Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHOGA: SHEPU YAKO NZURI, BASI MRIDHISHE MUMEO!

Shoga yangu, bila shaka kila mmoja wenu anajiandaa kupiga kura Jumapili ijayo kwa lengo la kumchagua kiongozi aliyemkuna kwa sera zake nzuri wakati wa kampeni. Kikubwa ambacho nakuasa ni kuwa makini katika siku chache zilizobakia kabla ya zoezi hilo asije akatokea mtu na kukudanganya kwa fedha umpe kadi yako ya kupigia kura, utakuwa umefanya kosa kubwa! Baada ya kukumbusha ishu hiyo muhimu, sasa narejea kwenye mada...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Shoga; mumeo siyo kaka yako, usimuonee aibu!

hotsexylady94968Shoga, matumaini yangu kwamba hali yako ni nzuri na ulisherehekea vizuri Sikukuu ya Idd na Krismasi na sasa unajiandaa kuupokea Mwaka Mpya wa 2016.

Kama sikukuu hizo hazikuwa nzuri kwako, hebu jipange ili Mwaka Mpya nawe ufurahi kama ilivyokuwa kwa wenzako ambao walifurahi kuwa na wenza wao wakila na kunywa.
Leo shoga yangu nataka kuzungumza na wewe kuhusu tabia ya kumuonea aibu mumeo wakati siyo kaka yako wala mkweo.

Nasema hivyo kufuatia mazungumzo yaliyojiri baina yangu na mwenzetu mmoja...

 

10 years ago

GPL

SHOGA: MPIGE ‘STOP’ MUMEO KUCHEKA NA SHOGA ZAKO!

Shoga, ni matumaini yangu hali yako ipo poa na unaendelea kusaka ugali wa kula watoto kama kawaida.
Kwa upande wangu namshukuru Mwenyezi Mungu, afya yangu, wanangu na mume wangu ni nzuri kabisa.
Baada ya wiki iliyopita kuzungumza nawe kuhusu kuyafanyia kazi yote uliyofundishwa na kungwi wako ili umpagawishe mumeo na kumfanya atulie nyumbani, leo nimekuandalia kitu tofauti. Nafanya hivyo ili kuufungua ubongo wako katika suala...

 

9 years ago

GPL

SHOGA; MAMA YAKO ASIKUINGILIE KWENYE NDOA YAKO

Shoga, awali ya yote napenda kuwapongeza wote waliojitokeza katika zoezi la kupiga kura juzi kwani wameitumia vyema haki yao ya kidemokrasia kikubwa sasa kusubiri Tume ya Taifa ya Uchaguzi kumtangaza mshindi wa kiti cha urais ili tuendelee na maisha yetu ya kawaida. Leo shoga yangu nimeona nizungumze nawe mwenzangu uliyeolewa kuhusiana na mama zetu ambao wametuzaa, kutulea, kutusomesha na hatimaye kutuozesha kwa waume zetu....

 

10 years ago

GPL

SHOGA: MTOTO ASIKUTENGANISHE NA MUMEO!

Shoga zangu, ni matumaini yangu kwamba nyote mtakuwa na afya njema na mapambano ya maisha yanaendelea vizuri licha ya kuwa na changamoto za hapa na pale.Kwa upande wangu ondoeni shaka, afya yangu ni njema na mume na watoto wetu wapo poa kabisa. Leo shoga zangu nimeamua kuzungumza nanyi kuhusu uzembe unaofanywa na baadhi ya wenzetu baada ya kupata watoto na kusahau kabisa majukumu yao kwa waume zao.Nimeamua kuzungumza nanyi ishu...

 

10 years ago

GPL

SHOGA: MLILIE MUMEO ASIWAWAZE WENGINE!

Asalaam alaykhm mashoga zangu! Kwa uwezo wa Mola ni matumaini yangu nyote mu wazima na mnaendelea vyema na majukumu ya kimaisha na malezi ya familia. Kwa upande wangu nipo vizuri kiafya na kazi inakwenda murua, japo changamoto ni sehemu ya maisha yetu.
Shoga zangu, leo nimewaandalia ‘topiki’ yenye kichwa hicho hapo juu. Ni kweli kabisa mwanamke unapaswa kumlilia mumeo ili kumteka asiwawaze wengine. Ukiacha kulia,...

 

10 years ago

GPL

SHOGA: KWA NINI MUMEO AKUSALITI?

Kama ilivyoada binadamu kujuliana hali, napenda kuwafahamisha kwamba hali yangu ni nzuri sijui kwa upande wenu.
Shoga zangu, kwa kuwa nchi yetu inajiandaa kwa uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na rais utakaofanyika Oktoba mwaka huu, napenda kuwashauri msijiweke mbali na kila kinachojiri kuhusiana na ishu hiyo ili kuelewa mambo mbalimbali ya kisiasa kabla ya kuwachagua viongozi wetu hususan rais. Leo shoga zangu nimekuja na...

 

10 years ago

GPL

SHOGA USIMWAMBIE MUMEO UMECHOKA, UTAACHWA!

Shoga, baada ya wiki iliyopita kuzungumza nawe kuhusu kutotoa nafasi kwa nduguzo kuwa karibu sana na mumeo, leo nitazungumza nanyi kuhusu athari za kumwambia mumeo umechoka.Kuchoka ninakokuzungumzia si kule kwa kufanya kazi za nyumbani kama kupika, kufua, kuuza duka, kuwa bize na watoto nk. Mada yangu ni mahususi kwa wenzetu ambao huwanyima waume zao ‘chakula cha usiku’ kwa madai kwamba wamechoka hivyo hawahitaji...

 

10 years ago

GPL

SHOGA: MUMEO ANAKURIDHISHA MCHEPUKO WA NINI?

Asalaam alaykhum shoga yangu! Kwa upande wangu nipo vizuri sana kuanzia kiafya pamoja na kiuchumi.
Shoga, kabla sijaanza kukueleza nilichokuandalia leo, napenda kumpa pole mama wa mabinti wawili wakazi wa mkoani Pwani kwa masaibu yaliyowapata ya kubakwa na baba yao mzazi. Hakika tukio hilo limenihuzunisha sana mbaya zaidi ni pale baadhi ya ndugu wa mumewe wanampomtishia maisha mama huyo kwa kitendo cha kumfikisha mumewe kwenye...

 

10 years ago

GPL

UNARINGIA UZURI NA SHEPU YAKO, VIPI HII LA FARAGHA?

Ulimwengu wa sasa umejaa wanawake wazuri sana, kila unayemuangalia unaona kuna vitu f’lani Mungu kamjaalia. Unaweza kukutana na msichana ambaye hana shepu kabisa lakini sura yake peke yake inamfanya awe tishio kwa wanaume. Wapo pia wanawake ambao hawana sura ya mvuto lakini Mungu kawajaalia kuwa na maumbile tata yanayowatoa udenda wanaume wengi.
Kimsingi kila mwanamke ni mzuri. Unaweza kukutana na msichana ukaona hana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani