MAPYA YAIBUKA MASHAMBULIZI
Na Haruni Sanchawa TUKIO la abiria Mosha Mahona kuwajeruhi abiria wenzake watano aliokuwa nao ndani ya daladala lililokuwa gumzo wiki iliyopita jijini Dar, nyuma ya tukio hilo mapya yameibuka, Uwazi linakujuza. Tukio hilo lililotokea Julai 23, mwaka, Mosha alikuwa amepanda daladala hilo akitokea Posta kuelekea Ubungo Simu 2000, alipofika maeneo ya Jangwani akaanza kuwachoma visu abiria wenzake kisha na yeye kuuawa na abiria....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV04 May
Mashambulizi mapya yaibuka tena Ukraine.
Ukraine inasema kuwa mmoja wa wanajeshi wake ameuawa na wengine 14 kujeruhiwa kwenye mashambulizi mapya yanayoendeshwa na waasi wanaoiunga mkono Urusi mashariki mwa nchi.
Kifo hicho ndicho cha nne baada ya siku kadha na kilitokea karibu na mji unaoshikiliwa na waasi wa Donetsk.
Serikali inawalaumu waasi kwa kutumia makombora na silaha zingine nzito zilizopigwa marufuku wakati wa makubaliano ya kusitisha vita.
Makubaliano hayo yalistahili kuwa nchini ya uangalizi wa idara ya usalama ya...
10 years ago
GPLMAPYA YAIBUKA!
11 years ago
BBCSwahili13 Jul
Mashambulizi mapya yawaua wapalestina 17
11 years ago
BBCSwahili13 Mar
Mashambulizi mapya dhidi ya Al-Shabaab
10 years ago
Uhuru NewspaperMapya yaibuka ajali ya Majinjah
Idadi ya waliokufa yaongezekaMbatia ajipanga kuchukua hatua
NA WAANDISHI WETU
IDADI ya watu waliokufa katika ajali iliyohusisha basi la Majinjah Express, kugongana uso kwa uso na lori, imeongezeka na kufikia 50.
Ajali hiyo iliyotokea juzi, Mufindi mkoani Iringa, ilisababisha kontena lililobebwa na lori hilo, kuangukia basi na kisha kuwabana abiria waliokuwemo na kusababisha vifo vya watu 42 papo hapo.
Hata hivyo, kumeibuka sintofahamu kuhusiana na idadi kamili ya watu waliokuwemo kwenye magari...
10 years ago
GPLRufaa ya Cheka, mapya yaibuka
11 years ago
Habarileo13 Mar
Mapya yaibuka ajali ya ndege
TAKRIBANI mashuhuda wanane wameiambia Serikali ya Malasyia kuwa waliiona ndege ya Malaysia, MH 370, saa moja kabla haijapotea angani kupitia rada ya uraiani. Maelezo hayo yanaashiria kuwa ndege hiyo iligeuka kabla ya kupotea angani.
10 years ago
Mtanzania18 Feb
Mapya yaibuka mkoani Tanga
Na Amina Omari, TANGA
JESHI la Polisi nchini limesema katika msako unaoendelea katika mapango ya Mleni mkoani hapa, ambayo watu wanaodaiwa kuhusika katika matukio ya uporaji silaha walikuwa wamejificha, wamefanikiwa kukuta ngedere watatu wakiwa wamekufa huku wakiwa na majeraha.
Pamoja na hilo pia jeshi hilo limefanikiwa kumtia mbaroni mtuhumiwa mmoja ambaye wamemkuta na bunduki aina ya SMG ambayo ni mali ya jeshi hilo pamoja na risasi 20.
Akizungumza na waandishi wa habari jana mjini hapa...
10 years ago
Mtanzania27 Aug
Mapya yaibuka urais wa Pinda
Waziri Mkuu Mizengo Pinda
NA MWANDISHI WETU, MWANZA
SAKATA la Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kutangaza nia ya kuwania urais, limeibua mapya baada ya makatibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kudai walipewa mafuta lita 60 na posho.
Wakizungumza jijini Mwanza jana kwa sharti la kutotajwa majina yao gazetini, baadhi ya makatibu hao walishangazwa na kauli ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Anthony Diallo, kudai kuwa hakukuwa na kikao hicho cha siri.
Walisema Diallo akiwa mwenyekiti wa CCM, anapaswa...