Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watu na mbinu zao, jamaa kavunja sheria za barabarani, baada ya askari kuja akavua nguo ili … (+Pichaz)

Katika maisha watu wana mbinu nyingi za kuhakikisha malengo au mipango yao inafanikiwa kwa kutumia mbinu tofauti tofauti. Mtu wangu wa nguvu katika pita pita zangu mitandaoni nikaingia lindaikejeblog. Tanzania tumezoea kuona madereva wa daladala wakiwashawishi traffic kwa njiani tofauti tofauti ili kukwepa adhabu au faini. Hii imetokea Lagos Nigeria dereva wa basi, baada ya kuvunja […]

The post Watu na mbinu zao, jamaa kavunja sheria za barabarani, baada ya askari kuja akavua nguo ili …...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Zitambue mbinu wanazozitumia wafanyabiashara kukushawishi ili uweze kununua bidhaa zao

Zitambue mbinu wanazozitumia wafanyabiashara kukushawishi ununue bidhaa zao. Baadhi ya habari unazosoma katika magazeti, majarida na mabango huwa zimeandikwa kusudi ili kukushawishi ukikubali au kukataa kitu fulani.

 

11 years ago

Michuzi

hoja ya haja: Wingi wa Askari wa Usalama Barabarani na Matumizi Sahihi ya Muda wa Kazi na Rasilimali Watu

Siku za karibuni nimekua nikipita Barabara ya Morogoro kuanzia Ubungo hadi Mlandizi. Huu ni umbali wa kama 50Km hivi. Ajabu katika umbali huu kuna polisi wa usalama barabarani wengi sana kiasi cha kufanya barabara hii ionekane kama ni ya kuogofya au kuna ukaguzi maalum au operation tokomeza madereva wabovu. Hata hivyo, sijasikia kabisa uwepo wa operation hii, labda kama inafanyika kiintelejensia zaidi na kwa mwaka mzima. Katika kushangaa wingi wa askari hawa, nilimekua nikihesabu makundi...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA; NI KOSA ASKARI KUONDOKA NA MTU MWINGINE BAADA YA KUMKOSA MTUHUMIWA NYUMBANI.

             Na  Bashir  Yakub.
Malalamiko  ya raia  dhidi  ya  jeshi  la  polisi  hayataishi  kama  polisi  wenyewe hawatajirekebisha.  Na ieleweke kuwa  si  kweli  kwamba wanaolalamika  ni  wajinga  au hawana sababu  za  msingi.  Mara  zote  ukiangalia  malalamiko  ya  raia huwa  ni  ya  msingi  na  mzizi  wake ni  mmoja  tu.  Ni  utamaduni  wa  askari  wetu  kutopenda  kutenda  hatua  kwa  hatua  kama sheria  inavyoagiza. Sheria  imetoa  maelezo  mazuri  tu  ya namna  ya  kuyaendea  mambo....

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: JE WAJUA SHERIA INAKURUHUSU RAIA KUKATAA KUKAMATWA NA ASKARI TARATIBU ZINAPOKIUKWA ?

Na  Bashir  Yakub.Siku  zote  wananchi  wamekuwa    wakililalamikia jeshi  la polisi  kwa  namna  linavyoendesha  shughuli  zake hasa wakati  wa  ukamataji (arrest). Matumizi  ya  nguvu, ubabe    na  kutofuata  sheria    na  taratibu  maalum  limekuwa  ndio  tatizo  kubwa  kwa  wananchi  dhidi  ya  askari.  
Sio  siri  askari wamekuwa  wakitumia  nguvu  na  ubabe  mno  katika  kuwakamata raia.  Hata  pale pasipo  na  haja  yoyote  ya  kutumia  nguvu    bado  wao  wamekuwa  wakilazimisha...

 

5 years ago

BBCSwahili

Jamaa afukuliwa miezi miwili baada ya kuzikwa

Familia moja nchini kenya imefukua mwili wa jamaa yao kutekeleza agizo lake la kuzikwa na pakiti ya sigara pamoja na peremende anzozipenda

 

10 years ago

GPL

MBINU 5 ZA KUJIFUNZA MAPENZI ILI USIACHIKE, USISALITIWE!

Nilishawahi kusema huko nyuma kwamba, mapenzi yanachukuwa sehemu kubwa sana ya maisha yetu ya kila siku.Tunafanya kazi usiku na mchana lakini pesa tunazopata tunazitumia kwenye kufurahia maisha na wapenzi wetu. Ndiyo maana ukiwa hauko sawa kimapenzi, namaanisha ukiwa huna mpenzi wakati unahitaji kuwa naye au unaye lakini anakukorofisha, hata mambo mengine huwezi kuyafanya kwa ufasaha.
Lakini yule ambaye maisha yake ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Askari 15 wa Misri wauawa barabarani

Misri imesema kuwa mtu mmoja aliyekuwa na silaha amewaua askari kumi na watano katika shambulio la kizuizi cha barabarani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani