Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAKWIMU ZA MTANDAO WA UMEME NCHINI TOKA 2005 HADI MACHI 2014


 Takwimu zinaonyesha kwamba  kwa sasa asilimia 36% (kutoka  asilimia 10% ya mwaka 2005)  Tanzania Bara wana pata umeme asilimia 36% wanatumia umeme na asilimia 21% ya wanavijiji wa Bara wanatumia umeme kutoka asilimia 2% mwaka 2005.Tayari imevuka malengo ya CCM na ya Serikali ya asilimia 24% wameunganishwa.Tuendelee kuchapa kazi kwa kasi na ubunifu mkubwa. Waziri wa Nishati na Madini  Sospeter Muhongo

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

RATIBA YA MKUTANO WA BUNGE MAALUM TAREHE 17 HADI 21 MACHI, 2014

Ofisi ya Katibu wa Bunge Maalum inawatangazia Wajumbe wa Bunge Maalum na umma kwa ujumla kuwa Mkutano wa Bunge Maalum utaendelea mjini Dododma kesho kwa ratiba ifuatayo:
Tarehe 17/3/201 kuanzia saa 3:00 asubuhi kutakuwa na  kiapo kwa Wajumbe wa Bunge Maalum ambao bado hawajaapishwa. Hivyo Wajumbe wote ambao hawajaapa  kiapo cha ujumbe wa Bunge Maalum wanatangaziwa kufika Idara ya Shughuli za Bunge Maalum kesho saa 2:00  asubuhi bila kukosa kwa ajili ya kutambuliwa.


Saa 11:00 jioni...

 

10 years ago

Michuzi

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATOA TAARIFA YA PATO LA TAIFA KWA ROBO YA KWANZA YA MWAKA,JANUARY-MACHI 2014

 Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Morice Oyuke (katikati) akitoa ufafanuzi mbalimbali katika mkutano huo. Kushoto ni  Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Idara ya Uchumi, Stephen Kirama na Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Sera na Mipango wa Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika, Oswald Ruboha.
  Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Morrice Oyuke (wa tatu kushoto), akiwa  na wadau wa uchumi katika mkutano huo. Kutoka kushoto...

 

11 years ago

GPL

MAMLAKA YA HALI YA HEWA YATOA TATHMINI YA MWELEKEO WA MVUA KWA KIPINDI CHA JANUARI HADI MACHI, 2014

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini, Dkt. Agness Kijazi (kulia) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya tathmini ya mvua kwa kipindi cha Januari hadi Machi 2014. Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakimsikiliza Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa.…

 

9 years ago

GPL

TFDA YAZUNGUMZIA MAFANIKO YAKE TANGU 2005 HADI 2015

Kutoka kushoto ni Ofisa Uelimishaji na Huduma wa TFDA, Rutta Kahamba, akifuatiwa na Meneja Mahusiano na Uhusiano wa Umma, Gaudensia Simwanza, na Msaidizi Kitengo cha Elimu kwa Umma na Huduma kwa Wateja, Evice Audax. Meneja Mahusiano na Uhusiano wa Umma kutoka TFDA, Gaudensia Simwanza, akizungumza na wanahabari (hawapo pichani).…

 

10 years ago

GPL

SHERIA MPYA YA TAKWIMU KUONGEZA UFANISI WA SHUGHULI ZA KITAFITI NA UPATIKANAJI WA TAKWIMU SAHIHI NCHINI

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu ujio wa sheria mpya ya Takwimu  ya mwaka 2015 iliyopitishwa na Bunge Mwezi Machi mwaka huu leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi wa Ofisi hiyo Bw. Morrice Oyuke.…

 

10 years ago

Michuzi

Kutoka Maktaba: Magufuli - (2005) tutasafiri kutoka Mtwara hadi Bukoba kwenye barabara ya lami

WANANCHI wataweza kusafiri kutoka Mtwara hadi Bukoba kwenye barabara ya lami,hayo yalisemwa Bungeni Mjini Dodoma wakati Waziri wa Ujenzi John Magufuli alipokua akijibu swali la Martha Mlata (Viti Maalum-CCM), swali lililohoji juu ya ahadi ya Serikali katika kipindi cha awamu ya nne na ahadi hiyo iliyosema wananchi wataweza kusafiri kwa taxi toka Mtwara hadi Bukoba.
Waziri Magufuli alisema kuwa nia ya msemo huo ni kuonesha kwamba wananchi wataweza kusafiri toka Mtwara hadi Bukoba kwa lami...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani