kuhusu bidhaa mbalimbali kutoka kwa Bi mkubwa Juma kwenye banda la Zanzibar katika maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya sabasaba jijini Dares Salaam.Kushoto ni Mkuu wa...
11 years ago
GPLMATAIFA 31 KUSHIRIKI MAONESHO YA 38 YA BIASHARA YA KIMATAIFA DAR ES SALAAM (MAARUFU KAMA SABASABA)
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Jacquiline Maleko, akizungumza na waandishi wa haabari kuhusiana na kuingia Ubia na kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom, Kama mdhamini Mkuu wa Mawasiliano wakati wa maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam yatakayo anza 28 juni na kumalizika julai 8 mwaka huu. Kulia ni Mkuu wa Idara ya Mawasiliano na Masoko wa Vodacom Tanzania, Kelvin...
10 years ago
Michuzi17 Dec
MAONESHO YA KIMATAIFA YA ELIMU YAANZA LEO VIWANJA VYA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM
Mkurugenzi Mtendaji wa Uwakala wa Vyuo kutoka Nje Global Education Link Bw. Abdulmalik Mollel (Wa pili kutoka kulia) akiwaonyesha ramani ya maonyesho ya Kimataifa ya Elimu kwa wadau wa Elimu waliojitokeza kushiriki maonyesho yanayoanza Leo Desemba 17-21, 2014 katika viwanja Mwalimu Julius Kambarage Nyerere vilivyoko Sabasaba jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi Mtendaji wa Uwakala wa Vyuo kutoka Nje Global Education Link Bw. Abdulmalik Mollel akielezea maonyesho ya Kimataifa ya Elimu yanayoanza...
5 years ago
MichuziMAONESHO YA 44 YA KIMATAIFA YA BIASHARA YA DAR ES SALAAM (44th DITF) KUANZA JULAI 1 – 13, 2020 KATIKA UWANJA WA MAONESHO WA MWL. J.K. NYERERE
Wizara ya Viwanda na Biashara kupitia Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) inapenda kuwataarifu Taasisi za Umma, Sekta Binafsi, Jumuiya za Wafanyabiashara na Wananchi wote kwa ujumla kuwa inaendelea na maandalizi ya Maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam yanayotarajiwa kuanza tarehe 1 hadi 13 Julai, 2020 katika Uwanja wa Maonesho wa Mwl. J. K. Nyerere, Barabara ya Kilwa, Dar es Salaam.
Lengo la Maonesho haya ni kutoa fursa ya kutafuta masoko ya...
Lengo la Maonesho haya ni kutoa fursa ya kutafuta masoko ya...
10 years ago
GPLTASWIRA YA UZINDUZI RASMI WA MAONESHO YA 39 YA BIASHARA YA KIMATAIFA KATIKA VIWANJA VYA SABASABA DAR
Vijana wa Scout walivyokuwa wamepanga kwa ajili ya kumpokea Rais Jakaya Kikwete. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick akishuka katika viwanja vya Sabasaba jana. Lango kuu la kuingia kwenye ukumbi uliokuwa umeandaliwa maalum kwa mgeni rasmi. Baadhi ya watu waliofurika katika viwanja hivyo.…
11 years ago
MichuziPSPF katika maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam a.k.a Sabasaba
Wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, hupata fursa ya kujionea na kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo kujua fursa ya kujipatia mikopo ya nyumba kama huyu (Kushoto), aliyetembelea banda la PSPF lililoko kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, viwanja vya Mwalimu Nyerere, jijini. Afisa wa PSPF, (Kushoto), akimpatia maelzo ya kina mwanachama huyu aliyefika kwenye banda hilo. Mwanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, (Kushoto), akiuliza maswali huku Afisa Masoko wa...
9 years ago
MichuziJK katika hafla ya kongamano la pili la Diaspora jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin wakati alipowasili hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo kuhudhuria hafla ya Kongamano la pili la Diaspora. Kushoto mwenye kanzu ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya AICCRais Kikwete akiwa meza kuu na viongozi wengine katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora. Wengine kutoka kulia ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania