Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Emerson: Nina habari za Simba

 Mchezaji mpya wa Yanga,Emerson Oliveira Neves Roque (kulia) akiwasalimia mashabiki wa timu iyo,baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere na mchezaji mwenzake Andrey Coutinho.
 Emerson Oliveira (katikati) na Couthno (kushoto), wakipokelewa uwanja wa ndege jana mchana siku ya  Jumatano Novemba 26, 2014 
Kiungo mkabaji, Mbrazil Emerson De Oliveira Neves Rouqe amewasili nchini na kupokewa na mashabiki wachache wa Yanga kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Habari za Simba kupatikana kupitia mtandao wa Vodacom


Klabu ya soka ya Simba kwa kushirikiana na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania leo zimezindua huduma mpya inayojulikana kama ‘Pata habari za klabu ya Simba’ ambayo itawawezesha wateja wanaotumia mtandao wa Vodacom kupata habari zinazohusiana na klabu ya Simba popote watakapokuwa hapa nchini.
Kampuni nyingine shirika katika kufanikisha huduma hii ni Premier mobile solution na EAG Group.Huduma hii mpya ya ‘Pata habari za klabu ya Simba’ni rahisi na ya ufanisi mkubwa kuwawezesha wateja...

 

10 years ago

GPL

EMERSON USIPIMEEE!

Kiungo mkabaji mpya wa Yanga, Mbrazili, Emerson De Oliveira. Na Wilbert Molandi
KIUNGO mkabaji mpya wa Yanga, Mbrazili, Emerson De Oliveira, anatarajiwa kupewa mechi mbili za kirafiki za kimataifa sawa na dakika 180 kwa ajili ya kuangaliwa kabla ya kupewa mkataba kusaini katika usajili wa dirisha dogo msimu huu wa Ligi Kuu Bara.…

 

10 years ago

Mwananchi

Emerson, Sserunkuma watingisha

Usajili wa nyota wapya wa kigeni umegeuka kete ya ushindi kwenye mechi ya Nani Mtani Jembe 2 baina ya Simba na Yanga inayotarajiwa kuchezwa Desemba 13 jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Emerson apewa majukumu

Kiungo mpya wa Yanga, Emerson De Oliveira Neves Rouqe ameanza mazoezi rasmi jana, huku akipewa jukumu la kuhakikisha anaziba pengo la Frank Domayo.

 

10 years ago

GPL

EMERSON ASAINI YANGA

Kiungo mbrazil Emerson De Oliviera Neves Roque (kushoto) akisaini mkataba leo wa kuitumikia klabu ya Young Africans, kulia ni Afisa Habari wa klabu Baraka Kizuguto. Kiungo Emerson De Oliveira Neves Roque leo amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia klabu ya Young Africans baada ya benchi la ufundi kuridhika na uwezo wake,na mchezaji mwenyewe kufikia makubaliano hayo ya kuwatumikia watoto wa Jangwani. Baada ya kufanya mazoezi...

 

9 years ago

Michuzi

10 years ago

Mwananchi

Emerson apewa mkataba Yanga

Klabu ya Yanga imempa mkataba wa mwaka mmoja kiungo mkabaji, raia wa Brazil, Emerson de Oliveira Neves Roque baada ya kufuzu majaribio.

 

10 years ago

Vijimambo

EMERSON AANZA KUJIFUA YANGA

Kiungo Mbrazil Emerson de Oliveira (wa pili kutoka kulia) akiwa mazoezini leo asubuhi katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Loyola, Dar. Wengine ni Hamis Kiiza, Hussein Javu na Coutinho. (Picha na Yanga SC)
BAADA ya kuwasili jana kutoka nchini Brazil, kiungo mkabaji Emerson de Oliveira Neves Roque leo ameanza mazoezi mepesi asubuhi katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Loyola jijini Dar es Salaam kufuatia kusaifri kwa zaidi ya masaa 11 kutoka jijini Rio de Janeiro.

Emerson ameungana na wachezaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani