Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIMULIZI ZA TIDO: Mambo ya mwishoni mwa mwaka

>Awali ya yote niwaombe radhi wasomaji wangu wapendwa kwamba safu yenu hii haikuwepo kwa majuma mawili, hii ni kutokana na matatizo yaliyo nje ya uwezo wangu.Kila ifikapo mwishoni mwa mwaka huwa ni wakati wa kutafakari mafanikio na mapungufu ya mwaka husika. Wakati wa kuufurahia mwaka huo au kushukuru ya kwamba unamalizika, maana mambo hayakuwa mazuri na hivyo kuangalia mbele mwaka ujao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Halotel kufikisha mtandao kwa asilimia 95 ya watanzania hadi mwishoni mwa mwaka 2016

1

Naibu Mkurugenzi wa Kampuni ya mawasiliano ya Halotel, Le Van Dai akizungumza na wanahabari katika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam leo kuhusuiana na mtandao huo kutanua huduama zake hadi kufikia asimimia 95 ya watazanzania. Wanaoshuhudia ni Naibu Mkurugenzi wa Rasilimali Watu, Emanuel Malyeta (kushoto), na kulia kwake ni mwanasheria wa kampuni hiyo,Christopher Masai.

4

Naibu Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Halotel, Emanuel Malyeta akifafanunua jambo kwa waandishi wa habari....

 

10 years ago

GPL

MAJANGA MWISHONI MWA MWAKA 2014: NDEGE YA AIRASIA QZ8501 YAPOTEA IKIWA NA WATU 162

NDEGE ya AirAsia, QZ8501 iliyokuwa na watu 162 ikitokea Indonesia kwenda Singapore imepoteza mawasiliano leo asubuhi. Kati ya watu hao 162, abiria walikuwa 155, marubani 2 na wafanyakazi wa ndege hiyo 5. Watu 157 ni raia wa Indonesia, 3 raia wa Korea Kusini, 1 kutoka Malaysia na 1 raia wa Singapore. Imeelezwa kuwa kabla ya ndege hiyo kupoteza mawasiliano, rubani aliomba kubadili uelekeo wa kawaida kutokana na hali mbaya ya hewa....

 

10 years ago

Mwananchi

SIMULIZI ZA TIDO: Kosa kubwa

>Jumapili iliyopita alianza kuhadithia kuhusu hekaheka zilizotokea mwaka 1995, kwenye uchaguzi wa mgombea  urais kwa tiketi ya CCM kule Chimwaga, Dodoma. Kwenye simulizi hiyo, Tido, ambaye wakati huo alikuwa anafanyia kazi Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), alimalizia kwa kufahamisha ya kwamba, mshindi hakuweza kupatikana kwenye duru ya kwanza ya upigaji kura, ikabidi kura zipigwe tena kupambanisha wagombea wawili wa juu, Kikwete na Mkapa na baadaye ikaelezwa kwamba matokeo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Viwanjani mwishoni mwa wiki

Ligi kuu ya England imeendelea kwa mechi mbili ambapo..Arsenal imeibamiza Man City ,Huku Westham Ikiibamiza Hull City bao 3-0

 

10 years ago

BBCSwahili

Nchi za EAC kukutana mwishoni mwa Juma

Nchi za jumuia ya Afrika Mashariki zinakutana siku ya Jumapili kujadili hali ya Burundi

 

9 years ago

Mtanzania

Ray C kufanya shoo Kenya mwishoni mwa wiki

ray-cMWANAMUZIKI aliyepitia changamoto za matumizi ya dawa za kulevya, Rehema Chalamila ‘Ray C’, mwishoni mwa wiki anatarajiwa kufanya onyesho nchini Kenya.

Onyesho hilo la kumrudisha mwanadada huyo aliyewahi kujizolea umaarufu mkubwa kutokana na uwezo wake wa kukata kiuno na kuimba litafanyika katika mji wa Malindi.

Umbo na uwezo wake wa kunengua kwa madoido na sauti nzuri aliyokuwa nayo ndivyo vilivyompa umaarufu kwa idadi kubwa ya wapenda burudani nchini Kenya, Uganda na Tanzania.

Lakini hata...

 

5 years ago

Bongo5

John Terry ataondoka Chelsea mwishoni mwa msimu

Klabu ya Chelsea imetangaza rasmi kuwa Nahodha wao John Terry ataondoka klabuni hapo baada ya msimu huu kumalizika.

Beki huyo ambaye ni raia wa uengereza ana umri wa miaka 36, ameichezea Chelsea mechi 713 na kufunga magoli 66 tangu ajiunge nao mwaka 1998.

Ni mchezaji wa tatu kwa kushiriki mechi nyingi za klabu hapo na amekuwa nahodha wa klabu hiyo kwa rekodi ya mara 578.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town!...

 

10 years ago

GPL

TIMU YA VODACOM YALALA 1-0 KWA CBA MWISHONI MWA WIKI‏

Mchezaji wa timu ya Vodacom Tanzania  Hans Henry akijaribu kumtoka beki wa timu ya CBA Anjerus Ngimbo wakati wa bonaza lillozishirikisha timu za makampuni  mbalimbali lililofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya shule ya msingi ya Ushindi iliyopo Mikocheni B jijini Dar es Salaam,  Timu ya Vodacom ilifungwa 1-0 na timu ya CBA. Mshambuliaji hatari wa timu ya Vodacom Hans Henry… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani