Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania wasaka Sh9 milioni leo

Baada ya kuchuana kwa kipindi cha siku tatu, leo wasanii watatu kutoka Tanzania wataibuka na kitita cha Sh9 milioni na tuzo ikiwa watafanikiwa kuwa washindi wa Nyimbo za Amani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

RT yasaka Sh9 milioni kulipa deni la tiketi

Licha ya kuingia kwenye 10 bora ya riadha duniani, Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) linahaha kusaka Dola 5904 (sawa na Sh 9, 446, 400) kulipia deni la tiketi za wanariadha walioiwakilisha nchi kwenye mbio za dunia za nyika.

 

11 years ago

Mwananchi

Ndanda FC wasaka Sh 900 milioni

Uongozi wa timu ya soka ya Ndanda FC ya Mtwara umepanga kusaka Sh900 milioni kwa ajili ya kufanikisha ushiriki wa timu hiyo katika Ligi Kuu msimu ujao.

 

10 years ago

Habarileo

Watanzania milioni 24 kupiga kura

Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Damian Lubuva.OFISI ya Taifa ya Takwimu imetoa makadirio ya idadi ya watu wanaotarajiwa kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2015 ambao wanakisiwa kuwa watafikia milioni 24.2 nchi nzima.

 

10 years ago

Habarileo

Watanzania milioni 25 wapima Ukimwi

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid.WATANZANIA milioni 25.4 wamejitokeza kupima Ukimwi kwa hiari, ikiashiria kwamba nusu ya Watanzania wamepima kujua hali yao kuhusu maambukizi ya Ukimwi.

 

11 years ago

Mwananchi

Watanzania maskini wafikia milioni 4.2

Ripoti mpya iliyotolewa na Benki ya Dunia (WB) inaonyesha Watanzania milioni 4.2 wanaishi chini ya mstari wa umaskini kwa kupata Sh886 kwa siku.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania milioni 7 maskini wa kutupwa

ASILIMIA 9.7 ya Watanzania, sawa na watu milioni 7.2 wanakabiliwa na umaskini uliokithiri nchini. Kutokana na hali hiyo, serikali kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) imeendelea na miradi ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania kufikia milioni 50 mwaka 2016

RAIS Jakaya Kikwete amesema kwa sasa Tanzania ina watu milioni 48 na ifikapo mwaka 2016, kutakuwa na watu milioni 50 kutokana na ongezeko la asilimia 2.7 la kila mwaka. Akizungumza...

 

11 years ago

Mwananchi

Watanzania milioni 14 hawajui kusoma, kuandika?

Wiki iliyopita tulichapisha habari ya kushtusha kwamba Watanzania milioni 14 hawajui kusoma wala kuandika. Ni habari ya kushtusha kwa sababu idadi hiyo ya wananchi mbumbumbu ni kubwa mno, kwa maana kwamba ni sawa na asilimia 33 ya Watanzania wote ambao ni milioni 44.

 

5 years ago

Press

M-PAWA INAZIDI KUWATAJIRISHA WATANZANIA MSHINDI WA PILI WA MILIONI 20 APATIKANA

01

Vodacom Tanzania wakishirikiana na Benki ya CBA, ilizindua promosheni kubwa inayojulikana kama “Jiongeze na M-Pawa” ambayo inawawezesha watumiaji wa huduma ya M-Pawa kujishindia zawadi ya fedha taslimu. Jumla ya shilingi milioni 300 zimetengwa kwa ajili ya promosheni hiyo na mshindi mmoja wa droo kubwa atajishindia kitita cha shilingi milioni 100. Washindi wa wiki watazawadiwa shilingi milioni 20 na washindi wa siku watazawadiwa shilingi milioni moja. Promosheni hiyo ambayo ilianza mwanzoni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani