Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Profesa Muhongo aibana TANESCO

Na Mohamed Saif
Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) limeagizwa kuhakikisha hadi kufikia tarehe 3 Januari 2016 liwe limekamilisha kufunga umeme kwenye Jengo la Ofisi za Serikali la Mpakani  mwa Tanzania na Rwanda (One Stop Border post) lililopo eneo la Rusumo wilayani Ngara.
Agizo hilo limetolewa jana na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo alipofanya ziara kwenye Mpaka wa Tanzania na Rwanda kwa ajili ya kukagua maendeleo ya mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia maji wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Profesa Muhongo aiagiza Tanesco kuandaa mpango madhubuti wa utiririshaji maji

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (katikati) akimsikiliza Mhandisi John Skauk (kulia)wakati wa ziara yake kwenye kituo cha kuzalisha umeme cha Hale. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Nchini (Tanesco), Felchesmi Mramba. Lengo la ziara hiyo lilikuwa ni kujionea shughuli za uzalishaji umeme zinazoendelea kwenye mabwawa ya Hale, New Pangani Falls na Nyumba ya Mungu.Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (katikati) akizungumza wakati wa ziara...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA MUHONGO ATEMA CHECHE, Awataka TANESCO kufanya kazi

Serikali imeliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuacha mara moja tabia ya kukata umeme bila sababu ya msingi. Agizo hilo limetolewa jana jijini Dar es Salaam na Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo na Naibu wake, Dkt Medard Kalemani walipofanya ziara ya kushtukiza kwenye Ofisi za Makao Makuu ya Wizara hiyo.  Mara tu baada ya kuapishwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na Naibu wake, Dkt Medard Kalemani walifanya ziara hiyo ya kushtukiza kwenye...

 

11 years ago

Habarileo

Profesa Muhongo acharuka

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema baadhi ya kampuni zinazotumiwa na Wakala wa Nishati Vjijini (REA) kuwaunganishia umeme wakazi wa vijijini, zinaomba rushwa, hivyo kuwaondolea matumaini ya kuondokana na umasikini.

 

10 years ago

Habarileo

Profesa Muhongo ajiuzulu

Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoHATIMAYE baada ya kukabiliwa na shinikizo la muda mrefu kuanzia katika vyombo vya habari, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na baadaye katika vikao vya vyama vya siasa, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amejiuzulu wadhifa huo.

 

9 years ago

Michuzi

ZIARA YA PROFESA MUHONGO BUKOBA

Serikali imesema ifikapo mwaka 2018 Mfumo wa umeme katika Mkoa wa Kagera utakua umeingizwa kwenye Gridi ya Taifa. Hayo yalisemwa jana tarehe 27 Desemba na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo alipofanya ziara mjini Bukoba, Mkoani Kagera ili kukagua miundombinu ya umeme.  Ilielezwa kwamba Mkoa huo kwa sasa unapata umeme kutoka nchini Uganda ambao umekuwa ukikatika mara kwa mara na hivyo kulilazimu Shirika la TANESCO kutumia mitambo yake inayotumia mafuta ambayo hata hivyo...

 

10 years ago

Mwananchi

AREMA wampinga Profesa Muhongo

Chama cha Wachimbaji Madini Mkoa wa Arusha (Arema), kimepinga mpango wa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo wa kukifuta Chama cha Wachimbaji Madini Wanawake (Tawoma) baada ya kupinga ongezeko la tozo kwa wachimbaji wadogo.

 

10 years ago

Habarileo

Hatimaye Profesa Muhongo ajiuzulu

Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoHATIMAYE baada ya kukabiliwa na shinikizo la muda mrefu kuanzia katika vyombo vya habari, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na baadaye katika vikao vya vyama vya siasa, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amejiuzulu wadhifa huo.

 

10 years ago

Mwananchi

Vita vya Profesa Muhongo

Sakata la uchotwaji wa fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow linaweza kuwa limefanya jina la Profesa Sospeter Muhongo kuzungumzwa sana na kuonekana amekuwa kwenye wakati mgumu tangu lilipoibuka, lakini ukweli ni kwamba lilikuwa hitimisho tu la matukio mengi tangu msomi huyo aanze kuongoza Wizara ya Nishati na Madini.

 

9 years ago

Habarileo

Wapongeza Muhongo kuibana Tanesco

WANANCHI wa kijiji cha Nyarukongora, kata ya Biharamulo Mjini, wamempongeza Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kwa namna anavyoshughulikia matatizo ya umeme nchini na kusema ni mfano wa kuigwa kwa viongozi wengine.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani