Mtandao wa 5G? Subiri hadi mwaka wa 2020
Mashirika makubwa ya simu nchini uingereza yameungana na serikali kufadhili utafiti kuhusiana na mtandao wa masafa ya 5G
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog05 Jan
Halotel kufikisha mtandao kwa asilimia 95 ya watanzania hadi mwishoni mwa mwaka 2016
Naibu Mkurugenzi wa Kampuni ya mawasiliano ya Halotel, Le Van Dai akizungumza na wanahabari katika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam leo kuhusuiana na mtandao huo kutanua huduama zake hadi kufikia asimimia 95 ya watazanzania. Wanaoshuhudia ni Naibu Mkurugenzi wa Rasilimali Watu, Emanuel Malyeta (kushoto), na kulia kwake ni mwanasheria wa kampuni hiyo,Christopher Masai.
Naibu Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Halotel, Emanuel Malyeta akifafanunua jambo kwa waandishi wa habari....
11 years ago
MichuziMKUTANO WA MASWALA YA ULINZI MTANDAO WAKAMILIKA KWA KUPIGILIA MSUMARI KAULI MBIU “MWAKA 2014 NI MWAKA WA VITENDO”
11 years ago
MichuziTAKWIMU ZA MTANDAO WA UMEME NCHINI TOKA 2005 HADI MACHI 2014
Takwimu zinaonyesha kwamba kwa sasa asilimia 36% (kutoka asilimia 10% ya mwaka 2005) Tanzania Bara wana pata umeme asilimia 36% wanatumia umeme na asilimia 21% ya wanavijiji wa Bara wanatumia umeme kutoka asilimia 2% mwaka 2005.Tayari imevuka malengo ya CCM na ya Serikali ya asilimia 24% wameunganishwa.Tuendelee kuchapa kazi kwa kasi na ubunifu mkubwa. Waziri wa Nishati na Madini Sospeter Muhongo
5 years ago
CCM BlogTAARIFA YA HALI YA UCHUMI WA TAIFA KWA MWAKA 2019 NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2020/21 WAWASILISHWA BUNGENI, LEO
UTANGULIZI
1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lipokee na kujadili Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2019 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2020/21. Pamoja na hotuba hii ninawasilisha vitabu vya Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa...
10 years ago
Mwananchi23 Dec
Kesi ya IPTL yapigwa kalenda hadi mwisho wa mwaka
10 years ago
YkileoTU UFUNGE MWAKA KWA KUJIHADHARI NA UHALIFU MTANDAO
Kubwa zaidi ni uelewa mdogo wa watumiaji mtandao juu ya kujiweka salama kimtandao iliyo ambatana na wana usalama mitandao kuwa wachache sana katika ngazi ya kidunia huku baadhi ya mataifa kutotoa kipaumbele katika maswala ya usalama...
5 years ago
MichuziUTUMISHI YAFANYA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI KUJADILI TAARIFA YA MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA BAJETI WA MWAKA 2019/20 NA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA 2020/21
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (katikati) akiongoza kikao cha Baraza la Wafanyakazi kujadili taarifa ya Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango wa Bajeti wa Mwaka 2019/20 na Mpango wa Bajeti kwa Mwaka 2020/21 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Kituo cha Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakimsikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais,...
5 years ago
YkileoKUELEKEA MWISHO WA MWAKA TUNATEGEMEA MASHAMBULIZI MTANDAO ZAIDI
Matarajio hayo ni kutokana na matumizi makubwa ya mtandao katika kufanya miamala mbali mbali ya manunuzi ya bidhaa katika kipindi hiki cha sikukuu ambapo watu wengi duniani kote wamekua wakinunua vitu mbali mbali...