Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANAMKE WA KUMUOA HANA SIFA ZA KUWA MPENZI

YES! Ni Jumanne tena, wenye imani haba husema kwa kawaida Jumanne si siku yenye baraka kifedha! Si kweli! Mungu alipoumba mbingu na dunia aliziona siku zote saba ni njema ila matumizi yetu wanadamu ndiyo yana kasoro! Jumanne ya leo Mungu ameniwezesha kuwafikia tena, ninakuja na mada nzuri sana. Kwamba, Mwanamke wa Kumuoa Hana Sifa za Kuwa Mpenzi.Wengi wanaweza kupingana na huu utafiti wangu lakini nawaomba wasome mada hii mwanzo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Hizi ndio sifa za mwanamke ambaye AY atataka kumuoa

Rapper Ambwene Yessaya aka AY amezitaja sifa za mwanamke ambaye atakuja kumuoa pindi muda ukifika. “Wanawake wazuri wapo wengi,” alisema” Nimekutana na wengi bali kuchagua mke sahihi ni kitu kinachohitaji busara na endapo nikisema niangalie uzuri wa mwanamke nitapoteza malengo yangu. Nahitaji mwanamke ambaye yupo smart kichwani,” AY aliliambia gazeti la mwananchi. Pia AY alisema […]

 

10 years ago

GPL

HAJIBU MESEJI, HAPOKEI SIMU, MAPENZI YAMEPUNGUA, ANA SIFA ZA KUWA MPENZI WAKO? JIONGEZE!

NAMSHUKURU Mungu kwa kunikutanisha nanyi marafiki Jumamosi ya leo. Mungu ni mwema sana ndiyo maana anazidi kutubariki kila kukicha. Tunakutana tena katika darasa letu huru, tunafundishana masuala yahusuyo uhusiano wa mapenzi. Leo nimependa tujadili mada hii ambayo naamini inagusa watu wengi. Wengi wetu tunakubaliana kwamba tumekutana na jambo hili kwa nyakati tofauti.Unampigia simu mpenzi wako hapokei, meseji hajibu na wala hana...

 

11 years ago

BBCSwahili

Rais wa Malawi kumuoa mpenzi wake

Rais mpya wa Malawi Peter Mutharika anatarajiwa kufunga pingu za maisha na mpenzi wake wa muda mrefu siku ya Jumamosi

 

9 years ago

GPL

VAI ADAI HANA SIFA ZA MKE

Msanii wa filamu asiyeishiwa vituko, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’. Imelda Mtema KATIKA hali ya kushangaza, msanii wa filamu asiyeishiwa vituko, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ amekiri kuwa tabia zake za kulewa kila siku zinamfanya kukosa sifa za kuwa mke wa mtu. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, Vai alisema ameshazoea kupiga ulabu hata akiamka asubuhi, kitu kinachomshawishi kuamini kuwa ni vigumu kumpata...

 

9 years ago

GPL

KAMA HANA SIFA HIZI 5, USIKUBALI NDOA

Ni Jumanne nyingine ambapo mamilioni ya Watanzania masikio na macho ni kwenye matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika juzi, Jumapili nchini kote. Mimi kabla sijaendelea mbele na mada ya mapenzi, napenda kuwaasa Watanzania wenzangu kwamba, matokeo yoyote ya uchaguzi tuyapokee kama changamoto na kusubiri miaka mingine mitano. Hakuna haja ya kugombana wala kujengeana chuki. Tanzania ni nchi ya amani. Sasa turudi kwenye mada yetu ya...

 

9 years ago

MillardAyo

Huyu ndiye staa wa Nigeria ambaye akitaka kumuoa mwanamke mweupe ataomba picha yake ya utoto, kisa?

Katika maisha kila mtu ana malengo na mipango yake, hata tukija katika ishu za kutafuta mchumba au kuoa kila mtu ana vigezo vyake, basi mimekutana na kigezo cha mmoja kati ya rapper wakali kutoka Nigeria ambaye jina lake la kuzaliwa ni Jude Abaga ila mtaani anafahamika kama Mr Incredible (MI). MI Abaga ambaye ni CEO wa […]

The post Huyu ndiye staa wa Nigeria ambaye akitaka kumuoa mwanamke mweupe ataomba picha yake ya utoto, kisa? appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

GPL

DIAMOND HANA UWEZO WA KUMPA MWANAMKE UJAUZOTO!

Stori: Imelda Mtema
BAADA ya kudaiwa na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuwa alichoropoa mimba zake mbili, mtangazaji wa Radio E-FM, Penniel Mungilwa ‘Penny’ ameibuka na kujibu mapigo kwamba mwanamuziki huyo hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba, Risasi Jumamosi linakupa mchapo kamili. Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na Wema Sepetu. CHANZO...

 

10 years ago

Vijimambo

Lady Jaydee ataja sifa za mpenzi mpya

Jaydee alitaja sifa za mpenzi huyo na kuweka wazi kwamba anataka mtu ambaye atamheshimu na kumtunzia utu wake.ILIKUWA ni wiki la kipekee kwa mwanamuziki Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ baada ya kukubali kujibu maswali ya mashabiki wake katika matandao wa Instagram, ambapo jana alifunguka kuhusu mpenzi anayemuhitaji kwa sasa.
Jaydee alitaja sifa za mpenzi huyo na kuweka wazi kwamba anataka mtu ambaye atamheshimu na kumtunzia utu wake.“Anayejali na kuheshimu, mwenye roho ya upendo na huruma...

 

11 years ago

GPL

SIFA 10 ZA MUHIMU ZA MPENZI MWENYE UPENDO WA DHATI

KUJIFUNZA ndiyo mwanzo wa maarifa. Siku zote nimekuwa nikisisitiza hivyo. Ndugu zangu, marafiki ambao wameungana nami katika ukurasa huu na safu nyingine ninazoandika katika Magazeti ya Global Publishers kuhusiana na uhusiano wamevuna mengi. Fikra zao hazipo vilevile tena. Wana mabadiliko makubwa kwa sababu wamezoa maarifa ambayo yanawasaidia kufanya uamuzi sahihi kwenye uhusiano na wapenzi wao. Kama ndiyo mara ya kwanza kuanza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani