MENINAH AOLEWA KIMYAKIMYA
![](http://api.ning.com:80/files/NEbifnOqun1v8M7FutIr40l*e8NKyoZyH6j3bnIGIOtUnWlgzWqaU5g47ZrLPPfYjiBt4VsQS-oeXuBPTwR5nQcA4FFjTBuJ/Meninah.gif?width=650)
Musa Mateja WENYE wivu wajinyonge! Nyota wa muziki wa kizazi kipya, zao la BSS 2012 Meninah Abdulkarim, anadaiwa kufunga ndoa kimyakimya mwishoni mwa wiki iliyopita na mtu anayetajwa kulelewa tangu utotoni na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini aliyejiuzulu, Profesa Sospeter Muhongo, Risasi Mchanganyiko limetonywa. Â ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1WDGS8h ...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania18 Aug
Meninah aolewa na mtoto wa Prof. Muhongo
Na Victoria Patrick (TSJ)
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Meninah Atick ‘Mennahladiva’ mwishoni mwa wiki aliuaga ukapera kwa kufunga ndoa na mtoto wa aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, Abdukarim Haule.
Meninah, ambaye kipaji chake cha muziki kilianza kuonekana kupitia shindano la Bongo Star Search, ametamba na nyimbo za ‘Dream Tonight’, ‘Ka-Copy Ka-Paste’.
Mtoto huyo wa Waziri Muhongo, Peter Haule, amebadili dini na kuitwa Abdukarim Haule na harusi yao...
10 years ago
Tanzania Daima02 Nov
Aolewa na waume wawili
MKAZI wa Kijiji cha Kandete, Kata ya Kandete katika Halmashauri ya Busokelo wilayani Rungwe mkoa wa Mbeya, Suzana Osea (25), amezua tafrani baada ya kuolewa na wanaume wawili kijijini humo....
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6Yi1*KCqJUTnZbIjggh5db*cvnzv88C33-z*nTFZzyYl9OBaApWeqvWyj8kfGD4RmzHn-1JhcVyLy0*0-7mEThV6YHIbQIA3/denti2.jpg)
DENTI MIAKA 12 AOLEWA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/S5oOR1dkyIlZasyegnS3nazn4v3JDuIovjhD19QDReHiHM3MtUU1PHNaLz0ecUVuuJUzoSt0Mj9Q1XCKyyiwFcr36Gq1CO*f/WASTARA.jpg)
WASTARA AOLEWA NA MWANAUME ASIYEMJUA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zbcSW1D04avVxdexqV5YSWrdCkcyaG0Y*lF5sqzhRB*PBaVCQV6V5mlooKIM3f2ZYCE7DLbqENuACS*aAPXoM7iCa4JUNtPz/asha.jpg?width=650)
HATIMAYE ASHA BARAKA AOLEWA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y-6c8O6EPx8EByzsl383NKuR1T7tNTTdYVU0NAoB3xFj17Wfdrh8IZnughb8HTqDJYABNYEpsiF*HQM0IhcPi6wuS2QoPE4O/NOMASANA.jpg)
BINTI AOLEWA, AGUNDUA NI MKE WA 9
10 years ago
BBCSwahili14 Apr
Mamake Beyoncé Knowles,Tina 61, aolewa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rYXJV*jyRSklaMOpwvq8GS6JQ12PgnToYN21Zy34zKlmUR4HiCrCrighpg6pQxexu1kmSx9J2g*INVhIJLXuGBCiAgekiBux/TontoDikeh.jpg?width=650)
TONTO DIKEH AOLEWA, ABADILI JINA INSTAGRAM
11 years ago
Mwananchi22 Jan
Ana umri wa miaka 12, aolewa kwa ng’ombe 15