Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Hizi za Hamisa Mobeto Akiwa Mjamzito Zawa Gumzo

Picha za mwanamitindo  ambaye pia amewahi kucheza filamu kadhaa, Hamisa Mobeto akiwa na ujauzitoo zimewashangaza wengi leo huko kwenye mtandao wa Instagram  kwani sio tu ameonenaka na   ujauzito bali habari zilizotoka na picha hizo ni kwamba mwanadada huyo tayari ameshajifungua mtoto wa kike siku kadhaa zilizopita.

Tofauti na mastaa wengi , ujauzito wa staa huyu ulikuwa siri na wengi hatukujua. Hongera sana Hamisa Mobeto.

Mzee wa Ubuyu

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Picha Hizi za Wema Sepetu na Patcho Mwamba Zawa Gumzo Mtandaoni

Picha za mastaa wakali wa Bongo Movies, Wema Sepetu na Patcho Mwamba zilizosambaa mtandaoni wakiwa kwenye mapozi mtamu matamu yakiwaonyesha kama ni wapenzi zimekuwa kivutio miongoni mwa mashabiki wao. Picha hizo ni picha za promo ya filamu yao mpya ya Chungu cha Tatu inayotarajiwa kuingia sokoni siku chache zijazo.

Chungu cha Tatu imetayarishwa na kutengenezwa chini ya kampuni ya Jerusalem Filims.

Jionee picha zaidi HAPA

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Hamisa Mobeto amuonesha mwanaye baada ya kufikisha miezi 6

Mwanamitindo Hamisa Mobeto ambaye sasa ni mama, amepost picha za mtoto wake huyo wa kike aliyefikisha umri wa miezi 6. Mobeto ambaye amezaa na Dj mkongwe nchini, Majay amepost picha za mtoto huyo Instagram na kuandika; “Happy six month my little mermaid I love you Mwanangu #GodWin @Misfansy @Misfansy #cutekidsclub”. Kwenye picha nyingine ameandika; “Mapozi […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha za Wema na Idris Zawa Gumzo Mitandaoni

Picha za Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu na mshindi wa BBA 2014, Idris Sultan wakiwa kwenye Instagram party jijini Mwanza zimezua mjadala na maswali mengi kwenye mitandao ya kijamii juu ya ukaribu walionao kwa hivi sasa na picha zao wakiwa ‘batani’.

Kila mtu ana lake kuhusu picha hizi, wapo wanosema hawa ni marafiki tu, huku wengine wakisema Wema anataka kujiweka kwa Idris, wapo wanaosema Wema anafanya hivyo kumrusha roho ‘fulani’.

Lakini  yote kwa yote wawili hawa ni marafiki tu , na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha za Wolper Akifanya Mazoezi Zawa Gumzo Mtandaoni!!!

Picha za mrembo na mwigizaji wa sinema za kibongo, Jackline Masawe ‘Wolper’ alizoziweka mtandaono akiwa nafanya mazoezi ya viungo zimezua mjadala na maswali mengi.

Wolper ambae kwasaa anaonekana  kuwa ‘Bonge’ , wiki iliyopita alitangaza kuanza kufanya mazoezi ili aurudie mwili wake wazamani,  toka juzi amekuwa akitupia mtandaoni picha hizo hapo juu  akiwa mazoezini.

Mbali na mashabiki wake wengi kumpamoyo kuwa aendelee kukomaa na mazoezi, wapo ambao waliona kama mwanadada japokuwani kweli...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha za Wema na Ommy Dimpoz Zawa Gumzo Mtandaoni!!!

Siku ya jana kwenye kurasa mbalimbali za watu maarufu kwenye mtandao wa INSTAGRAM walibandika picha hizi za mwanadada Wema Sepetu akiwa na Ommy Dimpoz wakiwa katika mapozi tofauti tofauti.

Kila zilipowekwa, wengi wa bonyeza kitufe cha kuzipenda na wengine waliandika maoni yao huku wengi wakiwasifia kwa jinsi walivyopendeza, na wengine walienda mbali zaidi kuwa wamependezana hivyo ingependeza hii iwe ni Le PROJECT mupyaaa.

Ila baadhi ya watu walibuka na kuponda bila sababu kibaya zaidi ni...

 

9 years ago

GPL

HAMISA MOBETO: NDOA YANGU ITAZINDULIWA MITANDAONI

Imelda Mtema Mwanamitindo Hamisa Hassan ‘Mobeto’ amefunguka kuwa siku atakayofunga ndoa atafanya siri na watu wataiona kwa mara ya kwanza kupitia mitandao ya kijamii. Mwanamitindo Hamisa Hassan ‘Mobeto. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Hamisa alisema kuwa ndoa yake itakuwa ya siri kwa maana atafunga na mumewe Kiislamu bila kuita watu na picha za ndoa hiyo zitazinduliwa mtandaoni. “Watu wakishaziona picha hizo kupitia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani