Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Meninah aolewa na mtoto wa Prof. Muhongo

MENINAH CAPTNa Victoria Patrick (TSJ)

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Meninah Atick ‘Mennahladiva’ mwishoni mwa wiki aliuaga ukapera kwa kufunga ndoa na mtoto wa aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, Abdukarim Haule.

Meninah, ambaye kipaji chake cha muziki kilianza kuonekana kupitia shindano la Bongo Star Search, ametamba na nyimbo za ‘Dream Tonight’, ‘Ka-Copy Ka-Paste’.

Mtoto huyo wa Waziri Muhongo, Peter Haule, amebadili dini na kuitwa Abdukarim Haule na harusi yao...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Aliyemuoa Meninah ni mtoto wa Profesa Muhongo

Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo sasa ni baba mkwe wa muimbaji wa ‘Shaghala Bhaghala’, Meninah Atick aliyefunga ndoa na mwanae, Abdukarim Haule. Familia ya Profesa Muhongo ikiwa pamoja na familia ya Meninah Kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania mahaba ya mtoto huyo wa Waziri Muhongo, Peter Haule yamemfanya abadili dini na […]

 

9 years ago

GPL

MENINAH AOLEWA KIMYAKIMYA

Musa Mateja WENYE wivu wajinyonge! Nyota wa muziki wa kizazi kipya, zao la BSS 2012 Meninah Abdulkarim, anadaiwa kufunga ndoa kimyakimya mwishoni mwa wiki iliyopita na mtu anayetajwa kulelewa tangu utotoni na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini aliyejiuzulu, Profesa Sospeter Muhongo, Risasi Mchanganyiko limetonywa.  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1WDGS8h ...

 

10 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA JK, PROF. TIBAIJUKA AOMBWA KUJIUZULU, PROF MUHONGO AWEKWA KIPORO


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma hotuba yake kwa Wazee wa mkoa wa Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. ( Picha na Adam Mzee)Ukumbi wa Diamond Jubilee ukiwa umefurika Wazee waliokuja kumsikiliza Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.Ukumbi ulifurika kila kona.
--Rais Kikwete ameanza kuongea na wazee wa Mkoa wa Dar katika Ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo Watanzania wanataraji atoe mwongozo kuhusu sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow na...

 

10 years ago

GPL

MAAZIMIO MAPYA SAKATA LA ESCROW: MAMLAKA HUSIKA YASHAURIWA KUTENGUA UTEUZI WA PROF TIBAIJUKA, PROF MUHONGO, JAJI WEREMA NA MASWI

Waziri wa Madini na Nishati, Profesa Sospeter Muhongo. WABUNGE kwa pamoja wamekubaliana kuondoa maazimio 12 yaliyoletwa bungeni na Kamati ya PAC na kuleta maazimio mapya 8 ambayo yamekubaliwa. Mwanasheria Mkuu wa Serikali,Jaji Frederick Werema. Mojawapo ya maazimio hayo ni Mamlaka ya uteuzi kutakiwa iwawajibishe na kushauriwa kutengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini Profesa Muhongo, Mwanasheria… ...

 

10 years ago

IPPmedia

Prof Sospeter Muhongo


IPPmedia
Prof Sospeter Muhongo
IPPmedia
It was months, weeks and days of soul searching and probing for Minister for Energy and Minerals Prof Sospeter Muhongo until only yesterday when he called it quits, bowing to pressure that called for his resignation due to mishandling of the Tegeta Escrow ...
Tanzanian minister quits over corruption scandalThe Nation
Tanzania cabinet reshuffledTimes of Oman
Tanzanian President appoints new ministers for energy and landsShanghai Daily (subscription)
Daily...

 

10 years ago

StarTV

Prof. Muhongo ajiuzulu.

Waziri wa nishati na madini nchini Tanzania Profesa Sospeter Muhongo amejiuzulu,na kumfanya kuwa afisa wa tatu wa ngazi za juu serikalini kuathiriwa na ufisadi uliokumba sekta ya kawi katika taifa hilo la Afrika mashariki.

Professa Muhongo alitoa tanagazo hilo wakati wa mkutano na vyombo vya habari.

Kujiuzulu kwake kunajiri baada ya kufutwa kazi kwa waziri wa Ardhi na kujiuzulu kwa mwanasheria mkuu ,wote wakiwa wamehusishwa na kutolewa kwa zaidi ya dola milioni 120 kutoka kwa benki kuu...

 

9 years ago

Michuzi

PROF. MUHONGO ‘TUKUBALI KUBADILIKA’

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Justin Ntalikwa akizungumza jambo wakati wa kikao cha utambulisho wa viongozi wapya wa Wizara. Kikao hicho kimeshirikisha Menejimenti ya Wizara, Taasisi zilizo chini ya Wizara zikiwemo Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Shirika la Maendeleo ya Petroli la Tanzania (TPDC), Wakala wa Ukaguzi wa Madini (TMAA), Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST), Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Chuo cha Madini Dodoma (MRI)...

 

11 years ago

Mwananchi

Mnyika amtolea uvivu Prof Muhongo

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, John Mnyika, amemjia juu mjumbe mwenzake, Profesa Sospeter Muhongo kwa kile alichodai kutaka kuharakishwa upitiaji wa rasimu za kanuni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani