RT yasaka Sh9 milioni kulipa deni la tiketi
Licha ya kuingia kwenye 10 bora ya riadha duniani, Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) linahaha kusaka Dola 5904 (sawa na Sh 9, 446, 400) kulipia deni la tiketi za wanariadha walioiwakilisha nchi kwenye mbio za dunia za nyika.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili09 Apr
Ugiriki kulipa deni la dola milioni 450
9 years ago
Mwananchi08 Dec
USAJILI: Simba yasaka tiketi ya CAF
10 years ago
Mwananchi15 Feb
Watanzania wasaka Sh9 milioni leo
10 years ago
BBCSwahili01 Jul
Ugiriki yashindwa kulipa deni la IMF
10 years ago
BBCSwahili05 Jun
Ugiriki kuchelewa kulipa deni IMF
10 years ago
Uhuru Newspaper13 Nov
Serikali kulipa deni la watumishi wa umma
WATUMISHI wa Umma wanaidai serikali zaidi ya sh. bilioni nane, ikiwa ni malimbikizo ya madeni.
Hata hivyo, serikali imesema kiasi hicho ni kidogo ikilinganishwa na madai yaliyokuwepo awali, ambapo watumishi walikuwa wakiidai serikali fedha nyingi.
Hayo yameelezwa bungeni jana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma), Celina Kombani, ambapo alisema jitihada zinaendelea kufanywa ili kumaliza deni hilo.
Alikuwa akijibu swali la Masoud Abdalla Salim (Mtambile- CUF), ambaye...
10 years ago
Tanzania Daima05 Nov
Serikali iharakishe kulipa deni la MSD
MOJA ya taarifa iliyopo katika gazeti hili ni ile ya mbunge wa Kisesa, Luaga Mpina (CCM), kuutaka mkutano wa Bunge unaoendelea mjini Dodoma, uahirishwe ili fedha zitakazookolewa, zikalipie deni la...
11 years ago
Tanzania Daima15 Jun
Tunashangaa wizi IPTL? Tujiandae kulipa deni
HIVI karibuni umefichuliwa ufisadi mkubwa wa dola za Marekani milioni 122 sawa na sh bilioni 200 unaodaiwa kufanywa na vigogo wa serikali. Msusuru mrefu wa majina ya viongozi na watendaji...
11 years ago
Tanzania Daima12 Jun
Mbunge: Mgodi Bulyanhulu ushinikizwe kulipa deni
SERIKALI imetakiwa kufanya mazungumzo na mwekezaji wa mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu, ili iweze kuilipa Halmashauri ya Wilaya ya Kahama deni la dola milioni 8. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana...