Oscar Pistorius atupwa jela miaka mitano.
Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius amehukumiwa jela miaka 5 baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp.
Hii ni baada ya mwanariadha huyo mlemavu kupatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp mwaka uliopita.
Jaji anayetoa hukumu hiyo,Thokozile Masipa,alianza kutoa kauli yake ya mwisho kabla ya kutoa hukumu saa mbili na nusu asubuhi na akasema ni changamoto kubwa kwake kupata adhabu ambayo itaridhisha pande zote kwenye kesi hiyo.
Upande wa...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi21 Oct
Mwanariadha Pistorius afungwa jela miaka mitano
10 years ago
BBCSwahili21 Oct
Miaka 5 jela kwa Oscar Pistorius
10 years ago
BBCSwahili16 Feb
Oscar Pistorius apandishwa hadhi jela
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-1ULzpAvZYKo/Xr9xyh6fmzI/AAAAAAALqas/u0RRHpM7JAI5cJQruxeGrFrJ1asON_aBwCLcBGAsYHQ/s72-c/images%2B%25282%2529.jpg)
Mwanaume (45) atupwa jela miaka 30 kwa kosa la kumwingilia kimapenzi mjukuu wake wa miaka 5
Na Amiri kilagalila,Njombe
Mwanaume mmoja aliejulikana kwa jina la Charles Mwinami (45) mkazi wa kijiji cha Itunduma wilayani Njombe amehukumiwa kwenda jela miaka 30 baada ya kukutwa na hatia ya kumwingilia kimapenzi mjukuu wake mwenye umri wa miaka 5 na kutakiwa kulipa fidia ya shilingi Milioni Kumi kwa mwathirika.
Akisoma kesi no 12 ya 2020 hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi mkoani Njombe Hassan Makube amesema mtuhumiwa amekutwa na hatia hiyo baada ya ushahidi wa daktari...
9 years ago
Bongo515 Oct
Oscar Pistorius kutoka jela Jumanne ijayo
10 years ago
Raia Tanzania09 Jul
Atupwa jela miaka mitatu
MAHAKAMA ya Wilaya Ilala imemuhukumu Mwanamuziki wa Bendi ya Achigo, Frank Ndokezi (41) kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela kwa kosa kuiibia Ofisi ya Usaki Sacos Sh. milioni 19.8, kutakiwa kulipa faini ya fedha hizo mara baada ya kumaliza kutumikia adhabu hiyo
Hukumu hiyo ilitolewa jana Mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Juma Hassan, Wakili wa Serikali Ferista Mosha.
Hakimu Hassan alisema upande wa mashitaka ulikuwa na mashahidi watano waliotoa ushahidi ili kuweza kuthibitisha...
10 years ago
Habarileo02 Jan
Mwinjilisti atupwa jela miaka 30
MAHAKAMA ya Mkoa wa Tabora i m e m h u k u m u Mwinjilisti wa Kanisa la Menonite Ipuli Manispaa ya Tabora, kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya ubakaji wa msichana wa miaka 16.
11 years ago
Habarileo17 Mar
Aliyefumaniwa atupwa miaka 5 jela
MKAZI wa Kijiji cha Kasokola wilayani Mlele, Makanga Vipawa (43) aliyefumaniwa na mke wa mtu akifanya mapenzi shambani mwa mume wa mwanamke huyo, amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela baada ya kupatikana na hatia ya kuua bila kukusudia.
10 years ago
Habarileo19 Dec
Mwalimu wa madrasa atupwa jela miaka 7
MWALIMU wa Chuo cha Madrasa kilichopo Chake Chake, Pemba, Said Khamis Salum (31) ameanza kutumikia chuo cha mafunzo jela miaka 7 baada ya kutiwa hatiani kwa kumpa ujauzito mwanafunzi wake mwenye umri wa miaka 15 jina (linahifadhiwa).