Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKE AZIRAI BAADA YA KUHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA MITANO YEYE NA MUMEWE

Asia Hamisi akiwa amezirai mahakamani
baada ya kuhukumiwa miaka mitano jela
Watu wawili wa familia moja Frank Charles na mkewe Asia Khamis wamehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela au kulipa faini ya shilingi milioni moja kila mmoja kwa kosa la kukutwa na madawa ya kulevya aina ya bangi. Hakimu wa mahakama ya wilaya ya Mbeya Maria Batulaine amewatia hatiani wanandoa hao baada ya  kuridhishwa na ushahidi usio shaka wa mashahidi wanne wa upande wa mashitaka. Imedaiwa na Mwendesha mashitaka...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YAMHUKUMU MENEJA WA UKODI KWENDA JELA MIAKA MITANO KWA NJAMA ZA WIZI WA MIL.45.2

NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kibaha Mkoa wa Pwani, imemuhukumu aliyekuwa meneja wa kituo cha kuuza mafuta cha UKODI INTERNATIONAL COM LIMITED, Malima Charles miaka 40 mkazi wa Maili moja Kibaha, kwenda jela miaka mitano baada ya kumkuta na hatia katika makosa mawili yaliyokuwa yakimkabili ikiwemo kuvunja ofisi na wizi.
Akisoma hukumu hiyo iliyodumu kwa muda wa saa moja ambayo ilivuta hisia za wakazi wa Kibaha, Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo Joyce Mushi, alieleza ...

 

10 years ago

Vijimambo

NDOA NDOANO:MKE AMWAGIA MUMEWE MAJI YA MOTO BAADA YA KUULIZWA NA MUMEWE KWANINI AMECHELEWA KURUDI NYUMBANI!!

Mwanamke mmoja katika wilaya ya Bunda, mkoani Mara, amemfanyia ukatili mume wake kwa kumwagia maji ya moto yaliyokuwa yametengwa kwa ajili ya kupikia ugali.Kwa mujibu wa jeshi la polisi wilayani hapa, tukio hilo lilitokea juzi, saa 4:30 usiku, katika mtaa wa Nyamakokoto, mjini Bunda, baada ya kuzuka ugomvi ulitokana na mwanamke huyo (jina linahifadhiwa) kuchelewa kurudi nyumbani.Mwanaume huyo amejeruhiwa vibaya mume wake sehemu mbalimbali za mwili wake, hali iliyopelekea kulazwa katika...

 

10 years ago

Vijimambo

SALMAN KHAN KWENDA JELA MIAKA 5 BAADA YA KUMGONGA NA KUMUUA MTU KWA GARI

 Mwigizaji maarufu wa filamu za Bollywood nchini India Salman Khan amekuhumiwa kifungo cha miaka mitano jela baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mtu mmoja asiye na makazi alipokuwa akiendesha gari huku akiwa amelewa mjini Mumbai. Khan alikuwa ameshtakiwa kwa kuua bila kukusudia baada ya kuelekeza gari lake kwenye kundi la watu waliokuwa wamelala kwenye njia kando ya barabara mwaka 2002. Mmoja kati ya watu hao Noor Ullah Khan alikufa katika ajali hiyo.Salman Khan akitoka mahakamani na mama...

 

5 years ago

Michuzi

IYANNA FLOYD KUHUKUMIWA KIFUNGO CHA HADI MIAKA 99 JELA

Na Irene Mwidima,Michuzi TV. Iyanna Floyd ambae ni binti wa Floyd Mayweather huwenda akahukumiwa kifungo cha hadi miaka 99 jela kwa kosa la kumchoma mtu kisu mara mbili binti ambae ni mzazi mwenzake na NBA Youngboy. Iyanna Floyd ambae ana miaka 20 aliwasili nyumbani kwa mpenzi wake, rapper NBA Youngboy ambapo alimkuta na mzazi mwenzake aitwae Lapattra Lashai Jacobs. Iyanna alianza kumwambia Lapattra aondoke hapo nyumbani kwani NBA Youngboy ni mchumba wake. Tukio hilo lilitokea jumamosi...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwanariadha Pistorius afungwa jela miaka mitano

Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius amehukumiwa kifungo cha kwenda jela miaka 5 baada ya kukutwa na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp.

 

10 years ago

StarTV

Oscar Pistorius atupwa jela miaka mitano.

Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius amehukumiwa jela miaka 5 baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp.

 
Hii ni baada ya mwanariadha huyo mlemavu kupatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp mwaka uliopita.

 
Jaji anayetoa hukumu hiyo,Thokozile Masipa,alianza kutoa kauli yake ya mwisho kabla ya kutoa hukumu saa mbili na nusu asubuhi na akasema ni changamoto kubwa kwake kupata adhabu ambayo itaridhisha pande zote kwenye kesi hiyo.

 
Upande wa...

 

10 years ago

Habarileo

Jela maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka mitano

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nzega mkoani Tabora imemhukumu kifungo cha maisha Kashindje Shija (50), baada ya kupatikana na kosa la kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka mitano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani