Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Papa Francis asema atakufa baada ya miaka miwili au mitatu

Utamaduni wa kuachia madaraka ndani ya kanisa hilo linalotajwa kuwa na waumini wengi duniani uliasisiwa upya mwaka jana na mtangulizi wake, Papa Benedict XVI aliyeng’atuka kutokana na matatizo ya kiafya. Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis kwa mara ya kwanza ametabiri hatima ya maisha yake duniani akisema kuwa anaamini Mungu anaweza kumpa muda wa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Papa Francis: Nitakufa baada ya miaka miwili au mitatu

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis kwa mara ya kwanza ametabiri hatima ya maisha yake duniani akisema kuwa anaamini Mungu anaweza kumpa muda wa miaka miwili au mitatu ya kuishi.

 

10 years ago

GPL

FRANCIS CHEKA JELA MIAKA MITATU

BONDIA Francis Cheka (pichani) leo amehukumiwa miaka mitatu kwenda jela kwa kosa la kumpiga meneja wake wa baa mkoani Morogoro mwaka jana. Cheka amehukumiwa katika Mahakama ya…

 

10 years ago

BBCSwahili

Francis Cheka : miaka mitatu jela

Bondia wa kulipwa nchini Tanzania, Francis Cheka, ambaye ni maarufu kwa jina la SMG, amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela .

 

10 years ago

BBCSwahili

Papa Francis: Sijatazama Tv kwa miaka 25

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis, amesema kuwa hajatazama runinga kwa miaka 25 wala hatumii mtandao wa intanet

 

9 years ago

Bongo5

Rapper mpya? Baada ya Magufuli, Papa Francis atrend Twitter na #PopeBars, picha hii ndio chanzo

3596

Weusi, Fid Q na rappers wengine kaeni chonjo sababu Papa Francis anataka crown yake!

3596

Picha ya kiongozi huyo mkuu wa kanisa katoliki duniani akiongea huko Bangui, Jamhuri ya Afrika ya Kati, imesababisha atrend kwenye Twitter kwa hashtag #PopeBars.

Papa anaonekana akiwa ameshika kipaza kama vile wanavyoshika rappers na hivyo kuifanya picha hiyo iwe gumzo mtandaoni.

Wakitumia hashtag ya #PopeBars watu wamekuwa wakiandika mashairi wanayodhani kama Papa angekuwa rapper akenguwa akiyachana.

Haya...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE KATIKA HAFLA YA MIAKA MIWILI YA KUTAWAZWA KWA POPE FRANCIS KUWA KULIONGOZI WA KANISA KATOLIKI DUNIANI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Balozi wa Vatican na Mwakilishi wa Papa nchini Tanzania, Francisco Montecillo Padilla kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaamBalozi wa Vatican na Mwakilishi wa Papa nchini Tanzania, Francisco Montecillo Padilla qkihutubia kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Papa Francis asema corona imeonyesha jinsi maskini wanavyotengwa na jamii

Papa Francis anasema janga la virusi vya corona limeonyesha ni kwa jinsi gani maskini wametengwa na jamii.

 

10 years ago

Bongo Movies

Miaka mitatu baada ya kifo cha Kanumba: Bongo movies ‘Will never be the same again’

Wakati mwingine kuna maswali magumu sana kuweza kuyajibu. Kwa mfano kwanini watu muhimu na wazuri hufa mapema? Kwanini watu wenye umuhimu mkubwa katika jamii huondoka ghafla tena katika wakati ambapo wapo kwenye kilele cha mafanikio yao?

Chukulia mfano Aaliyah, Tupac, Notorious BIG au Stephen Kanumba! Hili ni swali gumu sana kulijibu na hivyo mambo mengine ni ya kumwachia Mungu.

Leo ni April 7, miaka mitatu tangu kifo cha muigizaji mahiri, aliyependwa, aliyekuwa na kipaji cha hali ya juu,...

 

11 years ago

GPL

MAMA WA MTOTO WA MIAKA MIWILI,ASEMA: ‘HATA MIMI NAPENDA KUISHI KAMA WENGINE’

Stori: Mwandishi Wetu NI kweli kama binadamu hujafa hujaumbika! Maana ya msamiati huu ni kwamba, siku binadamu anapoingia kaburini ndipo kuumbika kwake kulivyo!
Selitian Nata (25) mkazi wa Kijiji cha Kisogo Kata ya Vigwaza Wilaya ya  Bagamoyo, Pwani amejikuta katika wakati mgumu kufuatia mguu wake wa kushoto kuvimba mfano wa tende kwa ugonjwa ambao bado haujapata tiba. Selitian Nata (25) mkazi wa Kijiji cha Kisogo Kata ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani