Rais wa Malawi kumuoa mpenzi wake
Rais mpya wa Malawi Peter Mutharika anatarajiwa kufunga pingu za maisha na mpenzi wake wa muda mrefu siku ya Jumamosi
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3KGM3KZVxz4IWs-zl9Q-7bAEAAKgFxDzuTG07g9RGQWsaJ2-5okZDnP1X2y0QWflvQ2zPw3ACUtbYAAlwhuCppvDKA4X3Hd-/mahaba.gif?width=650)
MWANAMKE WA KUMUOA HANA SIFA ZA KUWA MPENZI
11 years ago
Bongo Movies14 Jul
SHILOLE akataliwa ukweni kisa umri wake kuwa mkubwa kuliko mpenzi wake.
Habari zinadai kwamba baadhi ya ndugu wa msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda ambao ni wakwe wa staa wa muziki na filamu za Kibongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ hawamtaki kwa madai kuwa ana umri mkubwa kuliko ndugu yao.
Wakizungumza na Ijumaa Wikienda kwa nyakati tofauti, baadhi ya wanandugu hao (majina yanahifadhiwa) walisema umri wa Shilole siyo wa kuishi na ndugu yao, Mziwanda kwani hawaendani.
“Ukweli ni kwamba mapenzi hayaingiliwi lakini tunaumia kuona ndugu yetu katika penzi zito na...
11 years ago
MichuziWAZIRI MEMBE AWASILI MALAWI KUMWAKILISHA MHE. RAIS KIKWETE KWENYE MAZISHI YA ALIYEKUWA BALOZI WA MALAWI NCHIN
10 years ago
Bongo Movies08 Jan
Nisha na Mpenzi Wake Wamwagana
Mwigizaji wa kike anaeonyesha uwezo mkubwa kwenye tansia ya filamu hapa Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ na mpenzi wake aliyejulikana kwa jina la Farhad wanadaiwa kumwagana baada ya kuwa kwenye uhusiano kwa muda mrefu.
Chanzo makini cha GPL,kilisema kwamba Nisha na mpenzi wake huyo ambaye walikuwa na mipango ya kuoana mwaka jana lakini ndoa ikayeyuka waliachana kutokana na sababu zisizojulikana na sasa kila mmoja yupo bize na maisha yake.
Baada ya kuzinyaka habari hizo paparazi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jbaar29oQX7tCwf4bHl3jIw2xN1VvUQIVEwqNBzFhxhcZRYcHJZ4uJH4mVebht*NKUgskVXSW640IqPn3rC7Kp5B2jsE5Nsw/Nisha.jpg)
NISHA MPENZI WAKE WAMWAGANA
10 years ago
Mtanzania14 May
Kabula atulizwa na mpenzi wake
NA RHOBI CHACHA
BAADA ya kuachana na mwanamuziki Ruta Bushoke ‘Bushoke’, mwigizaji wa filamu Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ ameibuka na kudai kwamba mpenzi wake mpya hataki aende kwenye kumbi za starehe.
Kabula bila kumtaja mpenzi wake huyo mpya, alidai kwamba amekatazwa na hatakiwi kuzungumzia habari za kwenda kwenye kumbi za starehe.
“Nimeamua kupunguza kwenda kwenye kumbi za starehe kwa sababu niko bize na mpenzi wangu na pia kwa sasa naandika filamu na nyimbo kwa ajili ya mradi wangu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JcikeZL6OiIMsE0y5-LCUwxI5fQkXC6*w7dSIWo9sbiAarjfxMK714EZ7uV5ifsSHlQdDUYT-uWbrexlZviN3j2Z4qrMGOUr/vainoma.jpg)
VAI WA UKWELI MPENZI WAKE WAMWAGANA
11 years ago
Habarileo01 Jul
Aua mpenzi wake, ajikata koromeo
MKAZI wa Mtaa wa Majengo ‘B’ mjini hapa, Cesilia Clement (22) ameuawa kikatili kwa kuchomwa kisu mwilini na mpenzi wake, aliyemtuhumu kutomjali baada ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamume mwingine. Mtuhumiwa aliyefahamika kwa jina moja la Kanu, ambaye ni mkazi wa Kigoma naye amejijeruhi vibaya kwa kujikata koromeo, alipojaribu kujichinja baada ya kubaini kuwa amemuua mpenzi wake Cecilia.
10 years ago
CloudsFM05 Nov
NICKI MINAJ ‘AMWAGANA’ NA MPENZI WAKE
Mwanamuziki asiyekwisha vituko wa nchini Marekani,Nicki Minaj inadaiwa ameachana na mpenzi wake safaree samuel baada ya kutokea ugomvi mkumbwa kati yao hadi kupekelekea gari ya mchumba wake huyo aina ya mercedez benz kuvunjika kioo.
Habari zinasema kuwa kwenye ugomvi huo Minaj alichukua fimbo na kuvunja kioo cha gari ya mpenzi wake ambayo aliinunua yeye mwenyewe nicki minaj wakati wa mapenzi motomoto.
Kana kwamba haitoshi Nicki alichukua nguo za mpenzi wake na kuzitupa kwenye takataka,tukio...