Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AUNT ADAI TALAKA!

Stori: mwandishi wetu
NYOTA wa sinema za Bongo asiyetabirika maisha, Aunt Ezekiel amedaiwa kudai talaka kutoka kwa ndugu wa mumewe Sunday Demonte kufuatia madai kwamba alikasirishwa na manenomaneno yao kwenye vyombo vya habari. Ntaa wa sinema za Bongo asiyetabirika maisha, Aunt Ezekiel Kwa mujibu wa chanzo, nyota huyo aliyasema hayo mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar baada ya kutua toka  Dubai alikodai alikwenda kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TALAKA YA AUNT YATUA UKWENI

Waandishi wetu
KHA! Kuna madai kwamba, Aunt Ezekiel alishaandikiwa talaka na ipo nyumbani kwa wazazi wa aliyekuwa mumewe, Sunday Demonte, Temeke Mwisho jijini Dar. Muingizaji wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel. Kwa mujibu wa chanzo, talaka hiyo iliandikwa na mumewe huyo baada ya kupata taarifa kwamba, mkewe huyo ana ujauzito unaodaiwa kuwa ni wa Mnenguaji wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moze Iyobo. “Hivi...

 

10 years ago

GPL

MKE WA SHETTA ADAI TALAKA

Musa Mateja na Imelda Mtema
KIMENUKA! Siku chache baada ya habari ya staa wa Bongo Fleva anayesumbua na wimbo wa Shikorobo, Nurdin Bilal ‘Shetta’ kudaiwa kulala chumba kimoja na mwigizaji Rose Ndauka kuandikwa gazetini, mkewe Neila Yusuf ameshindwa kuvumilia na kudai talaka yake, Risasi Mchanganyiko linakujuza. Staa wa Bongo Fleva anayesumbua na wimbo wa Shikorobo, Nurdin Bilal ‘Shetta’ akiwa na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Flora Mabasha adai talaka

Mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili nchini Tanzania,Flora Mbasha,ameomba kuvunjwa kwa ndoa yake na mumewe Emanuel Mbasha.

 

10 years ago

Bongo Movies

Mke wa Shetta Adai Talaka, Kisa Rose Ndauka

Siku chache baada ya habari ya staa wa Bongo Fleva , Nurdin Bilal ‘Shetta’ kudaiwa kulala chumba kimoja na staa wa Bongo Movies, Rose Ndauka kuandikwa gazetini, mkewe Neila Yusuf ameshindwa kuvumilia na kudai talaka yake, Risasi Mchanganyiko linakujuza.

Shetta na Rose waliripotiwa na “gazeti pendwa”moja kuwa walilala katika chumba kimoja katika Hoteli ya Kingway iliyopo mkoani Morogoro walipokuwa wamekwenda kwenye mazishi ya muasisi wa Kundi la Tip Top Connection, Abdul Bonge.

Kwa mujibu...

 

10 years ago

Bongo5

Baba yake Beyonce adai kuwa mwanae na Jay Z walisambaza tetesi za talaka kukuza mauzo ya tiketi ya ziara yao

Baba yake na Beyoncé anadai kuwa mwanae na Jay Z walisambaza kwa makusudi tetesi za talaka kukuza mauzo ya tiketi za ziara yao ya ‘On The Run’. Jay Z akimbusu mkewe Beyonce kwenye MTV VMA wakiwa na mtoto wao Blue Ivy Mathew Knowles alitoa kauli hiyo ya kushtusha alipokuwa akihojiwa katika The Roula And Ryan […]

 

9 years ago

GPL

AUNT EZEKIEL ADAI AMEZALIWA KISARAWE, SIYO CCM

Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel ‘mama Cookie’. STAA wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel ‘mama Cookie’ amewajia juu wanaomsema kuwa amekikacha Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kukimbilia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwa hajazaliwa na chama hicho bali amezaliwa Kisarawe. Akiendelea kucharuka mbele ya Amani, Aunt alisema kuwa hata kama huko alipo wakishindwa atakubali matokeo kwa kuwa lazima...

 

9 years ago

Bongo5

Aunt Ezekiel adai wasambazaji wanaua soko la filamu Tanzania

Aunt Ezekiel amesema wasambazaji wa filamu ndio watu wanaoliua soko la filamu Tanzania. Akiongea kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV hivi karibuni, muigizaji huyo alisema msambazaji yupo tayari kununua kazi mbaya kwa bei ya chini na kuacha kununua kazi ambazo zimeandaliwa vizuri. “Msambazaji mhindi yaani sasa hivi amefikia hatua yupo radhi anunue kazi […]

 

11 years ago

GPL

JIDE AOMBA TALAKA

Stori:  Shani Ramadhan
UNAWEZA ukakataa lakini ndivyo ilivyotokea, ndoa ya mtangazaji mahiri Bongo, Gardner Gabriel Fikirini Habash ‘Kapteini’ na Mbongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ iliyofungwa miaka 9 iliyopita inadaiwa kuingia kidudu kufuatia mke huyo kuomba aandikiwe talaka, ni Ijumaa Wikienda pekee lenye uthubutu wa kuripoti mkasa wote. Jide akiwa na jumewe Gardner. Kwa mujibu wa chanzo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani