Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


M-PAWA INAZIDI KUWATAJIRISHA WATANZANIA MSHINDI WA PILI WA MILIONI 20 APATIKANA

01

Vodacom Tanzania wakishirikiana na Benki ya CBA, ilizindua promosheni kubwa inayojulikana kama “Jiongeze na M-Pawa” ambayo inawawezesha watumiaji wa huduma ya M-Pawa kujishindia zawadi ya fedha taslimu. Jumla ya shilingi milioni 300 zimetengwa kwa ajili ya promosheni hiyo na mshindi mmoja wa droo kubwa atajishindia kitita cha shilingi milioni 100. Washindi wa wiki watazawadiwa shilingi milioni 20 na washindi wa siku watazawadiwa shilingi milioni moja. Promosheni hiyo ambayo ilianza mwanzoni...





Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Bilionea wa Nigeria amtuliza mshindi wa pili Big Brother kwa Sh607 milioni

Bilionea Ayiri Emami, ametoa kitita cha Dola za Marekani 350,000  (Sh607 milioni), kwa mshindi wa pili wa mashindano ya Big Brother Hotshots 2014, Tayo Faniran.

 

10 years ago

Michuzi

KWETU HOUSE 2015 MSIMU WA PILI YATUA JIJINI MWANZA KUSAKA VIPAJI KWA MASHABIKI WA SOKA, MSHINDI KULAMBA MILIONI 15

Msimu wa pili wa Kwetu House - “kwetu house, kipaji zaidi ya soka” hili shindano ambalo hujumuisha zaidi wapenzi wa soka wenye Kipaji, jumla ya mikoa mitano (Arusha, Zanzibar, Dodoma, Mbeya na Mwanza) kutoa washiriki zaidi kwa ajili ya kunogesha na kuleta upinzani wa kutosha msimu huu mshindi ataondoka na kitita cha shilingi milioni 15, tofauti na msimu uliopita ambao ilikuwa Sh milioni 10.
Baada ya Kwetu House kusaka Shabiki mwenye Kipaji Kwenye Mikoa ya Arusha, Zanzibar,Dodoma na Mbeya...

 

10 years ago

GPL

MSHINDI WA TUZO YA USHAIRI APATIKANA

Washindi wa tuzo za ushairi wa kwanza kulia ni mshindi wa pili Rashidi Abdu Rai, katikati mshindi wa kwanza Esther Mgondo na Sylvin Makila aliyeshika nafasi ya tatu. Mgeni rasmi Profesa Helman Mwansoko akizungumza jambo.…

 

11 years ago

GPL

MSHINDI WA MIL 10 WA CHAMPIONI MAHELA APATIKANA

MC Chaku (kushoto) akiwa na mmoja ya mkazi wa mbagala tiyari kwa kuchagua mshindi wa Championi Shinda Mahela. ...Kuponi za Championi Shinda Mahela.…

 

9 years ago

Michuzi

MSHINDI DROO YA TATU EXIM APATIKANA

Meneja Utendaji na Huduma kwa wateja Benki ya Exim Tanzania tawi la makao makuu jijini Dar es Salaam, Bw. Lugano Kapologwe(kulia), akikabidhi zawadi ya simu aina ya iPhone 6 kwa mshindi wa droo  ya tatu ya kampeni ya Akaunti ya Malengo ya Dola za Kimarekani inayoendeshwa na benki hiyo, Bw DileshKumar Solanki (kushoto) katika hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika kwenye tawi hilo jana.

 

10 years ago

GPL

MSHINDI WA SH. LAKI MBILI ZA GAZETI LA UWAZI MIZENGWE APATIKANA

Mshindi akikabidhiwa zawadi na miongoni mwa wahariri wa gazeti hilo, Elvan Stambuli. Asia akionesha fedha alizojishindia.…

 

10 years ago

GPL

MSHINDI WA SH. LAKI MBILI ZA GAZETI LA UWAZI MIZENGWE MWANZA APATIKANA

Hassina Jumanne Saidy akionesha fedha alizojishindia baada ya  kubahatika  kuiona stika maalumu  ndani ya Gazeti la Uwazi Mizengwe ya Uchaguzi. Muakilishi wa Global Publishers jijini Mwanza, Ali Masumbuko akimkabidhi shilingi laki mbili taslimu Hassina Jumanne Saidy .…

 

9 years ago

BBCSwahili

Mshindi Argentina kuamuliwa duru ya pili

Wapiga kura nchini Argentina watashiriki duru ya pili ya uchaguzi mwezi ujao baada ya kukosekana kwa mshindi wa moja kwa moja katika duru ya kwanza Jumapili.

 

10 years ago

GPL

KUTANA NA MSHINDI WA MILIONI 50 ZA TMT

Mshindi wa shilingi milioni 50 za shindano la Tanzania Movie Talents (TMT), Mwanaafa Mwinzago akifanyiwa 'Exclsive Interview' katika studio za Global TV Online baada ya kushinda kitita hicho.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani