Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUELEKEA MWISHO WA MWAKA TUNATEGEMEA MASHAMBULIZI MTANDAO ZAIDI

Nikizungumza na kundi maalum katika vikao vinavyoendelea nimewasilisha ujumbe wa Tahadhari ambapo Uma umetahadharishwa juu ya mashambulizi takriban Milioni hamsini (50 Milioni) duniani kote katika kipindi cha sikukuu yatakayo gharimu kati ya Dola 50 – Dola 5’000 kwa kila shambulizi.


Matarajio hayo ni kutokana na matumizi makubwa ya mtandao katika kufanya miamala mbali mbali ya manunuzi ya bidhaa katika kipindi hiki cha sikukuu ambapo watu wengi duniani kote wamekua wakinunua vitu mbali mbali...





Habari Zinazoendana

10 years ago

Ykileo

MCAFEE YASEMA VITA NA UJASUSI MTANDAO UTAONGEZEKA ZAIDI MWAKA 2015

Kumekua na wimbi kubwa la uhalifu mtandao unaofanywa na mhalifu kwa lengo la kujipatia fedha, taarifa na mambo mengine katika maeneo mbali mbali duniani. Katika mfululizo wa vipindi mbali mbali vinavyo weza kusikika "HAPA" nimeweza kueleza hali halisi huku kesho ya uhalifu mtandao kama ilivyo tabiriwa kupata kuangaziwa macho kwa karibu.


Kwa sasa kumeendelea kukua kwa uhalifu unao ihusisha nchi moja dhidi ya nyingine au kampuni moja dhidi ya nyingine yenye malengo ya kupata taarifa za ndani na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Hiki ndiyo kikosi cha wachezaji 11 ambao wameng`aa zaidi kuelekea kumaliza mwaka 2015, msimu wa 2015/2016 kwenye EPL

Smalling-Vardy-Ozil-De-Bruyne

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Mtandao wa habari za michezo wa Goal.com umetoa majina 11 ya wachezaji ambao wameonyesha uwezo zaidi katika Ligi Kuu ya Uingereza EPL kwa msimu wa 2015/2016 kuelekea kumaliza mwaka 2015.

Mpaka sasa imeshachezwa michezo 17 na klabu ya Leicester City ikiwa nafasi ya kwanza kwa kukusanya jumla ya alama 38 ikifuatiwa na Arsenal yenye alama 36 na klabu ya Aston Villa ikiwa mkiani na alama 7.

Listi ya wachezaji hao ni kama ifuatavyo;

Golikipa

Jack Butland -Stoke...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mashambulizi zaidi Pwani ya Kenya

Watu wasiojulikana wameteketeza nyumba saba katika eneo la kuhifadhi wanyama mjini Lamu , ingawa hakuna vifo vimeripotiwa

 

10 years ago

BBCSwahili

Mashambulizi zaidi yafanyika Yemen

Vikosi vinavyoongozwa na Saudi Arabia vimeendesha mashambulizi nchini Yemen vikilenga nyumba ya rais wa zamani .

 

11 years ago

Mwananchi

Mipango mizuri mwisho wa mwaka, huanza vyema mwanzo wa mwaka

MWANZO wa kila mwaka ni muda mwafaka wa kutafakari katika nafasi ya mtu mmoja, familia na nchi nzima tumetekeleza vipi mipango na mikakati tuliyokuwa nayo, wapi tumeteleza, nini tulichoshindwa na kupata tathmini nzima ya utekelezaji wetu.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwaka wa uchaguzi,Kikwete atoa salamu za mwisho za mwaka

>Mwaka wa uchaguzi umeingia. Usiku wa kuamkia leo, Watanzania wameupokea mwaka mpya 2015 huku tafakari kubwa ikiwa ni matukio makubwa yatakayotokea mwaka huu, ukiwamo Uchaguzi Mkuu na kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Urusi yafanya mashambulizi zaidi Syria

Ndege za Urusi zimefanya mashambulio zaidi nchini Syria.

 

11 years ago

BBCSwahili

Israel yafanya mashambulizi zaidi Gaza

Israel imefanya mashambulizi zaidi katika ukanda wa Gaza kufuatia shambulizi la makombora yaliyofanywa na kundi la Hamas Jumatatu.

 

11 years ago

Michuzi

Mkutano mkubwa wa Kimataifa wa Wafadhili wa kustawisha Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii ya Zanzibar,kufanyika robo mwaka ya mwisho ya mwaka huu

Mkutano mkubwa wa Kimataifa wa Wafadhili { Donor Conference } kwa ajili ya kustawisha Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii ya Zanzibar unatarajiwa kufanyika robo mwaka ya mwisho ya mwaka huu hapa Zanzibar baada kukamilika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Mkutano huo utakofadhiliwa na Serikali ya Oman unatatarajiwa pia kujumuisha Wawekezaji wa sekta ya fedha na uchumi kutoka Mataifa na Taasisi tofauti Duniani . Mjumbe Maalum wa Serikali ya Oman Bwana Yahya Al – Ureim alieleza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani