TBL wataka Stars isibweteke
MENEJA wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Pamela Kikuli ambaye bia hiyo inadhamini timu ya Taifa (Taifa Stars), amesema kiwango kilichooneshwa na timu katika mechi dhidi ya Nigeria ya kufuzu kucheza AFCON 2017, kinatia moyo na endapo wachezaji wataendelea hivi, watafika mbali.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi25 Oct
Udhamini TBL, bakuli la kamati Stars!
Hiki ni kichekesho cha aina yake, kwamba licha ya kamati ya ushindi ya Taifa Stars kuwataka Watanzania waichangie timu hiyo, Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) imekuwa ikitoa Dola 2 milioni kila mwaka (zaidi ya Sh4 bilioni) kwa ajili ya kuidhamini timu hiyo.
10 years ago
Mwananchi14 Nov
Young Stars, Prisons usoni kwa JKT Stars, Savio
JKT Stars na Savio, leo zinatarajiwa kuwa na kibarua kigumu katika Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Azam RBA zitakapocheza na timu chipukizi za DB Young Stars na Tz-Prisons kwenye Uwanja wa Ndani wa Taifa, Dar es Salaam.
10 years ago
VijimamboMECHI YA STARS UNITED NA ALL AFRICAN STARS MPAKA DAKIKA 90 MAMBO NI 5-5
Kutoka kushoto ni Dallah , Mundo na Ediga wachezaji wa Stars United wakitafakali jambo kabla ya mechi
10 years ago
VijimamboSTARS UNITED YALAZIMISHWA SARE YA BAO 5-5 NA ALL AFRICAN STARS YA ATALANTA
Na Mwandishi wetu Atlanta, GATimu Stars United inayoundwa na nyota kutoka majimbo mbalimbali nchini Marekani siku ya Jumamosi Aug 1, 2015 katika kiwanja cha nyasi za bandia cha Hammond Dr kilichopo mji wa Sandy Spring jijini Atlanta jimbo la Georgia, ililazimishwa sare ya bao 5-5 katika mchezo mkali na wa kusisimua zidi ya timu mchanganyiko iliyoundwa na wachezaji wa mataifa ya Afrika...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-f3jkeDuWU-M/U10mJFyzBBI/AAAAAAAFdgg/EuM-SRGDdWI/s72-c/Tanzania-Mart-Nooij-300.jpg)
KOCHA MPYA WA TAIFA STARS AONGEZA WACHEZAJI TISA STARS
![](http://2.bp.blogspot.com/-f3jkeDuWU-M/U10mJFyzBBI/AAAAAAAFdgg/EuM-SRGDdWI/s1600/Tanzania-Mart-Nooij-300.jpg)
Wachezaji walioongezwa ni Edward Charles Manyama (JKT Ruvu), Elias Maguli (Ruvu Shooting), Hassan Dilunga (Yanga), Hussein Javu (Yanga), John Bocco (Azam), Kelvin Friday (Azam), Oscar Joshua (Yanga), Nadir Haroub (Yanga) na Shomari Kapombe (AC Cannes, Ufaransa).
Naye beki...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BpcxhYIbWSbLLGO3dMemxhzCxjZITc88re1H1*3Zi1tqEKgZAICAsKI6OaSRZtLhUbz18rENtlbkeDZgTF6EcOl5iBAFelJ4/kilistars.jpg)
KILI STARS YAONDOLEWA CHALENJI, YAPIGWA NA HARAMBEE STARS 1-0
Kikosi cha Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars'. TIMU ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' imeondolewa kwenye michuano ya Kombe la Chalenji inayoendelea nchini Kenya baada ya kufungwa na timu ya Taifa ya Kenya 'Harambee Stars' bao1-0 katika mechi iliyomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Nyayo uliopo jijini Nairobi!
9 years ago
BBCSwahili18 Nov
Taifa stars, Harambee Stars hoi
Michezo ya awali ya kusaka tiketi ya kushiriki kombe la dunia nchini Urusi 2018 ukanda wa Afrika, zimepigwa usiku wa kuamka leo
9 years ago
VijimamboSTARS UNITED YAFUNGWA 6-1 NA DURHAM ALL STARS
Timu ya Stars United inayoundwa na wachezaji mchanganyiko kutoka majimbo tofauti nchini Marekani ambao pia ndio mabigwa wa kombe la Afrika Mashariki, siku ya Jumamosi Octoba 10, 2015 ilipata kichapo cha goli 6-1 kutoka kwa timu inayoundwa na wachezaji mchanganyiko wa Durham, Durham All Stars katika mechi iliyochezwa katika uwanja wa South Durham uliopo Durham, NC.
Katika...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania