Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baada ya mapumziko ya miezi mitatu, mpira unazunguka miguuni tena

KWANZIA leo, tutakuwa na uwezo wa kufurahia Ligi nyingine ya mpira wa miguu ikicheza. Sote tunafahamu orodha ya ubashiri haipendezi kama Serie A haipo.
Kurejea kwake ni kama mpira halisi umemkuta anae bashiri, na ofa maalum kutoka Meridian huwezi kuikataa kwani kuna ofa ya machaguo Zaidi ya 5000 kwa siku tatu tu!
Hali ilivyo sio ya kutabirika - Lazio wapo makini kwenye mashindano wakiwa alama moja nyuma ya Juventus, ambao tayari wamepoteza Kombe la nyumbani dhidi ya wapinzani wao Napoli....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Baada ya mapumziko ya miezi 4, Lady Jaydee is BACK!

Jide Jaydee SHOW (1)

Baada ya mapumziko ya miezi 4, Lady Jaydee is BACK!!! tarehe  31 October pale MOG Bar & Restaurant (zamani NYUMBANI LOUNGE).

 

9 years ago

Mtanzania

Cazorla miezi mitatu nje ya uwanja

maxresdefaultLONDON, ENGLAND

KIUNGO wa Arsenal, Santi Cazorla, atakuwa nje ya uwanja kwa miezi mitatu kutokana na kusumbuliwa na goti.

Mchezaji huyo alipata maumivu ya goti katika mchezo dhidi ya Norwich, ambao ulimalizika kwa sare ya 1-1.

Hata hivyo, Cazorla alionekana kuwa imara katika dakika zote 90 za mchezo huo, japokuwa alikuwa tayari ameumia goti, ila baada ya kumalizika kwa mchezo hali ilionekana kubadilika.

Klabu ya Arsenal imethibitisha kuwa mchezaji huyo atakuwa nje ya uwanja hadi Machi,...

 

10 years ago

BBCSwahili

UN:Ebola kudhibitiwa kwa miezi mitatu

Mjumbe wa Umoja wa Mataifa anayehusika na ugonjwa wa Ebola amesema ugonjwa huo unaweza kudhibitiwa kwa miezi mitatu.

 

9 years ago

Mwananchi

Kocha Majimaji ataka apewe miezi mitatu

Licha ya kusema timu yake iko tayari kwa Ligi Kuu, kocha mkuu wa Majimaji, Mika Lonnstrom amekiri kuwa bado kikosi chake hakijawa na ubora anaoutaka, ila amejipa miezi mitatu ili timu hiyo iwe fiti kwa asilimia 100.

 

11 years ago

KwanzaJamii

Mtoto afichwa uvunguni kwa miezi mitatu

Picha na maktaba SAKATA la mtoto Devota Malole mwenye umri wa miaka mitano, ambaye ni mlemavu aliyeibuliwa baada ya kufichwa chini ya uvungu wa kitanda kwa muda wa miezi mitatu huko Matongolo, Dumila,Tarafa ya Magole wilayani Kilosa limeibua mambo mapya, baada ya kubaini kuwa aliyesababisha kuokolewa ni mume wa mama wa binti huyo. Mashuhuda waliokuwepo wakati wa kufichuliwa kwa mtoto huyo, wakiwemo majirani na wapangaji wa nyumba aliyokuwa akiishi, walisema mpangaji wa chumba hicho,...

 

11 years ago

Mwananchi

Katiba ya Tanganyika inawezekana kwa miezi mitatu

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema Katiba ya Tanganyika inaweza kuandikwa ndani ya miezi mitatu tu kwa kuwa maoni mengi yaliyomo katika Rasimu ya Katiba iliyozinduliwa Jumatatu, kwa kiwango kikubwa yametoka kwa wananchi wa upande huo wa Muungano.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtoto wa miezi mitatu mwathirika dawa za kulevya

Mtoto mwenye umri wa miezi mitatu, mkazi wa Buza, Dar es Salaam amebainika kuwa mwathirika wa dawa za kulevya.

 

10 years ago

Bongo Movies

Jacqueline Wolper Ana Mimba ya Miezi Mitatu?

Jacqueline Wolper ni mama kijacho? – Kwa maneno yake mwenyewe aliyoandika Instagram wakati akiwapongeza Diamond na Zari kwa kupata mtoto wao wa kwanza, Latiffah.

“Congratulations dad and mom MTV, God is always great, Congrats Wasafi President for the little princes. Mine is on the way 5 months to go!!,” ameandika Wolper.

“Sema mtoto wa kwanza bwana unaweza kujikuta unataka kum’beba wewe tuu na kazini usiendee, utunyime mashabk haki yetu ukaacha kututungia viburudisho ukawa unalea. Hongera...

 

10 years ago

Mtanzania

Albamu mpya ya Barnaba kuandaliwa miezi mitatu

barnabaNA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Barnaba Elias ‘Barnaba Classic’, amesema atatumia muda wa miezi mitatu kundaa albamu yake mpya.
Akizungumza jijini hivi karibuni, Barnaba alisema matarajio yake ni kuingiza sokoni albamu hiyo kabla ya kumalizika kwa mwaka huu.
“Unajua tangu nilipoachia ile albamu ya kwanza imepita miaka miwili, nadhani ni muda mwafaka wa kuandaa kitu kingine kwa mashabiki zangu,” alisema Barnaba.
Barnaba alisema shuguli ya kuandaa albamu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani