HAMISA MOBETO: NDOA YANGU ITAZINDULIWA MITANDAONI
![](http://api.ning.com:80/files/JgWHSTt60eud3pwRwJFIV8lYSy*9Jnf1x4IU2zJCTuciByPuAN2G4TfqHdzPjOUOtp7KLmE5c8Dw8iqHtPKDJNf6CS3RKEMD/hamisa.gif)
Imelda Mtema Mwanamitindo Hamisa Hassan ‘Mobeto’ amefunguka kuwa siku atakayofunga ndoa atafanya siri na watu wataiona kwa mara ya kwanza kupitia mitandao ya kijamii. Mwanamitindo Hamisa Hassan ‘Mobeto. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Hamisa alisema kuwa ndoa yake itakuwa ya siri kwa maana atafunga na mumewe Kiislamu bila kuita watu na picha za ndoa hiyo zitazinduliwa mtandaoni. “Watu wakishaziona picha hizo kupitia...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies11 Apr
Picha: Hizi za Hamisa Mobeto Akiwa Mjamzito Zawa Gumzo
Picha za mwanamitindo ambaye pia amewahi kucheza filamu kadhaa, Hamisa Mobeto akiwa na ujauzitoo zimewashangaza wengi leo huko kwenye mtandao wa Instagram kwani sio tu ameonenaka na ujauzito bali habari zilizotoka na picha hizo ni kwamba mwanadada huyo tayari ameshajifungua mtoto wa kike siku kadhaa zilizopita.
Tofauti na mastaa wengi , ujauzito wa staa huyu ulikuwa siri na wengi hatukujua. Hongera sana Hamisa Mobeto.
Mzee wa Ubuyu
9 years ago
Bongo511 Oct
Picha: Hamisa Mobeto amuonesha mwanaye baada ya kufikisha miezi 6
10 years ago
Bongo510 Dec
Hamisa Mobeto na mchumba wake Dj Majey wa E-FM wanatarajia kupata mtoto
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TARUKDkBK7orYFHyfVVVY4Y9Snr--RG6igTJSHlLCdGDof9xUsGofuo1lj2stEmuiweugxu09*6zTAWSFZorSMDQCwm-Hf-W/hamisa.jpg)
HAMISA MABETO: SIFIKIRII NDOA, NAKULA UJANA
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Ndoa ya Nicki Minaj, Meek Mill yazua mjadala mitandaoni
New York, Marekani
IKIWA zimepita siku chache baada ya rappa machachari kutoka Marekani Meek Mill amvalishe pete ya dhahabu mpenzi wake Nick Minaj kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa hivi karibuni wapendanao hao wameibua ‘headline’ kwenye Mtandao wa Kijamii wa Twitter baada ya Nick kuwauliza maswali mashabiki wake juu ya mahali pa kufanyia harusi hiyo akilenga ufukweni au kanisani.
Baada ya Nick, 33, kupost maswali hayo ndani ya muda mchache zaidi ya mashabiki wake 20,000 walitoa maoni...
9 years ago
Global Publishers02 Jan
Nilivyoivunja Ndoa Yangu na Shetani – 3
ILIPOISHIA:
Maisha yaliendelea, nakumbuka siku moja tukiwa tumelala majira ya saa saba usiku nyumba yetu ilivamiwa na maaskari. Emma Mo pamoja na mimi tulichukuliwa juujuu na kupelekwa polisi usiku huo huo. Kwa upande wangu sikujua tumechukuliwa kwa sababu gani.Kabla ya kutuchukua walifanya upekuzi mzito kitu kilichonishangaza na kujiuliza kuna nini.
SASA ENDELEA…
Tulipofika polisi tulitenganishwa kila mmoja aliwekwa sehemu yake, tulilala pale hadi asubuhi. Kesho yake majira ya saa tano...
9 years ago
Global Publishers26 Dec
Nilivyoivunja Ndoa Yangu na Shetani -01
Nayainua macho juu, nautazama ulimwengu ambapo namuona kila mtu anatembea akiwa na yake mazito moyoni. Wengi aibu imetutawala kutoa yaliyo mioyoni kwa kuhofia aibu tutakayoipata, kwa watu kujua mambo ya aibu yaliyomo mioyoni mwetu.
Wengi tumeanzisha mahusiano na shetani bila kujua na mwisho wake kufunga naye ndoa kabisa na kuamini yote atuelekezayo ndiyo sahihi na kusahau kuna Mungu mwenye nguvu na wivu ambaye anatupenda na alituleta duniani kwa kusudi maalumu la kumuabudu yeye.
Hivyo,...