Emerson, Sserunkuma watingisha
Usajili wa nyota wapya wa kigeni umegeuka kete ya ushindi kwenye mechi ya Nani Mtani Jembe 2 baina ya Simba na Yanga inayotarajiwa kuchezwa Desemba 13 jijini Dar es Salaam.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-9MkFJ-V5VVM/U5kL7B5OnYI/AAAAAAAFp5E/0CB0cNxyzEs/s72-c/unnamed+(94).jpg)
Ngoma Africa Band watingisha mji wa Dortmund,Ujerumani
![](http://3.bp.blogspot.com/-9MkFJ-V5VVM/U5kL7B5OnYI/AAAAAAAFp5E/0CB0cNxyzEs/s1600/unnamed+(94).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-yu2oHodFNwM/U5kL7caYdnI/AAAAAAAFp5Y/kaI6BhQq92E/s1600/unnamed+(95).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-E6CCUfN1pbY/U5kL7WfK49I/AAAAAAAFp5I/UBtMFAiC2m0/s1600/unnamed+(96).jpg)
10 years ago
GPLINAFRIKA BAND KUTOKA DAR WATINGISHA JIJI LA BREMEN,UJERUMANI
Inafrika Band aka Wazee wa Indege wakifunika bila ya huruma mjini Bremen,Ujerumani. Inafrika Band wakifanya kweli bremen,Ujerumani.…
10 years ago
Mwananchi02 Dec
Sserunkuma amfurahia Okwi
Mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda, Daniel Sserunkuma amesema amefurahi kujiunga Simba ambako atacheza pamoja na Mganda mwenzake, Emmanuel Okwi
10 years ago
Mwananchi29 Dec
Phiri amtetea Sserunkuma
Kocha mkuu wa Simba, Patrick Phiri amesema mshambuliaji wake raia wa Uganda, Danny Sserunkuma alicheza chini ya kiwango katika mechi ya Ligi Kuu dhidi ya Kagera Sugar kwa sababu anahitaji muda zaidi wa kuzoeana na wenzake.
10 years ago
Mwananchi29 Nov
Sserunkuma asaini Simba
Simba imempa mkataba wa miaka miwili mshambuliaji wa Gor Mahia ya Kenya, Dan Sserunkuma, imethibitika rasmi.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-*rcMYSmUcUit-OmGrsgRzG7TZhbNHA5rrBDqxaDWCvGHcbGeENMAtEl72X2yDM3ltaJSohkaBeDx43hoK2HN8BID8oB*nOM/1.jpg)
Sserunkuma: Yanga nawajua
Mshambuliaji wa Simba, Mganda, Danny Sserunkuma. Omary Mdose na Ibrahim Mussa
MSHAMBULIAJI wa Simba, Mganda, Danny Sserunkuma, amewatoa wasiwasi wapenzi wa timu hiyo kwa kuwaambia wawe na imani na timu yao kwani sasa hivi ipo kamili. Sserunkuma aliyesajiliwa na Simba akitokea Gor Mahia inayoshiriki Ligi Kuu ya Kenya, alitua nchini Jumapili ya wiki iliyopita na ameanza mazoezi na kikosi hicho juzi Jumatatu, wakiwa visiwani...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-FnIUbRx9His/VOBNkLiaYyI/AAAAAAAHDyQ/LMF-LGQGrxA/s72-c/unnamed%2B(17).jpg)
INAFRIKA BAND KUTOKA DAR WATINGISHA JIJI LA BREMEN,UJERUMANI, TANZANIAN FOLK MUSIC MADE IN BONGO TO THE WORLD YAKUBALIKA KIMATAIFA!
Bendi ya muziki INAFRIKA BAND aka "Wazee wa Indege" kutoka jiji Dar es salaam, imelitingisha jiji la Bremen, nchini Ujerumani katika onyesho liliofanyika usiku wa 13 Februari 2015 katika ukumbi mkubwa wa Musik-Theater mjini humo. Bendi hiyo kutoka Chang'ombe ilisimama jukwaani na kuziteka nyoyo za maelfu ya wapenzi wa muziki kiasi cha kutajwa kuwa bendi bora ya muziki wa Folk na radio Funkhaus-Europe kutokana na vionjo vya mitindo ya muziki wa asili wa makabila ya Kitanzania vilivyotumiwa na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LG4v1FKIM7nUoFrp1QCcAYjYGaqrcylI5Iojobd95VXgmYUBuYBIcVoRW9Rtr1bEaTVtB66lIshC5rXvLzeFYINE2a*mqtev/Untitled1.gif?width=650)
EMERSON USIPIMEEE!
Kiungo mkabaji mpya wa Yanga, Mbrazili, Emerson De Oliveira. Na Wilbert Molandi
KIUNGO mkabaji mpya wa Yanga, Mbrazili, Emerson De Oliveira, anatarajiwa kupewa mechi mbili za kirafiki za kimataifa sawa na dakika 180 kwa ajili ya kuangaliwa kabla ya kupewa mkataba kusaini katika usajili wa dirisha dogo msimu huu wa Ligi Kuu Bara.…
10 years ago
Mwananchi01 Feb
Sserunkuma atuliza mizuka Simba SC
Simba imewapoza roho mashabiki wake waliokuwa na hasira baada ya jana kuibuka na ushindi wa mabao 2- 1 dhidi ya JKT Ruvu katika mchezo mkali wa Ligi Kuu Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania