Profesa Muhongo aiagiza Tanesco kuandaa mpango madhubuti wa utiririshaji maji
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (katikati) akimsikiliza Mhandisi John Skauk (kulia)wakati wa ziara yake kwenye kituo cha kuzalisha umeme cha Hale. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Nchini (Tanesco), Felchesmi Mramba. Lengo la ziara hiyo lilikuwa ni kujionea shughuli za uzalishaji umeme zinazoendelea kwenye mabwawa ya Hale, New Pangani Falls na Nyumba ya Mungu.Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (katikati) akizungumza wakati wa ziara...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziProfesa Muhongo aibana TANESCO
Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) limeagizwa kuhakikisha hadi kufikia tarehe 3 Januari 2016 liwe limekamilisha kufunga umeme kwenye Jengo la Ofisi za Serikali la Mpakani mwa Tanzania na Rwanda (One Stop Border post) lililopo eneo la Rusumo wilayani Ngara.
Agizo hilo limetolewa jana na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo alipofanya ziara kwenye Mpaka wa Tanzania na Rwanda kwa ajili ya kukagua maendeleo ya mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia maji wa...
9 years ago
MichuziWAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA MUHONGO ATEMA CHECHE, Awataka TANESCO kufanya kazi
11 years ago
MichuziWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAKUTANA KUANDAA MPANGO KAZI NA MPANGO WA MANUNUZI KWA MWAKA WA FEDHA 2014/2015
10 years ago
Dewji Blog16 Oct
RC Singida ataka mipango madhubuti kulinda raslimali maji
Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, akizungumza kwenye ufunguaji wa warsha ya wadau kujadili rasimu ya mwisho ya taarifa ya mpango wa usimamizi na uendelezaji wa pamoja wa rasilimali za maji wa bodi ya maji ya bonde la kati, liyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Aquar Vitae hotel mjini Singida.
Na Nathaniel Limu, Singida
MKUU wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone ametoa wito kwa Wizara ya Maji na taasisi zake, kuhakikisha ngazi zote za jamii zinapata taarifa sahihi juu ya umuhimu wa...
11 years ago
MichuziWAZIRI MAJI PROFESA JUMANNE MAGHEMBE AZINDUA RASIMI WIKI YA MAJI KITAIFA MKOANI DODOMA
Ofisa Habari wa Dawasa Bi. Neli Msuya akitoa maelezo kwa waziri wa...
11 years ago
Habarileo02 Feb
Profesa Muhongo acharuka
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema baadhi ya kampuni zinazotumiwa na Wakala wa Nishati Vjijini (REA) kuwaunganishia umeme wakazi wa vijijini, zinaomba rushwa, hivyo kuwaondolea matumaini ya kuondokana na umasikini.
10 years ago
Habarileo25 Jan
Profesa Muhongo ajiuzulu
HATIMAYE baada ya kukabiliwa na shinikizo la muda mrefu kuanzia katika vyombo vya habari, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na baadaye katika vikao vya vyama vya siasa, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amejiuzulu wadhifa huo.
10 years ago
Mwananchi25 Jan
Vita vya Profesa Muhongo
10 years ago
Mwananchi18 Oct
AREMA wampinga Profesa Muhongo