Wanandoa watimiza miaka 80 pamoja
Wanandoa kutoka Bournemouth kusini mwa England, wanasherehekea miaka 80 ya ndoa yao.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ewtvLniYpoN8YDKlZJCEmm3Jn6RyoMSHyIUYkLZumlT7*MfR1CitI0vOwDAGDGMdxUpww1nXBrAXkoCI8AF6eKTwK5NX0X4*/muungano.jpg?width=650)
MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR WATIMIZA MIAKA 50
10 years ago
Dewji Blog16 Sep
Mfuko wa Pensheni wa PSPF watimiza miaka 15 tokea kuanzishwa kwake
Mkurugenzi wa Idara ya Habari- Maelezo, Bw Assah Mwambene akizungumza jambo wakati wa mkutano wa waandishi wa habari na Viongozi wa Mfuko wa Hifadhi wa Pensheni wa PSPF mapema leo katika Ukumbi wa JB Belmonte, Jijini Dar Es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa pensheni wa PSPF, Bw Adam Mayingu akizungumzia mafanikio ya mfuko wa PSPF katika kipindi cha Miaka 15 tokea kuanzishwa kwake katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo katika Ukumbi wa JB Belmonte Jijini Dar.
10 years ago
CloudsFM16 Dec
UHUSIANO WA YOUNG KILLER NA MPENZI WAKE WATIMIZA MIAKA NANE
p>Ni mara chache sana kwa masupastaa kufunguka kuhusu mahusiano yao ya kimapenzi, ni wachache sana ambao wako tayari kuweka mambo wazi kama msanii Young Killer ambaye ana ameweka wazi uhusiano wake na mwanadada Halimaty.
‘’Halimaty ni mpenzi wangu nipo naye zaidi ya miaka nane,amekuwa zaidi ya rafiki’’alisema Young Killer kwenye shoo ya After Skul Bash iliyofanyika Jumamosi iliyopita kwenye viwanja vya Escape One,Mikocheni.
11 years ago
BBCSwahili07 Aug
Waaga dunia pamoja baada ya miaka 62
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-PGAt7Wi4nOM/XvB9hXD-U6I/AAAAAAALu5g/FI-Pf67fc1EQhztpi-BvrUB14g2AONSQACLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-22%2Bat%2B12.34.07%2BPM.jpeg)
SERIKALI YATATUA MGORORO ULIODUMU KWA MIAKA MINNE KATI YA WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA UJENZI WA DARAJA LA MTO KILOMBERO PAMOJA NA MKANDARASI
Na Mwandishi Wetu
SERIKALI imetatua mgogoro wa wafanyakazi waliokuwa wanafanya kazi ya ujenzi katika daraja la Mto Kilombero kwenye kampuni ya kikandarasi ya China Railway 15 Group uliodumu kwa zaidi ya miaka minne na kuhakikisha haki inatendeka kwa kila mfanyakazi.
Mgogoro huo uliosimamiwa kikamilifu na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Arch. Elius Mwakalinga, pamoja na wataalamu kutoka sekta hiyo kwa muda wa siku tatu.
Mwakalinga, ameagiza uongozi wa kampuni hiyo...
9 years ago
Dewji Blog21 Sep
Mtandao wa kwanza wa magari Tanzania cheki.co.tz watimiza mwaka mmoja
Mkurugenzi wa Uhamasishaji Biashara na Masoko wa Wizara ya Viwanda na Biashara Odilo Majengo ambaye alimwakilisha Waziri wa Viwanda na Biashara katika maonyesho ya magari akisaini kwenye kitabu cha wageni katika banda la Cheki.co.tz mara baada ya kuwasili katika kiwanja cha Biafra jijini Dar wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya magari na bidhaa shirikishi ya Auto Fest.
Tarehe 19 Mwezi wa septemba 2015 Mtandao wa magari unaoongoza nchini Tanzania Cheki.co.tz umetimiza mwaka mmoja wa utoaji...
11 years ago
Bongo512 Jul
Video:Terrance J, Chaka Zulu na David Banner watimiza ahadi ya Kikwete, watoa funzo kwa wasanii
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t3tIV4vY4Jr9CXAPEIjO1GfEamQHrF7pt2Plm75ThucB3G7UueOKZTtF4YKViqZWnXvoX1OB5TBBZSQ97KCw09CXJV*fqm5z/IMG20150727WA0049.jpg?width=550)
11 years ago
Tanzania Daima12 Feb
Moshi waua wanandoa Katavi
WANANDOA Antony Charles (28) na mkewe, Sungolwa Paulo (22) aliyekuwa na ujauzito wa miezi saba, wakazi wa Kijiji cha Kasisi, Kata ya Ugalla, wilayani Mlele, wamefariki dunia baada ya kuvuta...