Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKE ANAYEISHI NA WAUME WAWILI MAPYA YAIBUKA

Stori: Haruni Sanchawa na Denis Mtima Sakata la mke kuishi na waume wawili  limechukua sura mpya baada ya kikao cha ndugu wa mume halali, Rogers Halinga kuketi kikao katika Kijiji cha Ishungu, Kata ya Ruiwa Mbarali, mkoani Mbeya na kumtaka Biton Mwashilindi kufanya mazungumzo nao kabla hawajafungua madai ya ugoni mahakamani na kudai fidia. Rogers Halinga akiwa na baba yake mzee Jason Halinga na mtoto anayedaiwa kugombaniwa. ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SAKATA LA MKE WA BARLOW, MAPYA YAIBUKA

Stori: waandishi wetu Sakata la madai kuwa mke wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow, Stella Barlow (pichani)alitimuliwa ukweni kwa mapanga limechukua sura mpya baada ya ndugu wa mumewe kuibuka na kutoa ufafanuzi. Mjane Stell Barlow wakati wa mazishi ya aliyekuwa mume wake, Kamanda Liberatus Barlow. Akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu mwishoni mwa wiki iliyopita, ndugu wa marehemu Kamanda...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Aolewa na waume wawili

MKAZI wa Kijiji cha Kandete, Kata ya Kandete katika Halmashauri ya Busokelo wilayani Rungwe mkoa wa Mbeya, Suzana Osea (25), amezua tafrani baada ya kuolewa na wanaume wawili kijijini humo....

 

10 years ago

GPL

MAPYA YAIBUKA!

Stori: Denis Mtima na Gabriel Ng’osha
Nyuma ya tukio la denti wa darasa la tano kwenye shule moja ya msingi iliyopo Mbezi-Shamba, Dar, aliyejitambulisha kwa jina moja la Irene (11) la kunaswa akifanya utapeli kwa kuwaibia raia, mazito yameibuka. Denti wa darasa la tano anayetambulika kwa jina moja la Irene (11) aliyenaswa akiwatapeli raia. Katika tukio hilo lililojiri hivi karibuni maeneo ya Posta Mpya, Dar, denti huyo...

 

9 years ago

Bongo5

Mke aliyetelekezwa na Rais tajiri wa Gabon Ali Bongo aomba talaka, ni mmarekani anayeishi LA!

Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa Rais wa Gabon anayetambulika kwa wengi kuwa ana mke mmoja anayeishi naye kwenye ikulu ya nchini mwake, ana mke wa pili anayeishi maisha ya tabu nchini Marekani. Rais Ali Bongo Ondimba aliwahi kuishi jijini L.A. kipindi ambacho baba yake alikuwa rais wa nchini hiyo. Alikutana na mwanamke aitwaye Inge mwaka […]

 

10 years ago

GPL

MAPYA YAIBUKA MASHAMBULIZI

Na Haruni Sanchawa TUKIO la abiria Mosha Mahona kuwajeruhi abiria wenzake watano aliokuwa nao ndani ya daladala lililokuwa gumzo wiki iliyopita jijini Dar, nyuma ya tukio hilo mapya yameibuka, Uwazi linakujuza. Tukio hilo lililotokea Julai 23, mwaka, Mosha alikuwa amepanda daladala hilo akitokea Posta kuelekea Ubungo Simu 2000, alipofika maeneo ya Jangwani akaanza kuwachoma visu abiria wenzake kisha na yeye kuuawa na abiria....

 

10 years ago

GPL

Rufaa ya Cheka, mapya yaibuka

Francis Cheka
Na Ibrahim Mussa
Dar es SalaamRAIS wa Oganaizesheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBO), Yasin Abdallah ‘Ustaadh’ ameibuka na kufunguka kuwa amevunja kamati yote iliyokuwa inashughulikia rufaa ya kesi ya bondia wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka ‘SMG’ kwa kuwa wengi wao hawakuwa wakweli. Cheka, leo Jumamosi anatimiza siku ya ishirini tangu awe gerezani kutokana na kifungo cha miaka...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Mapya yaibuka ajali ya Majinjah



Idadi ya waliokufa yaongezekaMbatia ajipanga kuchukua hatua
NA WAANDISHI WETU
IDADI ya watu waliokufa katika ajali iliyohusisha basi la Majinjah Express, kugongana uso kwa uso na lori, imeongezeka na kufikia 50.
Ajali hiyo iliyotokea juzi, Mufindi mkoani Iringa, ilisababisha kontena lililobebwa na lori hilo, kuangukia basi na kisha kuwabana abiria waliokuwemo na kusababisha vifo vya watu 42 papo hapo.
Hata hivyo, kumeibuka sintofahamu kuhusiana na idadi kamili ya watu waliokuwemo kwenye magari...

 

11 years ago

Habarileo

Mapya yaibuka ajali ya ndege

TAKRIBANI mashuhuda wanane wameiambia Serikali ya Malasyia kuwa waliiona ndege ya Malaysia, MH 370, saa moja kabla haijapotea angani kupitia rada ya uraiani. Maelezo hayo yanaashiria kuwa ndege hiyo iligeuka kabla ya kupotea angani.

 

11 years ago

Habarileo

Mapya yaibuka mtoto wa boksi

UTATA umeendelea kugubika tukio la mtoto kukutwa kwenye boksi katika mtaa wa Azimio mjini Morogoro akiwa ameishi humo kwa miaka mitatu, ambapo sasa imebainika kuwepo kwa shimo lililojaa maji jirani na alipokuwa amefungiwa mtoto huyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani