Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanamke alivyokubali mtoto apewe jina la Arsenal

Shabiki mmoja wa Arsenal alifanikiwa kumshawishi mkewe wampe mtoto wao jina la Arsenal bila mwanamke huyo kugundua hilo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SUGU ASHINDA KESI DHIDI YA MAMA MTOTO WAKE FAIZA, MAHAKAMA YAAMUA APEWE MTOTO

Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) ameshinda kesi aliyomfungulia aliyewahi kuwa mchumba wake Faiza Ally ambaye pia ni mama wa mtoto wake wa kike aitwaye Sasha.Kwa mujibu wa maelezo ya Faiza kupitia akaunti yake ya Instagram, mahakama imetoa hukumu ambayo ni mtoto achukuliwe na kulelewa na baba yake mzazi.Sugu alimshitaki Faiza kwa madai kuwa hana maadili na ana hofia kuwa atamharibu mtoto wao, hivyo alitaka kumchukua mtoto kutoka kwa mama yake aishi naye.

Hiki ndicho amekiandika...

 

10 years ago

GPL

MWANAMKE AKIOLEWA KUNA ULAZIMA AITWE JINA LA UKOO WA MUMEWE?-2

KARIBUNI tena na tena mashabiki wa safu hii ya ukweli inayozungumzia maisha kwa ujumla.
Wiki iliyopita tulianza na mada yenye kichwa cha habari hapo juu ‘Mwanamke akioelewa kuna ulazima wa kutumia jina la ukoo wa mumewe? Mada hii ni pana, nilifafanua mengi likiwemo suala la asili ya wanawake kuitwa kwa majina ya waume zao. Nikatoa mfano wa wanawake maarufu ambao wanatumia majina ya ukoo wa waume zao, wakiwemo wake wa...

 

10 years ago

GPL

MWANAMKE AKIOLEWA KUNA ULAZIMA AITWE JINA LA UKOO WA MUMEWE?

KARIBUNI tena na tena, wasomaji wa safu hii motomoto inayozungumzia maisha kwa ujumla. Lengo sa safu hii ni kuwekana sawa katika mazingira ya maisha ya uhusiano tunayoishi.
Mada yetu ya leo imetokana na kuzidi kushamiri kwa hoja kwamba je, mwanamke akishaoelewa kuna umuhimu wa kuitwa kwa jina la ukoo wa mumewe?Mfano, awali mwanamke aliitwa Julieth Thomas Rupia, akaolewa na Samuel Aloyce Masumbuko. Je, Julieth akishaolewa aitwe...

 

10 years ago

Tanzania Daima

UJAUZITO WIKI YA 18: Kuchagua jina la mtoto — 2

KAMA tulivyoona katika makala zilizotangulia, watu huchagua jina la mtoto kwa kufuata vigezo tofauti tofauti, lakini kwa makabila mengi nchini, moja ya jambo ambalo linatumiwa na watu wengi wakati wanapochagua...

 

10 years ago

Habarileo

Mtoto apewa jina la mke wa Kikwete

RAIS Jakaya Kikwete ameanza ziara ya Mkoa wa Morogoro kwa kuzindua Mfumo wa Huduma za Afya za Masafa katika Kituo cha Afya cha Mwaya Wilaya ya Ulanga, ambako mtoto mchanga wa kike aliyezaliwa saa chache baada ya uzinduzi huo, alipewa jina la Salma, mke wa Rais Kikwete.

 

9 years ago

GPL

SIMULIZI YA MPOTO: MKEWE AJIFUNGUA, ASHINDWA KUMPA JINA MTOTO

MPENZI msomaji wiki iliyopita katika simulizi hii ya Mrisho Mpoto tuliishia pale alipofunga harusi ya ajabu ambapo keki ilikuwa boga na dafu ikawa ndiyo shampeni. Katika harusi hiyo pia MC alikuwa Mrisho mwenyewe na wenzake tisa na pia tulielezea pale mwisho wa harusi hiyo alipomaliza alifunga mlango na kurudisha ufunguo kwa wahusika waliompa ukumbi.Tambaa nayo mwenyewe... “Baada ya kuoa, nikakaa fungate kwa siku kadhaa ambapo...

 

9 years ago

Bongo5

Kanye West na Kim Kardashian watoa jina la mtoto wao wa kiume

kanye and kim

Baada ya ubashiri wa watu wengi juu ya jina atakalopewa mtoto wa pili wa mastaa Kanye West na mkewe Kim Kardashian West, hatimaye wazazi wake wametoa jina.

kanye and kim

Mtoto wao wa kiume aliyezaliwa siku ya Jumamosi asubuhi wamemuita ‘SAINT WEST’, unalionaje?

Kim K ameshare na ulimwengu jina la baby brother wa North West kupitia website yake kwa kuandika, “To our fans. Saint West. 12.05.15. 8 pounds, 1 ounce.” Na kwenye page yake ya Instagram alipost emoji za watu wanne, baba, mama, na watoto wawili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani