Aliyemuoa Meninah ni mtoto wa Profesa Muhongo
Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo sasa ni baba mkwe wa muimbaji wa ‘Shaghala Bhaghala’, Meninah Atick aliyefunga ndoa na mwanae, Abdukarim Haule. Familia ya Profesa Muhongo ikiwa pamoja na familia ya Meninah Kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania mahaba ya mtoto huyo wa Waziri Muhongo, Peter Haule yamemfanya abadili dini na […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania18 Aug
Meninah aolewa na mtoto wa Prof. Muhongo
Na Victoria Patrick (TSJ)
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Meninah Atick ‘Mennahladiva’ mwishoni mwa wiki aliuaga ukapera kwa kufunga ndoa na mtoto wa aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, Abdukarim Haule.
Meninah, ambaye kipaji chake cha muziki kilianza kuonekana kupitia shindano la Bongo Star Search, ametamba na nyimbo za ‘Dream Tonight’, ‘Ka-Copy Ka-Paste’.
Mtoto huyo wa Waziri Muhongo, Peter Haule, amebadili dini na kuitwa Abdukarim Haule na harusi yao...
11 years ago
Habarileo02 Feb
Profesa Muhongo acharuka
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema baadhi ya kampuni zinazotumiwa na Wakala wa Nishati Vjijini (REA) kuwaunganishia umeme wakazi wa vijijini, zinaomba rushwa, hivyo kuwaondolea matumaini ya kuondokana na umasikini.
10 years ago
Habarileo25 Jan
Profesa Muhongo ajiuzulu
HATIMAYE baada ya kukabiliwa na shinikizo la muda mrefu kuanzia katika vyombo vya habari, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na baadaye katika vikao vya vyama vya siasa, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amejiuzulu wadhifa huo.
10 years ago
Mwananchi18 Oct
AREMA wampinga Profesa Muhongo
10 years ago
Habarileo25 Jan
Hatimaye Profesa Muhongo ajiuzulu
HATIMAYE baada ya kukabiliwa na shinikizo la muda mrefu kuanzia katika vyombo vya habari, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na baadaye katika vikao vya vyama vya siasa, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amejiuzulu wadhifa huo.
9 years ago
MichuziProfesa Muhongo aibana TANESCO
Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) limeagizwa kuhakikisha hadi kufikia tarehe 3 Januari 2016 liwe limekamilisha kufunga umeme kwenye Jengo la Ofisi za Serikali la Mpakani mwa Tanzania na Rwanda (One Stop Border post) lililopo eneo la Rusumo wilayani Ngara.
Agizo hilo limetolewa jana na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo alipofanya ziara kwenye Mpaka wa Tanzania na Rwanda kwa ajili ya kukagua maendeleo ya mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia maji wa...
10 years ago
Mwananchi25 Jan
Vita vya Profesa Muhongo
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-VXdTgydjDI8/VoBKpT5DO7I/AAAAAAAIO8s/855BLgBB2Hs/s72-c/2ae85807-6a1a-4f5b-b7ec-4c2d83078f22.jpg)
ZIARA YA PROFESA MUHONGO BUKOBA
10 years ago
Habarileo09 May
Profesa Muhongo, Katibu Maswi safi
UCHUNGUZI dhidi ya aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na aliyekuwa Katibu wake, Eliakim Maswi, umebaini kuwa viongozi hao hawakukiuka maadili yoyote katika sakata la utoaji wa karibu Sh bilioni 300 zilizokuwa katika akaunti ya Tegeta Escrow, iliyokuwa Benki Kuu (BoT).