Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aolewa na waume wawili

MKAZI wa Kijiji cha Kandete, Kata ya Kandete katika Halmashauri ya Busokelo wilayani Rungwe mkoa wa Mbeya, Suzana Osea (25), amezua tafrani baada ya kuolewa na wanaume wawili kijijini humo....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MKE ANAYEISHI NA WAUME WAWILI MAPYA YAIBUKA

Stori: Haruni Sanchawa na Denis Mtima Sakata la mke kuishi na waume wawili  limechukua sura mpya baada ya kikao cha ndugu wa mume halali, Rogers Halinga kuketi kikao katika Kijiji cha Ishungu, Kata ya Ruiwa Mbarali, mkoani Mbeya na kumtaka Biton Mwashilindi kufanya mazungumzo nao kabla hawajafungua madai ya ugoni mahakamani na kudai fidia. Rogers Halinga akiwa na baba yake mzee Jason Halinga na mtoto anayedaiwa kugombaniwa. ...

 

11 years ago

GPL

DENTI MIAKA 12 AOLEWA

Stori: Denis Mtima na Mayasa Mariwata, Pwani YELEUWII! Kuishi kwingi ni kuona mengi, kijana aliyejitambulisha kwa jina la Andrew Vincent (23) ambaye amemaliza kidato cha nne mwaka jana, amejikuta katikati ya matatizo kufuatia kufunga pingu za maisha na mwanafunzi wa darasa la tano aliyefahamika kwa jina moja la Wastara (12), wote wakazi wa Bagamoyo, Mkoa wa Pwani. Wastara akifanya usafi ndani kwake baada ya kuolewa. Tukio hilo...

 

9 years ago

GPL

MENINAH AOLEWA KIMYAKIMYA

Musa Mateja WENYE wivu wajinyonge! Nyota wa muziki wa kizazi kipya, zao la BSS 2012 Meninah Abdulkarim, anadaiwa kufunga ndoa kimyakimya mwishoni mwa wiki iliyopita na mtu anayetajwa kulelewa tangu utotoni na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini aliyejiuzulu, Profesa Sospeter Muhongo, Risasi Mchanganyiko limetonywa.  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1WDGS8h ...

 

11 years ago

GPL

BINTI AOLEWA, AGUNDUA NI MKE WA 9

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan MAKUBWA! Mke wa mtu aliyejitambulisha kwa jina la Miinza Matoki (20), ameikimbia ndoa yake kisa kikielezwa kuwa ni mauzauza ya kichawi anayokutana nayo. Miinza Matoki aolewa kuwa mke wa tisa. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Minza ambaye ni mkazi wa Manyoni mkoani Singida alisema wazazi wake walimuozesha kwa ‘kibabu’ aliyemtaja kwa jina moja la Samson ambaye aliwahi kuoa...

 

11 years ago

GPL

HATIMAYE ASHA BARAKA AOLEWA

Stori: Waandishi Wetu  WERAWERAAA! Baada ya kuishi kwa muda mrefu tangu alipotengana na mumewe Khamis Bwela, Mkurugenzi wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Asha Baraka ‘Iron Lady’ usiku wa kuamkia Ijumaa iliyopita alifunga ndoa na mfanyabiashara maarufu Dar aitwaye Idd Baka Pandisha, Ijumaa Wikienda lina mzigo kamili. Mkurugenzi wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’,...

 

10 years ago

GPL

WASTARA AOLEWA NA MWANAUME ASIYEMJUA

HiSTORIA KWA UFUPI
Wastara alizaliwa mwaka 1983 katika Hospitali ya Turiani iliyopo wilayani Mvomero mkoani Morogoro akiwa ni mtoto wa tano kati ya saba waliozaliwa katika familia yao. Staa katika tasnia ya filamu Bongo,Wastara Juma. Alisoma Shule ya Msingi Mvomero na baada ya kuhitimu darasa la saba alijiunga na masomo ya sekondari katika Shule ya Sekondari Kibamba Agriculture ambapo alipofika kidato cha pili aliacha shule....

 

9 years ago

Mtanzania

Meninah aolewa na mtoto wa Prof. Muhongo

MENINAH CAPTNa Victoria Patrick (TSJ)

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Meninah Atick ‘Mennahladiva’ mwishoni mwa wiki aliuaga ukapera kwa kufunga ndoa na mtoto wa aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, Abdukarim Haule.

Meninah, ambaye kipaji chake cha muziki kilianza kuonekana kupitia shindano la Bongo Star Search, ametamba na nyimbo za ‘Dream Tonight’, ‘Ka-Copy Ka-Paste’.

Mtoto huyo wa Waziri Muhongo, Peter Haule, amebadili dini na kuitwa Abdukarim Haule na harusi yao...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mamake Beyoncé Knowles,Tina 61, aolewa

Mamake Beyonce Knowles,Tina 61,ameolewa kwa mara ya pili kwa mchumba wake Richard Lawson.

 

10 years ago

GPL

TONTO DIKEH AOLEWA, ABADILI JINA INSTAGRAM

Muigizaji kiwango kutoka Nigeria, Tonto Dikeh. Lagos ,NIgeria
MUIGIZAJI kiwango kutoka Nigeria, Tonto Dikeh ameolewa rasmi na aliyekuwa mpenzi wake, Churchill Olakunle Oladunni wiki iliyopita.Tarifa za kuolewa zilianza kuzagaa mapema wiki iliyopita baada ya staa huyo kubadili jina lake kwenye Mtandao wa Kijamii wa Instagram na kujiita, Mrs Tonto Wigo Dikeh-Churchill. Lakini wikiendi iliyopita zilizagaa picha mitandaoni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani