Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ana umri wa miaka 12, aolewa kwa ng’ombe 15

>Wamasai ni miongoni wa jamii chache duniani, ambazo zimefanikiwa hadi sasa kudumisha mila zake. Katika mila za jamii hii, zipo ambazo zinapaswa kuendelezwa na nyingine zinapaswa kupigwa marufuku.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Minala ana umri wa miaka 17-Lazio

Klabu ya Lazio imepinga madai kuwa nyota wake Joseph Minali ana umri wa miaka 41 na kusema kuwa ana miaka 17 pekee

 

11 years ago

GPL

YATIMA AOTA NYAMA YA AJABU ANA UMRI WA MIAKA 16 KILA ANAYEMLEA HUFARIKI DUNIA

STORI: MAKONGORO OGING’
Kwa kweli duniani kuna mateso, lakini ya mtoto huyu yatima ni makali na maisha yake yapo hatarini kama hatawahi kupata matibabu. Fuatilia mkasa wake hapa chini ambao naamini utakuhuzunisha.
Kijana Twaha Sultan (16) ambaye ni yatima mkazi wa Kipawa Karakata, Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam akisimulia mkasa wake alikuwa na haya ya kusema: Kijana Twaha Sultan akiwa na maumivu makali. ...

 

11 years ago

GPL

DENTI MIAKA 12 AOLEWA

Stori: Denis Mtima na Mayasa Mariwata, Pwani YELEUWII! Kuishi kwingi ni kuona mengi, kijana aliyejitambulisha kwa jina la Andrew Vincent (23) ambaye amemaliza kidato cha nne mwaka jana, amejikuta katikati ya matatizo kufuatia kufunga pingu za maisha na mwanafunzi wa darasa la tano aliyefahamika kwa jina moja la Wastara (12), wote wakazi wa Bagamoyo, Mkoa wa Pwani. Wastara akifanya usafi ndani kwake baada ya kuolewa. Tukio hilo...

 

9 years ago

Michuzi

Hospitali ya ApolloYatoa “Zawadi ya Maisha” kwa Kufanikisha Upandikizaji wa Moyo na Ini kwa Kijana wa umri wa Miaka 30

 Ponnar, kijana aliyefanyiwa upandikizaji wa Moyo na Ini kwa pamoja, katika hospitali ya Apollo akizungumza na waandishi wa habari baada ya upandikizaji huo.Ponnar, kijana aliyefanyiwa upandikizaji wa Moyo na Ini kwa pamoja, akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa hospitali ya Apollo baada ya upandikizaji. Aliyemkumbatia  ni  Mwenyekiti na Mwanzilishi wa hospitali za ApolloDk. Prathap .C. Reddy.
Na Mwandishi Wetu,
Hospitali za Apollo zimefanikiwa kwa mara ya kwanza barani Asia kufanya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Hospitali ya Apollo yatoa “Zawadi ya Maisha” kwa kufanikisha upandikizaji wa Moyo na Ini kwa kijana wa umri wa Miaka 30

B 1

Ponnar, kijana aliyefanyiwa upandikizaji wa Moyo na Ini kwa pamoja, katika hospitali ya Apollo akizungumza na waandishi wa habari baada ya upandikizaji huo.

Ponnar, kijana aliyefanyiwa upandikizaji wa Moyo na Ini kwa pamoja, akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa hospitali ya Apollo baada ya upandikizaji. Aliyemkumbatia  ni  Mwenyekiti na Mwanzilishi wa hospitali za ApolloDk. Prathap .C. Reddy.

Na Mwandishi Wetu,

Hospitali za Apollo zimefanikiwa kwa mara ya kwanza barani Asia kufanya...

 

11 years ago

Mwananchi

Ataka umri wa kustaafu kwa lazima kuwa miaka 60

>Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Beatrice Shelukindo, amependekeza Katiba ijayo itoe haki ya kufanya kazi ili vijana wapate nafasi za kazi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Bibi,umri wa 65,ana mimba ya pacha wanne

Mwanamke mwenye umri wa miaka 65 mama ya watoto 13 sasa anamimba ya pacha wanne

 

11 years ago

GPL

MASHINDANO YA SANAA, KUCHORA KWA WATOTO NA VIJANA KATI YA UMRI WA MIAKA 7 HADI 15

Amsha ubunifu wako!
Benki ya Dunia inawakaribisha watoto wa shule wa Kitanzania ambao ni wabunifu wenye umri kati ya miaka 7 hadi 15 kushiriki katika mashindano ya sanaa / kuchora, ambapo mchoro utakaoshinda utatumika kupamba jalada la mbele la Ripoti muhimu ya Benki ya Dunia kuhusu Tanzania. Kaulimbiu ya shindano hili ni ‘Kazi kwa Watanzania Wote.’
Ni nani anaweza kuingia shindano hili?
Shindano liko wazi kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani