POLE DULLY ILA UMESAHAU HUO NDO’ UKUBWA?

NIMPE pole sana mdogo wangu Abdul Sykes kwa msiba mzito alioupata wiki mbili zilizopita, kwa kuondokewa na baba yake mzazi, mzee wetu Ebby Sykes. Ingawa kila mtu ana uchungu na kifo chake kinachomhusu, lakini kwa wengi wetu, kumpoteza baba au mama mzazi ni moja kati ya mapigo yanayotuumiza mno. Mzee Sykes alifariki Februari 15, mwaka huu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa kwa ajili ya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima29 Jun
Ukubwa wa Bunge sio ukubwa wa ufanisi
JUMAPILI iliyopita mwandishi Juvenalis Ngowi aliandika kwenye safu yake ya Wazo Jepesi katika gazeti hili, kwamba tupunguze ukubwa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ingawa yeye alilichukulia hilo...
11 years ago
Bongo518 Sep
New Music: Steve RnB — Pole Pole (Tropical Riddim)
11 years ago
GPL
NATURE, UMESAHAU KUTESA KWA ZAMU?
11 years ago
Michuzi29 Sep
10 years ago
Vijimambo
9 years ago
Mtanzania23 Nov
Ukubwa wa jina la Sarafina haumsumbui mumewe
MUME wa mwigizaji wa Afrika Kusini aliyewahi kutamba katika filamu ya ‘Sarafina’, Leleti Khumalo ‘Sarafina’, Skhutmazo Khanyile, amesema ukubwa wa jina la mke wake huyo haumpi changamoto yoyote katika ndoa yao.
“Jina la Sarafina ni kubwa mno ndani ya Afrika Kusini na nje lakini nilipomuoa na kukubali kuwa mke wangu amekuwa mke kweli kwa maisha halisi si ya kuigiza, anapokuwa nyumbani huwa mke na akiwa kwenye sanaa huwa Sarafina hakuna changamoto yoyote kwenye ndoa yetu,’’ alieleza Khanyile...
11 years ago
Michuzi19 Jul
11 years ago
Mwananchi05 Jul
Tobo: Operesheni mpya inasaidia kupunguza ukubwa wa kidonda