DIDA NINA SHEPU YA KALIMATI!
![](http://api.ning.com:80/files/2VGrzzXedu0IVUjvVjLWJU4lQ1ewsJdxh-vZijj5bYDPzBqWxg8cQKD9sb1nLQbKCSo7RIv1FnKhEjUZ6TNVj4R4EpSVAXU*/DIDA.jpg)
Stori: Musa Mateja MTANGAZAJI wa kituo cha Redio Times, Hadija Shaibu ‘Dida’, juzikati aliamua kutoa siri yake ya moyoni na kuweka wazi juu ya tabia yake ya kuachika na kupata mume mpya mara kwa mara. Mtangazaji wa kituo cha Redio Times, Hadija Shaibu ‘Dida’ akiwa kwenye bethidei ya Rose Ndauka. Aliweka bayana kwamba anaachika na kupata mwanaume mpya haraka kwa sababu ana shepu ya kalimati (aina ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YoqhN--8jZcSazPBgDqN*WFkqEBHKlycMZr0TrEHOn9ZsKfeimYXYrcoAorjxUZnSKIfxliRFK3QAjFpUiDTv4m9YviDT-g9/LULU501024x1024.gif?width=650)
WANABEBWA NA SHEPU ZAO!
Elizabeth Michael 'Lulu'. Makala: Deogratius Mongela
Umaarufu na ustaa wao kamwe haulingani na matunda ya kazi zao! Unajua kinachowabeba na kuwaweka mjini baadhi ya mastaa Bongo? Ni muonekano wa shepu na maumbo bomba waliyojaaliwa na Mwenyezi Mungu! KHADJA SAID ‘KADIJANITO’ KHADJA SAID ‘KADIJANITO’
Mwanadafada Khadja Said ‘Kadijanito’ kutoka Nyumba ya Vipaji (THT) alitusua na ngoma ya...
10 years ago
Vijimambo29 Jan
UZURI NA SHEPU UNAYO, FARAGHA JE?
![](http://www.tellyouall.com/wp-content/uploads/2014/12/black-couple11.jpg)
Wapo pia wanawake ambao hawana sura ya mvuto lakini Mungu kawajaalia kuwa na maumbile tata yanayowatoa udenda wanaume wengi.
Kimsingi kila mwanamke ni mzuri.
Unaweza kukutana na msichana ukaona hana sifa za kuwa wako lakini kwa mwingine ikawa tofauti.
Ndiyo maana hakuna...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bdG71GPfFwFCRnN9DgBsaBbOZ2n9KVWz4lIqmZiZjjVLN5CdR-p4aBTsYHUsDqDQmqMGNhy*WEKhExgLQ1g2-y-fJ-eX4WmO/nora.jpg)
MTALAKA WA NORA ASAKA WENYE SHEPU
Stori: Imelda Mtema
Mtalaka wa msanii mkongwe wa filamu Nuru Nassoro ‘Nora’, Luqman Nassoro amesema anasaka wasichana warembo na muonekano mzuri kuanzia sura hadi shepu kwa ajili ya kufanya nao kazi. Msanii mkongwe wa filamu Nuru Nassoro ‘Nora’ akiwa na mtalaka wake Luqman Nassoro wakati wa harusi yao. Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, Luqman anayemiliki kampuni iitwayo QV, alisema ameamua...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pBrEDFyKDmO*a2N3S90BAFGojFRM3BtDW8aO2inryoO04j3P4hSHe-iwRvzlbsHgFj8PQY8pDi8bjkA-*MwNThDvbzfgw2Sp/image.jpg?width=650)
UJAUZITO UMENIVURUGA SHEPU YANGU, TIWA SAVAGE
Mwanamuziki wa Nigeria, Tiwa Savage. Lagos Nigeria MWANAMUZIKI Tiwa Savage wa Nigeria amelalamika kwamba ujauzito alio nao hivi sasa umevuruga shepu yake hasa kutokana tumbo kujitokeza. Tiwa Savage akiwa na mumewe Tunji ‘Teebillz’ Balogun.
Mrembo huyo ambaye anategemea kumzalia mtoto mumeweTunji ‘Teebillz’ Balogun, amesema kwenye akaunti yake ya Instagram kwamba pamoja na kufurahia hali hiyo,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/N9SP9Z4W-Dfm8IJAaMBp-48NBGqQLE18phkVmsXwGrTkQMUtes3oRZpQ853j1yHbomPESxa8QkncR23dKeR2UmA3mvmghri5/micah3.jpg)
MWANAUME MWENYE ‘HIPS’ NA SHEPU LA KIDADA
Kijana Micah ambaye ni msanii wa R&B anayechipukia mwenye miaka 20 kutoka Chicago, Marekani, amechukua nafasi katika mitandao mbalimbali ya kijamii kutokana na umbo lake kuwashangaza wengi.…
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/f5QbJIEIZ4xTfw6vl8cZXWL8SECG-YFKjw*LzSY53bPMEINRQauGpp6zEprB2XcTVXEYv3O4v8mT*gfSZ1ZebKNd1ulkJR8W/Love.jpg)
UNARINGIA UZURI NA SHEPU YAKO, VIPI HII LA FARAGHA?
Ulimwengu wa sasa umejaa wanawake wazuri sana, kila unayemuangalia unaona kuna vitu f’lani Mungu kamjaalia. Unaweza kukutana na msichana ambaye hana shepu kabisa lakini sura yake peke yake inamfanya awe tishio kwa wanaume. Wapo pia wanawake ambao hawana sura ya mvuto lakini Mungu kawajaalia kuwa na maumbile tata yanayowatoa udenda wanaume wengi.
Kimsingi kila mwanamke ni mzuri. Unaweza kukutana na msichana ukaona hana...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/tinayamout2087284713768672.jpg?width=650)
SHOGA: SHEPU YAKO NZURI, BASI MRIDHISHE MUMEO!
Shoga yangu, bila shaka kila mmoja wenu anajiandaa kupiga kura Jumapili ijayo kwa lengo la kumchagua kiongozi aliyemkuna kwa sera zake nzuri wakati wa kampeni. Kikubwa ambacho nakuasa ni kuwa makini katika siku chache zilizobakia kabla ya zoezi hilo asije akatokea mtu na kukudanganya kwa fedha umpe kadi yako ya kupigia kura, utakuwa umefanya kosa kubwa! Baada ya kukumbusha ishu hiyo muhimu, sasa narejea kwenye mada...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/2qI9QjpEOxwV48Ap1slAUjBX2aGdCNAd1MkUc*jlAWism9rc7AoSAseL0Wj6zVQC0Kn1o74nAfaHyb5hBrnmkvLd5jcoFJqu/dida1.jpg?width=650)
NDOA YA DIDA KUVUNJIKA;
Stori: Deogratius Mongela na Chande Abdallah SIKU chache baada ya kuvunjika kwa ndoa ya Khadija Shaibu ‘Dida’, aliyekuwa mumewe, Mtangazaji wa TV1, Ezden Jumanne ameibuka na kutoa sababu kuu tatu za kutengena kwao, Risasi Mchanganyiko linakupa zaidi. Khadija Shaibu ‘Dida’ na Mtangazaji wa TV1, Ezden Jumanne wakipozi. Akizungumza na waandishi wetu katika nyumba aliyohamia kwa sasa, Kijitonyama, Dar,...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania