Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUNA ULAZIMA WOWOTE WANANDOA KUFICHANA VIPATO VYAO?

NIANZE kwa kumshukuru Mungu wa Mbinguni kwa kunikutanisha na wewe msomaji wangu katika safu hii ya Show The Love. Huu ndiyo uwanja pekee ambao tunaweza kupashana masuala mbalimbali yahusuyo mapenzi.
Niwashukuru wale wote mnaotuma maoni yenu kuashiria mnaguswa na mada ambazo tumekuwa tukizijadili katika safu hii kila Jumamosi. Cha msingi ni kujifunza na kuyafanyia kazi yale yote ambayo tumekuwa tukiyajadili ili kudumisha maisha...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KUNA ULAZIMA WOWOTE WANANDOA KUFICHANA VIPATO VYAO?-2

NI wikiendi nyingine tunakutana katika eneo letu la kupata darasa huru la uhusiano. Bila shaka mpenzi msomaji uko vizuri na unaendelea na maisha kama kawaida, karibu!Wiki iliyopita tuliianza mada yenye kichwa cha habari kilichopo hapo juu. Tuliweza kujadili kama kuna umuhimu wowote wanandoa kufichana vipato vyao. Niliishia pale nilipoonesha tabia za wanawake ambao wanaficha mapato yao ili wayatumie katika vitu vyao binafsi na...

 

10 years ago

Michuzi

Watanzania waaswa kutunza vipato vyao wawe na maisha bora

Mwezeshaji wa Taasisi ya MAYEPS Tanzania Lucas Marco (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) hivi karibuni jijini Dar es salaam wakati wa uzinduzi wa kitabu kiitwacho “NITUNZE NIKUTUNZE FAINALI UZEENI”, chenye maudhui ya kuwasaidia watu wanaofanyakazi ya kujiajiri au kuajiriwa kufanya maamuzi yaliyosahihi ili waweze kuishi maisha bora wakati wakiwa kwenye ajira na baada ya kustaafu. Katikati ni Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Rose Mang’enya na kushoto ni Meneja wa...

 

10 years ago

GPL

MWANAMKE AKIOLEWA KUNA ULAZIMA AITWE JINA LA UKOO WA MUMEWE?-2

KARIBUNI tena na tena mashabiki wa safu hii ya ukweli inayozungumzia maisha kwa ujumla.
Wiki iliyopita tulianza na mada yenye kichwa cha habari hapo juu ‘Mwanamke akioelewa kuna ulazima wa kutumia jina la ukoo wa mumewe? Mada hii ni pana, nilifafanua mengi likiwemo suala la asili ya wanawake kuitwa kwa majina ya waume zao. Nikatoa mfano wa wanawake maarufu ambao wanatumia majina ya ukoo wa waume zao, wakiwemo wake wa...

 

10 years ago

GPL

MWANAMKE AKIOLEWA KUNA ULAZIMA AITWE JINA LA UKOO WA MUMEWE?

KARIBUNI tena na tena, wasomaji wa safu hii motomoto inayozungumzia maisha kwa ujumla. Lengo sa safu hii ni kuwekana sawa katika mazingira ya maisha ya uhusiano tunayoishi.
Mada yetu ya leo imetokana na kuzidi kushamiri kwa hoja kwamba je, mwanamke akishaoelewa kuna umuhimu wa kuitwa kwa jina la ukoo wa mumewe?Mfano, awali mwanamke aliitwa Julieth Thomas Rupia, akaolewa na Samuel Aloyce Masumbuko. Je, Julieth akishaolewa aitwe...

 

10 years ago

GPL

JE, KUNA UHUSIANO WOWOTE KATI YA TUMBO KUJAA GESI NA MIUNGURUMO KWA MWANAUME KATIKA TENDO LA NDOA?

Watu wengi wamekuwa wakiwasiliana nasi wakihusisha haya mambo mawili hasa wanaume pasipo kujua kama yanahusiana kwa ukaribu au laa. Na kwa maana hiyo, leo watu wengi wataweza kujua uhusiano wa haya mambo mawili yaani miungurumo ya tumbo, tumbo kujaa gesi na miungurumo ya hapa na pale katika kushiriki tendo la ndoa au kupungukiwa na nguvu katika kushiriki tendo la ndoa. Tatizo hili kitaalamu huitwa constipation, yaani mtu kuwa na...

 

9 years ago

StarTV

Taasisi za kusaidia jamii zaaswa kuviinua Vipato Kwa Wananchi

Serikali imezitaka taasisi za kusaidia jamii kujikita katika kuinua vipato vya wananchi wa hali ya chini kwa kuwapa elimu na mitaji itakayowasaidia kuibua miradi mbalimbali ya kiuchumi ambayo wataitumia kuboresha vipato vyao na kuondoa umaskini.

Mifuko hiyo haina budi kuunganisha nguvu za pamoja katika kutafuta ruzuku za kuisadia jamii kwani kwa kufanya hivyo wataweza kusaidia kuboreshwa kwa huduma za kijamii, zikiwemo za elimu, afya na maji, ambazo zimekuwa adimu kupatikana kwa watu wenye...

 

10 years ago

Michuzi

Wazazi wana wajibu na ulazima wa kuhakikisha watoto wao wanapata elimu bora - Balozi Seif Ali Iddi

Wazazi wana wajibu na ulazima wa kuhakikisha kwamba watoto wao wanawasimamia vyema katika kupata elimu bora itakayotoa mwanga wa kimaisha katika hatma yao ya baadaye. 
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alitoa nasaha hizo wakati akizunghumza na Uongozi wa Kamati ya Skuli, walimu, Wazazi na Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Kinyasini Wilaya ya Kaskazini “A “ mara baada ya kuikagua na kuangalia maendeleo na changamoto zinazoikabili skuli hiyo. 
Balozi Seif alisema elimu...

 

9 years ago

Mtanzania

Ma-RC, DC wakati wowote

Kassim Majaliwa*Elimu, uzoefu na ukada kutumika kwenye mchujo mpya

*Wazee, wagonjwa na walioshindwa uchaguzi mkuu kutupwa

Na Elias Msuya

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema wakati wowote kuanzia sasa uteuzi mpya wa wakuu wa mikoa na wilaya utafanyika.

Amesema watakaoteuliwa baada ya kuapishwa watasainishwa tamko la ahadi ya uadilifu kwa viongozi wa umma.

Akizungumza jana Ikulu ya Magogoni katika hafla ya kuapishwa kwa makatibu na manaibu katibu wakuu, Waziri Mkuu alisema Serikali imeamua kudhibiti...

 

9 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani