TIMU YA VODACOM YALALA 1-0 KWA CBA MWISHONI MWA WIKI
Mchezaji wa timu ya Vodacom Tanzania Hans Henry akijaribu kumtoka beki wa timu ya CBA Anjerus Ngimbo wakati wa bonaza lillozishirikisha timu za makampuni mbalimbali lililofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya shule ya msingi ya Ushindi iliyopo Mikocheni B jijini Dar es Salaam, Timu ya Vodacom ilifungwa 1-0 na timu ya CBA. Mshambuliaji hatari wa timu ya Vodacom Hans Henry… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m2dop3vQlLmRrsOerQTtF4EZhtP*mW9MjxFbCVDymGXGbas8aviyS49*q85FmoX7vU1QZMZp6qUxIBMXN0UV08CJeFRK*nOw/pic8.jpg?width=750)
AIRTEL YAKABIDHI GARI KWA MSHINDI WA YATOSHA ZAIDI MTWARA MWISHONI MWA WIKI
11 years ago
GPLAIRTEL KUBORESHA MITAMBO YA HUDUMA YA AIRTEL MONEY MWISHONI MWA WIKI HII
10 years ago
VijimamboMAADHIMISHO YA 23 YA WIKI YA UNYONYESHAJI MAZIWA YA MAMA KITAIFA YAFIKIA KILELE MJINI DODOMA MWISHONI MWA WIKI
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Gtr0pGK_Fcc/VAOAg5eTI9I/AAAAAAACpn0/-p5Ml9sXcB0/s72-c/b.jpg)
TAMASHA LA FIESTA 2014 LILIVYOSAMBAZA UPENDO KWA WAKAZI WA MJI WA MOSHI MWISHONI MWA WIKI
![](http://3.bp.blogspot.com/-Gtr0pGK_Fcc/VAOAg5eTI9I/AAAAAAACpn0/-p5Ml9sXcB0/s1600/b.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-Ys50CIct_PQ/VAOAcpBflgI/AAAAAAACpnU/hVTHabgal5g/s1600/IMG_2184.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-j_Ve2ST0DlE/VAOAllGnmcI/AAAAAAACpoo/cN6zKr4lCL8/s1600/y.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-8DRQEsvoGkY/VAOARllMRnI/AAAAAAACpmM/XWa68poTu3A/s1600/IMG_1692.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-gJ55FVSXTh8/VOIHCVxB12I/AAAAAAAHEBk/bOFQeTaf9ys/s72-c/pic%2B8.jpg)
AIRTEL YAKABIDHI GARI KWA MSHINDI WA YATOSHA ZAIDI MKOANI MTWARA MWISHONI MWA WIKI
![](http://1.bp.blogspot.com/-gJ55FVSXTh8/VOIHCVxB12I/AAAAAAAHEBk/bOFQeTaf9ys/s1600/pic%2B8.jpg)
Mkuu wa wilaya ya Mtwara Mh, Wilman Kapenjama akikabidi funguo ya gari kwa Mshindi wa Promosheni Airtel yatosha Zaidi mkoani Mtwara bw, Sefu Namtapika (60) ambae ni mwalimu mstaafu aliyeibuka na ushindi wa Toyota IST kupitia droo ya kwanza ya promosheni Yatosha zaidi inayoendesha na Airtel. Wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni toka kushoto nyuma ni Meneja mauzo wa Airtel mkoa wa Mtwara Bw, Batlomeo Masatu, Afisa Masoko wa Airtel Bi Aminata Keita, na Meneja Biashara wa kanda ya Pwani Bw Albert...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8KOwdycLvXSl2s8NkHz4bXBkO6k973UcLHYwLI8JxrUt675icPcE3rTdBr7m5kjeRD2N-0qIn4-0NzVvQgG*2cPGeiMo3836/02.jpg?width=650)
NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA(TAMISEMI)MH.KASSIM MAJALIWA AZINDUA RASMI KAMPENI YA FISTULA MWISHONI MWA WIKI
10 years ago
BBCSwahili18 Jan
Viwanjani mwishoni mwa wiki
9 years ago
Mtanzania25 Aug
Ray C kufanya shoo Kenya mwishoni mwa wiki
MWANAMUZIKI aliyepitia changamoto za matumizi ya dawa za kulevya, Rehema Chalamila ‘Ray C’, mwishoni mwa wiki anatarajiwa kufanya onyesho nchini Kenya.
Onyesho hilo la kumrudisha mwanadada huyo aliyewahi kujizolea umaarufu mkubwa kutokana na uwezo wake wa kukata kiuno na kuimba litafanyika katika mji wa Malindi.
Umbo na uwezo wake wa kunengua kwa madoido na sauti nzuri aliyokuwa nayo ndivyo vilivyompa umaarufu kwa idadi kubwa ya wapenda burudani nchini Kenya, Uganda na Tanzania.
Lakini hata...
11 years ago
Michuzi17 Feb
WAZEE WA NGWASUMA WALIVYOWAPAGAWISHA WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA MWISHONI MWA WIKI
![DSCF2780](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/4kmjN7xTPf20TTTqwx1y0cS5k01p2BCxX8ZyiCzghoxCZrwklYLpqITI5YIvIZZfpxWW29wbKaEPFWUKAo1PtzTS_lIYrRPwrrGI1W5fUbKyp5IFDNVK1Xq0aTwiTQ=s0-d-e1-ft#http://pamelamollel.files.wordpress.com/2014/02/dscf2780.jpg?w=627&h=470)
![DSCF2770](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/VXHesam46xP_k5Isch4ZASILVf1P7Fusj89hJR40jdCc-ZcswK8ICCFbNJkMqN1lCa22Sc9rNCcRon8FsR1X0nBTQxLFX9u3vhta7BiXo4kf-LKb4i2RlO4Qvf64cQ=s0-d-e1-ft#http://pamelamollel.files.wordpress.com/2014/02/dscf2770.jpg?w=627&h=470)
![DSCF2783](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/BBd_xO5q9hYFKA-2icj3dsLOdOn9t0sut6NuRgvdz0dbjbMasQLOpR8qsVP7BAT98LXBYcmXT9xP9T0BSFP-PpWT41EGl7Snxr8Mqhkxa9_uDsf_SAYQZ0ufCsmu-g=s0-d-e1-ft#http://pamelamollel.files.wordpress.com/2014/02/dscf2783.jpg?w=627&h=470)
![DSCF2778](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/QDnp3ONur2FlRAUBdcO8bEKRfo1CqK58N2gVA-EW3SHzVWWqhXDHC9vASEoQCUEUpIL-XuZGox_Uv3uOcEGeZzmMNi1ZUS5k1SruXANfmBw-peCrAMUVA3LKoScUcA=s0-d-e1-ft#http://pamelamollel.files.wordpress.com/2014/02/dscf2778.jpg?w=627&h=470)