Watanzania kufikia milioni 50 mwaka 2016
RAIS Jakaya Kikwete amesema kwa sasa Tanzania ina watu milioni 48 na ifikapo mwaka 2016, kutakuwa na watu milioni 50 kutokana na ongezeko la asilimia 2.7 la kila mwaka. Akizungumza...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog22 Apr
Pato la mkulima wa Tumbaku nchini limeongezeka na kufikia milioni 4.9 kwa mwaka
Mkuu wa wilaya ya Manyoni mkoani Singida,Fatma Toufiq, akifungua mkutano wa wadau wa zao la Tumbaku nchini unaoendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa chuo cha VETA mjini Singida.Dc huyo alifungua mkutano huo kwa niaba ya mkuu wa mkoa.
Baadhi ya viongozi na wadau wa zao la Tumbaku nchini wanaohudhuria mkutano wa kujadili maendeleo ya zao hilo hapa nchini.(Picha naNathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
MAPATO ya mkulima mmoja mmoja wa tumbaku nchini, yameongezeka kutoka wastani wa zaidi...
9 years ago
Dewji Blog05 Jan
Halotel kufikisha mtandao kwa asilimia 95 ya watanzania hadi mwishoni mwa mwaka 2016
Naibu Mkurugenzi wa Kampuni ya mawasiliano ya Halotel, Le Van Dai akizungumza na wanahabari katika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam leo kuhusuiana na mtandao huo kutanua huduama zake hadi kufikia asimimia 95 ya watazanzania. Wanaoshuhudia ni Naibu Mkurugenzi wa Rasilimali Watu, Emanuel Malyeta (kushoto), na kulia kwake ni mwanasheria wa kampuni hiyo,Christopher Masai.
Naibu Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Halotel, Emanuel Malyeta akifafanunua jambo kwa waandishi wa habari....
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Benki ya Exim yajipanga kufikia malengo 2016
10 years ago
Habarileo31 Aug
Wajipanga kuongeza idadi ya watalii kufikia milioni 3.3
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maimuna Tarishi amesema Serikali imejipanga kuongeza idadi ya watalii wanaoingia nchini kufikia milioni 3.3 baada ya miaka mitatu .
11 years ago
Habarileo25 Apr
Maambukizi VVU kwa watoto kufikia 5% mwaka 2015
WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii inalenga kupunguza maambikizi ya virusi vya Ukimwi kwa watoto kutoka asilimia 26 hadi kufikia chini ya asilimia tano ifikikapo 2015.
10 years ago
StarTV09 Jan
Mfumuko wa bei ulipungua na kufikia asilimia 6.1 mwaka jana.
Na Immaculate Kilulya,
Dar Es Salaam.
Mfumuko wa bei wa Taifa mwaka jana umepungua na kufikia asilimia 6.1 kutoka wastani wa asilimia 7.9 mwaka 2013 kutokana na kupungua kwa bei za baadhi ya bidhaa za vyakula na zisizo za vyakula.
Miongoni mwa vyakula vilivyopungua ni Mahindi kwa asilimia 11.3, unga wa mahindi asilimia 7.6, Samaki asilimia 4, Ndizi za kupika asilimia 3.2, Mbogamboga asilimia 11.5, Mihogo asilimia 10.5 na Sukari asilimia 4.2.
Kwa upande wa baadhi ya bidhaa zisizo za...
11 years ago
MichuziTanzania kufikia kipato cha kati ifikapo mwaka 2025
Tanzania inatarajiwa kuondoka kwenye kundi la nchi masikini na kuhamia kwenye kundi la nchi zenye kipato cha kati ifikapo mwaka 2025. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo alipokuwa akifungua kongamano linaloendelea huko Berlin nchini Ujerumani kama njia mojawapo ya kuadhimisha jubilee ya miaka 50 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Kongamano hilo linakutanisha wadau mbalimbali ikiwa ni pamoja na mabalozi, wataalamu...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-xiGmw0ueoCY/XvTSvlMdADI/AAAAAAALveg/F5OUjq0Qd9cyZnCBU1sFjUmG_6dTBdhpgCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-25%2Bat%2B7.32.18%2BPM.jpeg)
KANYIGO KUPATIWA MAJISAFI NA SALAMA KUFIKIA JULAI MWAKA HUU .
Na Abdullatif Yunus Michuzi TV.
Serikali kupitia Wizara ya Maji Nchini ipo mbioni kupeleka huduma ya Majisafi katika Vijiji vinne Katani Kanyigo Wilayani Missenyi, Mkoani Kagera ifikapo Julai Mwaka huu.
Hayo yamebainika katika Ziara iliyofanywa na Mkuu wa Wilaya Missenyi wakati akitembelea na kukagua ujenzi wa mradi wa maji safi Kata Kanyigo unaohusisha Vijiji vya Kikukwe, Bugombe, Kigarama na Bweyunge, unaotarajiwa kuhudumia Kaya 2,986 sawa na wakazi 10,986 wenye zaidi ya Shilingi Milioni...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-K0MfeHCEgD8/XqBJlSgDboI/AAAAAAALn1E/lsEc44nH7JQ7b0APJUgARxkFl23PWEL-gCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200404-WA0159%2B%25281%2529.jpg)
HALMASHAURI WILAYA YA MERU MKOANI ARUSHA YATUMIA MILIONI 308/_ KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO HADI KUFIKIA APRILI 15
HALMASHAURI ya Wilaya ya Meru mkoani Arusha imetumia zaidi ya shilingi milioni 308 kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo katika kipindi Cha mwaka wa fedha 2019//2020 hadi kufikia Aprili 15 mwaka huu.
Akizungumza leo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Meru Emmanuel Mkongo amesema kuwa halmashauri hiyo katika kuunga mkono jitihada za wananchi kutekeleza miradi ya maendeleo kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2019/2020 ilitenga kutoka katika makusanyo ya mapato ya...