Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Halotel kufikisha mtandao kwa asilimia 95 ya watanzania hadi mwishoni mwa mwaka 2016

1

Naibu Mkurugenzi wa Kampuni ya mawasiliano ya Halotel, Le Van Dai akizungumza na wanahabari katika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam leo kuhusuiana na mtandao huo kutanua huduama zake hadi kufikia asimimia 95 ya watazanzania. Wanaoshuhudia ni Naibu Mkurugenzi wa Rasilimali Watu, Emanuel Malyeta (kushoto), na kulia kwake ni mwanasheria wa kampuni hiyo,Christopher Masai.

4

Naibu Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Halotel, Emanuel Malyeta akifafanunua jambo kwa waandishi wa habari....

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

SIMULIZI ZA TIDO: Mambo ya mwishoni mwa mwaka

>Awali ya yote niwaombe radhi wasomaji wangu wapendwa kwamba safu yenu hii haikuwepo kwa majuma mawili, hii ni kutokana na matatizo yaliyo nje ya uwezo wangu.Kila ifikapo mwishoni mwa mwaka huwa ni wakati wa kutafakari mafanikio na mapungufu ya mwaka husika. Wakati wa kuufurahia mwaka huo au kushukuru ya kwamba unamalizika, maana mambo hayakuwa mazuri na hivyo kuangalia mbele mwaka ujao.

 

10 years ago

GPL

MAJANGA MWISHONI MWA MWAKA 2014: NDEGE YA AIRASIA QZ8501 YAPOTEA IKIWA NA WATU 162

NDEGE ya AirAsia, QZ8501 iliyokuwa na watu 162 ikitokea Indonesia kwenda Singapore imepoteza mawasiliano leo asubuhi. Kati ya watu hao 162, abiria walikuwa 155, marubani 2 na wafanyakazi wa ndege hiyo 5. Watu 157 ni raia wa Indonesia, 3 raia wa Korea Kusini, 1 kutoka Malaysia na 1 raia wa Singapore. Imeelezwa kuwa kabla ya ndege hiyo kupoteza mawasiliano, rubani aliomba kubadili uelekeo wa kawaida kutokana na hali mbaya ya hewa....

 

10 years ago

GPL

TIMU YA VODACOM YALALA 1-0 KWA CBA MWISHONI MWA WIKI‏

Mchezaji wa timu ya Vodacom Tanzania  Hans Henry akijaribu kumtoka beki wa timu ya CBA Anjerus Ngimbo wakati wa bonaza lillozishirikisha timu za makampuni  mbalimbali lililofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya shule ya msingi ya Ushindi iliyopo Mikocheni B jijini Dar es Salaam,  Timu ya Vodacom ilifungwa 1-0 na timu ya CBA. Mshambuliaji hatari wa timu ya Vodacom Hans Henry… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtandao wa 5G? Subiri hadi mwaka wa 2020

Mashirika makubwa ya simu nchini uingereza yameungana na serikali kufadhili utafiti kuhusiana na mtandao wa masafa ya 5G

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAKABIDHI GARI KWA MSHINDI WA YATOSHA ZAIDI MTWARA MWISHONI MWA WIKI‏

Mkuu wa wilaya ya Mtwara Mh, Wilman Kapenjama akikabidi funguo ya gari kwa Mshindi wa Promosheni Airtel yatosha Zaidi mkoani Mtwara bw, Sefu Namtapika (60) ambae ni mwalimu mstaafu aliyeibuka na ushindi wa Toyota IST kupitia droo ya kwanza ya promosheni Yatosha zaidi inayoendesha na Airtel. Wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni toka kushoto nyuma ni Meneja mauzo wa Airtel mkoa wa Mtwara Bw, Batlomeo Masatu, Afisa Masoko wa Airtel...

 

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA FIESTA 2014 LILIVYOSAMBAZA UPENDO KWA WAKAZI WA MJI WA MOSHI MWISHONI MWA WIKI

 Mmoja wa mashabiki wa tamasha la Fiesta 2014 pichani akitazama kwa makini yaliyokuwa yakijiri kwenye jukwaa la tamasha hilo lililofanyika mwishoni mwa wiki mjini Moshi. Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT,Rachael akiimba kwa hisia jukwaani. Mashabikii wakishangilia jambo wakati wasanii mbalimbali wa tamasha la Fiesta 2014 wakiendelea kutumbuiza jukwaani. Mwanadada Feza Kessy akiimba jukwaani wakati wa tamasha la Fiesta 2014 lililofanyka mwishoni mwa wiki katika viwanja vya...

 

10 years ago

Michuzi

AIRTEL YAKABIDHI GARI KWA MSHINDI WA YATOSHA ZAIDI MKOANI MTWARA MWISHONI MWA WIKI


Mkuu wa wilaya ya Mtwara Mh, Wilman Kapenjama akikabidi funguo ya gari kwa Mshindi wa Promosheni Airtel yatosha Zaidi mkoani Mtwara bw, Sefu Namtapika (60) ambae ni mwalimu mstaafu aliyeibuka na ushindi wa Toyota IST kupitia droo ya kwanza ya promosheni Yatosha zaidi inayoendesha na Airtel. Wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni toka kushoto nyuma ni Meneja mauzo wa Airtel mkoa wa Mtwara Bw, Batlomeo Masatu, Afisa Masoko wa Airtel Bi Aminata Keita, na Meneja Biashara wa kanda ya Pwani Bw Albert...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani