40 YA TIFFAH YAACHA MADENI!
![](http://api.ning.com:80/files/I4Lv7uhzCAGeNdHcAAiT08z6Jps8qAS0Bk5l7dQx-KY6AJ6oBzi1G4hsxzvFppLdQmRN97O53DmijdXzh1p272oZc5DLenGp/Tiffah.jpg?width=650)
0OHOOO! Kuna madai kwamba, ile pati ya kukata na shoka ya kutimiza siku 40 kwa mtoto wa nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Latifah Nasibu ‘Princess Tiffah’ iliisha huku nyuma ikiacha madeni ya kiasi cha shilingi 1,005,000, Amani limechimbua. ...Soma zaidi====>http://bit.ly/1L5tuVy
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 Oct
Harusi yaacha gumzo Rombo
11 years ago
Mwananchi29 Jun
Prisons yaacha wachezaji wanane
9 years ago
Mwananchi19 Nov
Bomoabomoa yaacha vilio, simanzi Dar
9 years ago
Habarileo27 Nov
Kamati Stars yaacha deni Sh milioni 70
KAMATI ya Saidia Taifa Stars iliyoundwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa ajili ya maandalizi ya mchezo na Algeria wa kufuzu Kombe la Dunia imevunjwa rasmi, lakini ikiacha deni la Dola za Marekani 35,000(zaidi ya Sh milioni 70).
10 years ago
BBCSwahili20 Oct
Ebola yaacha watoto bila wazazi
11 years ago
Habarileo15 Jan
Mvua yaacha watu 400 bila makazi
MVUA kubwa iliyoambatana na mawe na upepo mkali, imewaacha zaidi ya watu 400 katika kijiji cha Mwandoya wilayani Meatu mkoani Simiyu bila kuwa na mahali pa kuishi kutokana na nyumba zao kuezuliwa.
10 years ago
GPLSHOO YA DIAMOND DAR LIVE YAACHA HISTORIA
11 years ago
Tanzania Daima24 Feb
Bomoabomoa Arusha yaacha watu 216 bila makazi
HALMASHAURI ya Jiji la Arusha, imebomoa nyumba zake kwenye maeneo ya Kilombero, Themi na Kaloleni ambazo zilikuwa zinakaliwa na wapangaji 216. Hatua hiyo imepokewa kwa hisia tofauti miongoni mwa madiwani...
9 years ago
VijimamboNOAH YAACHA NJIA NA KUUWA WATU 9 WILAYANI MISUNGWI
Watu tisa waliokuwa wakisafiri na gari dogo aina ya noah namba T812 BJU, wamefariki dunia papo hapo baada ya gari hilo kuacha njia na kupinduka jana jioni.
Ajali hiyo imetokea saa 11 jioni katika kijiji cha Mwamanga wilayani Misungwi mkoa wa Mwanza kwenye barabara kuu ya kutoka Shinyanga kuelekea Mwanza, wakati gari hilo kumshinda dereva wake ambaye ni koplo mstaafu wa jeshi, Moris Lukenza, mkazi wa Geita.
Akizungumza na waandishi wa habari leo, kamanda wa polisi mkoani Mwanza, Charles Mkumbo,...