WASTARA AOLEWA NA MWANAUME ASIYEMJUA
HiSTORIA KWA UFUPI Wastara alizaliwa mwaka 1983 katika Hospitali ya Turiani iliyopo wilayani Mvomero mkoani Morogoro akiwa ni mtoto wa tano kati ya saba waliozaliwa katika familia yao. Staa katika tasnia ya filamu Bongo,Wastara Juma. Alisoma Shule ya Msingi Mvomero na baada ya kuhitimu darasa la saba alijiunga na masomo ya sekondari katika Shule ya Sekondari Kibamba Agriculture ambapo alipofika kidato cha pili aliacha shule....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLDENTI MIAKA 12 AOLEWA
9 years ago
GPLMENINAH AOLEWA KIMYAKIMYA
10 years ago
Tanzania Daima02 Nov
Aolewa na waume wawili
MKAZI wa Kijiji cha Kandete, Kata ya Kandete katika Halmashauri ya Busokelo wilayani Rungwe mkoa wa Mbeya, Suzana Osea (25), amezua tafrani baada ya kuolewa na wanaume wawili kijijini humo....
11 years ago
GPLHATIMAYE ASHA BARAKA AOLEWA
11 years ago
GPLBINTI AOLEWA, AGUNDUA NI MKE WA 9
9 years ago
Mtanzania18 Aug
Meninah aolewa na mtoto wa Prof. Muhongo
Na Victoria Patrick (TSJ)
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Meninah Atick ‘Mennahladiva’ mwishoni mwa wiki aliuaga ukapera kwa kufunga ndoa na mtoto wa aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, Abdukarim Haule.
Meninah, ambaye kipaji chake cha muziki kilianza kuonekana kupitia shindano la Bongo Star Search, ametamba na nyimbo za ‘Dream Tonight’, ‘Ka-Copy Ka-Paste’.
Mtoto huyo wa Waziri Muhongo, Peter Haule, amebadili dini na kuitwa Abdukarim Haule na harusi yao...
10 years ago
BBCSwahili14 Apr
Mamake Beyoncé Knowles,Tina 61, aolewa
10 years ago
GPLTONTO DIKEH AOLEWA, ABADILI JINA INSTAGRAM
11 years ago
Mwananchi22 Jan
Ana umri wa miaka 12, aolewa kwa ng’ombe 15