Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SEMINA YA WANANDOA

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Wanandoa wa Canada kuchunguzwa China

Mamlaka za China zimewatuhumu wana ndoa raia wa Canada wanaofanya biashara ya mgahawa nchini humo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanandoa watimiza miaka 80 pamoja

Wanandoa kutoka Bournemouth kusini mwa England, wanasherehekea miaka 80 ya ndoa yao.

 

10 years ago

Habarileo

Wanandoa wauawa, wanyofolewa viungo

WATU wawili ambao ni wanandoa wameuawa kwa kukatwa mapanga na watu wasiojulikana na kisha wauaji hao kuchukua baadhi ya viungo vyao katika kitongoji cha Mwabasabi, wilaya ya Bunda, mkoani Mara. Kamanda wa Polisi mkoani Mara, Philipo Kalangi alithibisha kutokea kwa tukio hilo usiku wa kuamkia Desemba 24 mwaka huu. Kamanda Kalangi aliwataja waliouawa kuwa ni Maduhu Mizingo ambaye ni mlemavu wa macho na mkewe aliyekuwa anamuongoza, Zawadi Sarehe (56), wote ni wakazi wa kijiji cha Mcharo wilayani hapa. Imeelezwa, watu hao waliuawa na watu hao wakati wakitoka kusaga nafaka katika kijiji hicho majira ya saa 2:00 usiku. Taarifa za awali kutoka katika kijiji hicho zinasema mauaji hayo yanatokana na mgogoro wa ardhi, ambapo kesi ya mgogoro huo iko mahakamani na watu wanaodaiwa kufanya mauaji hayo wake zao wanashikiliwa na polisi baada ya waume zao kukimbia. Mwenyekiti wa kijiji hicho, Matwiga Muga, aliwataja watu wanaotuhumiwa kufanya mauaji hayo ya kinyama kuwa ni mwalimu mstaafu Charles Mgogo na kijana wake Lunyangi Charles ambapo wote ni wakazi wa kijiji hicho na kwamba wametoroka. Alisema waliouawa walikuwa na mgogoro wa ardhi yenye ukubwa wa ekari moja na watuhumiwa hao, kwa kipindi kirefu, ikiwa ni pamoja na kumshambulia kwa kipigo mara kwa mara mlemavu huyo wa macho na kesi kufikishwa kwenye ofisi yake na kisha mahakamani. Ofisa Mtendaji wa kata hiyo, Waziri Kingi na Ofisa Mtendaji wa kijiji hicho, Betysheba Maingu, walisema mauaji ya wanandoa hao yaligunduliwa na mtoto wao wa kiume aliyekuwa anakwenda shambani majira ya asubuhi. Ilielezwa kuwa, mtoto huyo baada ya kufika katika eneo hilo aliuona mwili wa baba yake ukiwa umetelekezwa pembezoni mwa barabara, huku marehemu akiwa ameshikilia fimbo aliyokuwa anaitumia kumwongoza. Aidha, ilielezwa kuwa kijana huyo alipokagua katika eneo hilo alibahatika kuuona mwili wa mama yake ukiwa umekunjwakunjwa baada ya kucharangwa mapanga na kufichwa pembezoni mwa kichaka jirani kabisa na nyumbani kwao. Polisi walisema daktari aliyefanya uchunguzi wa mwili wa mwanamke ulibainika kunyofolewa baadhi ya viungo vikiwemo sehemu zake za siri, macho, titi la kulia na makalio. Aidha, alisema kuwa mwanamume huyo alikatwa panga kichwani na kutelekezwa katika eneo hilo ambapo mwili wake ulikutwa ukishambuliwa na wadudu wengi aina ya siafu.WATU wawili ambao ni wanandoa wameuawa kwa kukatwa mapanga na watu wasiojulikana na kisha wauaji hao kuchukua baadhi ya viungo vyao katika kitongoji cha Mwabasabi, wilaya ya Bunda, mkoani Mara.

 

10 years ago

GPL

JOYCE KIRIA NA PATI YA WANANDOA

Hamida Hassan MWANAHARAKATI na mtangazaji wa Kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria kwa kutambua adha wanazokutana nazo akina mama kwenye ndoa zao, ameandaa pati maalum kwa ajili ya kuwafunda, Risasi Jumatano linakupasha.. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1glgyiP

 

11 years ago

Tanzania Daima

Moshi waua wanandoa Katavi

WANANDOA Antony Charles (28) na mkewe, Sungolwa Paulo (22) aliyekuwa na ujauzito wa miezi saba, wakazi wa Kijiji cha Kasisi, Kata ya Ugalla, wilayani Mlele, wamefariki dunia baada ya kuvuta...

 

11 years ago

GPL

WANANDOA COSMAS NA ROSE WAMEREMETA

Wanandoa Cosmas na Rose wakimeremeta wakati wa harusi yao iliyofungwa katika Kanisa la Mwananyamala na baadaye hafla iliyofanyika Mayfair Plaza, Mikocheni jijini Dar es Salaam. Maharusi wakipozi na kamati ya maadanlizi ya harusi.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kauli ya Sumaye iungwe mkono na wanandoa

NIMEMSIKIA Waziri Mkuu mstaafu katika Serikali ya Awamu ya Tatu, Frederick Sumaye, akizitaka jamii zilizomo kwenye ndoa kuvumiliana katika mambo mbalimbali ili kuepuka matatizo yanayoweza kuzaa chuki, jambo ambalo wakati...

 

11 years ago

Habarileo

Wanandoa wauawa kwa kupigwa risasi

MUME na mke wakazi wa kijiji cha Ndurumo kilichomo ndani ya makazi ya kambi ya wakimbizi ya Katumba wilayani Mlele, mkoani Katavi, wameuawa kwa kufyatuliwa risasi za moto wakiwa wamelala nyumbani mwao na mtu ambaye hajaweza kufahamika.

 

11 years ago

Habarileo

Wanandoa waaswa kutatua mifarakano mapema

WANANDOA nchini wamesisitizwa kufanya mazungumzo ya pamoja na kumaliza mafarakano kwa haraka pale inapobainika mmoja wa wanandoa hao amekwenda kinyume na utaratibu ndani ya nyumba zao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani