MWANAMKE AKIOLEWA KUNA ULAZIMA AITWE JINA LA UKOO WA MUMEWE?
![](http://api.ning.com:80/files/HH5EPnzPgDKwYG4GNniWc5vCDiss5n6BH37DfkmxZpkIpmL8tPo2CVvHJg*B8fPr5zkx3BCeyrukdlP3*aPfBV1AyXECz9Hk/mahaba.jpg)
KARIBUNI tena na tena, wasomaji wa safu hii motomoto inayozungumzia maisha kwa ujumla. Lengo sa safu hii ni kuwekana sawa katika mazingira ya maisha ya uhusiano tunayoishi. Mada yetu ya leo imetokana na kuzidi kushamiri kwa hoja kwamba je, mwanamke akishaoelewa kuna umuhimu wa kuitwa kwa jina la ukoo wa mumewe?Mfano, awali mwanamke aliitwa Julieth Thomas Rupia, akaolewa na Samuel Aloyce Masumbuko. Je, Julieth akishaolewa aitwe...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/q*0FqWTixVIApSFc8Dtef94foYuNO89fmmM4tVS34IQuvImNyg*JOxZAaoM1Oau60L14ucnmtaWb8vRUlIiFHI0hXfLshu2t/mke.jpg)
MWANAMKE AKIOLEWA KUNA ULAZIMA AITWE JINA LA UKOO WA MUMEWE?-2
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nBD8FQWarq-vKsfLbCBpW6X4lOHYvbFNCR23Lc8iPNR*h8-FCWlOVOHL8P9lL67LLYnBHP*JLHzXEVSQFT6GIi*qekHpXsZY/b.jpg?width=650)
KUNA ULAZIMA WOWOTE WANANDOA KUFICHANA VIPATO VYAO?-2
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rhqcRsJl7aRRMkt7UURWg7kD3YSCJnh6JCHUfYzC34CsUyUrw5NtRqhf-XLqzj-rJhSFPKguQT882xXp*fAuUz1E3bUsC8vC/A.jpg?width=650)
KUNA ULAZIMA WOWOTE WANANDOA KUFICHANA VIPATO VYAO?
9 years ago
Mtanzania23 Nov
Ukubwa wa jina la Sarafina haumsumbui mumewe
MUME wa mwigizaji wa Afrika Kusini aliyewahi kutamba katika filamu ya ‘Sarafina’, Leleti Khumalo ‘Sarafina’, Skhutmazo Khanyile, amesema ukubwa wa jina la mke wake huyo haumpi changamoto yoyote katika ndoa yao.
“Jina la Sarafina ni kubwa mno ndani ya Afrika Kusini na nje lakini nilipomuoa na kukubali kuwa mke wangu amekuwa mke kweli kwa maisha halisi si ya kuigiza, anapokuwa nyumbani huwa mke na akiwa kwenye sanaa huwa Sarafina hakuna changamoto yoyote kwenye ndoa yetu,’’ alieleza Khanyile...
11 years ago
GPL![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/05/06/article-2621567-1D9EE47200000578-983_634x470.jpg?width=634)
MWANAMKE AMTETEA MUMEWE KWA UBAKAJI
9 years ago
BBCSwahili06 Jan
Mwanamke alivyokubali mtoto apewe jina la Arsenal
10 years ago
Mwananchi06 Dec
Hivi kuna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke?
9 years ago
MillardAyo24 Dec
Nyumbani kwa Chris Brown kuna nini?!.. Nyingine ya mwanamke kuvamia nyumba yake imenifikia!
Miezi kadhaa iliyopita, Chris Brown aliziandika headlines baada ya taarifa kusambaa kuwa kuna mwanamke alivamia nyumba yake na kujikaribisha mpka ndani pamoja na kuchora kuta za nyumba za staa huyo na maandishi yaliyosema ‘I Love You Chris’… hiyo ilikuwa miezi saba iliyopita, kuna nyingine mpya inayofanana na hiyo pia! Siku ya jumanne tarehe 22 December […]
The post Nyumbani kwa Chris Brown kuna nini?!.. Nyingine ya mwanamke kuvamia nyumba yake imenifikia! appeared first on...