Emerson apewa majukumu
Kiungo mpya wa Yanga, Emerson De Oliveira Neves Rouqe ameanza mazoezi rasmi jana, huku akipewa jukumu la kuhakikisha anaziba pengo la Frank Domayo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi02 Dec
Emerson apewa mkataba Yanga
Klabu ya Yanga imempa mkataba wa mwaka mmoja kiungo mkabaji, raia wa Brazil, Emerson de Oliveira Neves Roque baada ya kufuzu majaribio.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LG4v1FKIM7nUoFrp1QCcAYjYGaqrcylI5Iojobd95VXgmYUBuYBIcVoRW9Rtr1bEaTVtB66lIshC5rXvLzeFYINE2a*mqtev/Untitled1.gif?width=650)
EMERSON USIPIMEEE!
Kiungo mkabaji mpya wa Yanga, Mbrazili, Emerson De Oliveira. Na Wilbert Molandi
KIUNGO mkabaji mpya wa Yanga, Mbrazili, Emerson De Oliveira, anatarajiwa kupewa mechi mbili za kirafiki za kimataifa sawa na dakika 180 kwa ajili ya kuangaliwa kabla ya kupewa mkataba kusaini katika usajili wa dirisha dogo msimu huu wa Ligi Kuu Bara.…
10 years ago
Mwananchi05 Dec
Emerson, Sserunkuma watingisha
Usajili wa nyota wapya wa kigeni umegeuka kete ya ushindi kwenye mechi ya Nani Mtani Jembe 2 baina ya Simba na Yanga inayotarajiwa kuchezwa Desemba 13 jijini Dar es Salaam.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ct4BimYh7Mj6SXr4lkDv3-zIX*AGe4nyab-KN0-E0*McEd2jPR4ZiVe69KQKEaPCS*ujdCIsLxXIsrCXxKr*7o3B4Laqs7Gq/emerson.jpg)
EMERSON ASAINI YANGA
Kiungo mbrazil Emerson De Oliviera Neves Roque (kushoto) akisaini mkataba leo wa kuitumikia klabu ya Young Africans, kulia ni Afisa Habari wa klabu Baraka Kizuguto. Kiungo Emerson De Oliveira Neves Roque leo amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia klabu ya Young Africans baada ya benchi la ufundi kuridhika na uwezo wake,na mchezaji mwenyewe kufikia makubaliano hayo ya kuwatumikia watoto wa Jangwani. Baada ya kufanya mazoezi...
10 years ago
Mwananchi27 Nov
Emerson atua, Maximo amsifia
Kocha mkuu wa Yanga, Marcio Maximo amewaomba mashabiki wa timu hiyo waondoe hofu kwani kiungo mkabaji mpya aliyekuja naye kutoka Brazil, Emerson de Oliveira Neves Rouqe ni kifaa chenye uwezo wa kucheza popote.
10 years ago
VijimamboEmerson: Nina habari za Simba
Kiungo mkabaji, Mbrazil Emerson De Oliveira Neves Rouqe amewasili nchini na kupokewa na mashabiki wachache wa Yanga kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...
10 years ago
Vijimambo27 Nov
EMERSON AANZA KUJIFUA YANGA
![](http://api.ning.com/files/17StHKe5zK6j2iG7mh2yDkZsIAJQbjXQH0TfZxiE3v6LitfsjqbKpyeBqtk3cydgG3dpZBSNTF4JTLspeltz2J2eL6L4LP0t/YANGA.jpg)
BAADA ya kuwasili jana kutoka nchini Brazil, kiungo mkabaji Emerson de Oliveira Neves Roque leo ameanza mazoezi mepesi asubuhi katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Loyola jijini Dar es Salaam kufuatia kusaifri kwa zaidi ya masaa 11 kutoka jijini Rio de Janeiro.
Emerson ameungana na wachezaji...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/17StHKe5zK6j2iG7mh2yDkZsIAJQbjXQH0TfZxiE3v6LitfsjqbKpyeBqtk3cydgG3dpZBSNTF4JTLspeltz2J2eL6L4LP0t/YANGA.jpg)
EMERSON AANZA MAZOEZI YANGA
Kiungo Mbrazil Emerson de Oliveira (wa pili kutoka kulia) akiwa mazoezini leo asubuhi katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Loyola, Dar. Wengine ni Hamis Kiiza, Hussein Javu na Coutinho. (Picha na Yanga SC) BAADA ya kuwasili jana kutoka nchini Brazil, kiungo mkabaji Emerson de Oliveira Neves Roque leo ameanza mazoezi mepesi asubuhi katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Loyola jijini Dar es Salaam kufuatia kusaifri kwa zaidi ya masaa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/alJLWH62eMRe0KbYwsTbPfXiNUQdOMW9JT0JS*xfevSgiwlKp2tgpokvxEYG0SuXmZaF73drJHCQgH7dfycZMfemWGyCmrJA/1.jpg)
Hapa Emerson, pale Tegete …
Mshambulriaji wa Yanga, Jerry Tegete. Na Wilbert Molandi
KUTUA kwa kiungo mkabaji mpya wa Yanga Mbrazili, Emerson Oliveira na kuondoka kwa mshambuliaji, Geilson Santos Santana ‘Jaja’ kumefumua kikosi cha kwanza cha kocha, Marcio Maximo. Emerson ametua nchini siku tatu zilizopita akitokea Brazil kwa ajili ya kufanya majaribio Yanga akichukua nafasi ya Jaja aliyeshindwa kurejea kujiunga na wenzake kutokana na...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania