Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashambulizi mapya yaibuka tena Ukraine.

Ukraine inasema kuwa mmoja wa wanajeshi wake ameuawa na wengine 14 kujeruhiwa kwenye mashambulizi mapya yanayoendeshwa na waasi wanaoiunga mkono Urusi mashariki mwa nchi.

Kifo hicho ndicho cha nne baada ya siku kadha na kilitokea karibu na mji unaoshikiliwa na waasi wa Donetsk.

Serikali inawalaumu waasi kwa kutumia makombora na silaha zingine nzito zilizopigwa marufuku wakati wa makubaliano ya kusitisha vita.

Makubaliano hayo yalistahili kuwa nchini ya uangalizi wa idara ya usalama ya...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAPYA YAIBUKA MASHAMBULIZI

Na Haruni Sanchawa TUKIO la abiria Mosha Mahona kuwajeruhi abiria wenzake watano aliokuwa nao ndani ya daladala lililokuwa gumzo wiki iliyopita jijini Dar, nyuma ya tukio hilo mapya yameibuka, Uwazi linakujuza. Tukio hilo lililotokea Julai 23, mwaka, Mosha alikuwa amepanda daladala hilo akitokea Posta kuelekea Ubungo Simu 2000, alipofika maeneo ya Jangwani akaanza kuwachoma visu abiria wenzake kisha na yeye kuuawa na abiria....

 

10 years ago

GPL

MAPYA YAIBUKA!

Stori: Denis Mtima na Gabriel Ng’osha
Nyuma ya tukio la denti wa darasa la tano kwenye shule moja ya msingi iliyopo Mbezi-Shamba, Dar, aliyejitambulisha kwa jina moja la Irene (11) la kunaswa akifanya utapeli kwa kuwaibia raia, mazito yameibuka. Denti wa darasa la tano anayetambulika kwa jina moja la Irene (11) aliyenaswa akiwatapeli raia. Katika tukio hilo lililojiri hivi karibuni maeneo ya Posta Mpya, Dar, denti huyo...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mashambulizi mapya yawaua wapalestina 17

Maafisa wa Palestina wanasema kuwa takriban watu 17 waliuawa baada ya mashambulizi mapya ya Israel huko Gaza.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mashambulizi mapya dhidi ya Al-Shabaab

Wanajeshi wa Muungano wa Afrika wakishirikiana na wanajeshi wa Somalia, wameanza mashambulizi mapya dhidi ya kundi la wanamgambo la Al Shabaab.

 

10 years ago

Mtanzania

Mapya yaibuka urais wa Pinda

Waziri Mkuu Mizengo Pinda

Waziri Mkuu Mizengo Pinda

NA MWANDISHI WETU, MWANZA

SAKATA la Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kutangaza nia ya kuwania urais, limeibua mapya baada ya makatibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kudai walipewa mafuta lita 60 na posho.

Wakizungumza jijini Mwanza jana kwa sharti la kutotajwa majina yao gazetini, baadhi ya makatibu hao walishangazwa na kauli ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Anthony Diallo, kudai kuwa hakukuwa na kikao hicho cha siri.

Walisema Diallo akiwa mwenyekiti wa CCM, anapaswa...

 

10 years ago

Mtanzania

Mapya yaibuka mkoani Tanga

Na Amina Omari, TANGA
JESHI la Polisi nchini limesema katika msako unaoendelea katika mapango ya Mleni mkoani hapa, ambayo watu wanaodaiwa kuhusika katika matukio ya uporaji silaha walikuwa wamejificha, wamefanikiwa kukuta ngedere watatu wakiwa wamekufa huku wakiwa na majeraha.
Pamoja na hilo pia jeshi hilo limefanikiwa kumtia mbaroni mtuhumiwa mmoja ambaye wamemkuta na bunduki aina ya SMG ambayo ni mali ya jeshi hilo pamoja na risasi 20.
Akizungumza na waandishi wa habari jana mjini hapa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mapya yaibuka uchaguzi Simba

WAKATI uchaguzi mkuu wa Simba ukiwa bado gizani, mengine yamezidi kuibuka baada ya kudaiwa Kamati ya Uchaguzi ya klabu hiyo chini ya Mwenyekiti wake Dk. Damas Ndumbaro ni batili kwa...

 

10 years ago

GPL

Rufaa ya Cheka, mapya yaibuka

Francis Cheka
Na Ibrahim Mussa
Dar es SalaamRAIS wa Oganaizesheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBO), Yasin Abdallah ‘Ustaadh’ ameibuka na kufunguka kuwa amevunja kamati yote iliyokuwa inashughulikia rufaa ya kesi ya bondia wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka ‘SMG’ kwa kuwa wengi wao hawakuwa wakweli. Cheka, leo Jumamosi anatimiza siku ya ishirini tangu awe gerezani kutokana na kifungo cha miaka...

 

11 years ago

Habarileo

Mapya yaibuka mtoto wa boksi

UTATA umeendelea kugubika tukio la mtoto kukutwa kwenye boksi katika mtaa wa Azimio mjini Morogoro akiwa ameishi humo kwa miaka mitatu, ambapo sasa imebainika kuwepo kwa shimo lililojaa maji jirani na alipokuwa amefungiwa mtoto huyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani