Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtandao wa kwanza wa magari Tanzania cheki.co.tz watimiza mwaka mmoja


Mkurugenzi wa Uhamasishaji Biashara na Masoko wa Wizara ya Viwanda na Biashara Odilo Majengo ambaye alimwakilisha Waziri wa Viwanda na Biashara katika maonyesho ya magari  akisaini kwenye kitabu cha wageni katika banda la Cheki.co.tz mara baada ya kuwasili katika kiwanja cha Biafra jijini Dar wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya magari na bidhaa shirikishi ya Auto Fest.

Tarehe 19 Mwezi wa septemba 2015 Mtandao wa magari unaoongoza  nchini Tanzania Cheki.co.tz umetimiza mwaka mmoja wa utoaji...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Cheki.co.tz tovuti ya wauzaji na wanunuzi wa magari kushehereka mwaka mmoja

11952038_1632390783667023_2411717754836153626_n

AUTOMeneja masoko wa Cheki Tanzania Limited Mori Bencus (kushoto) akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Vision Investments, Bw. Ally Nchahaga ambao ni waandaaji kwa mwaka wa nane, wa tamasha la magari Tanzania (Autofest), tukio linalotarajia kuanza kesho viwanja vya Biafra, Septemba 18-20.2015. 

Na Andrew Chale, modewjiblog

[Dar es Salaam-Tanzania] Kwa mara nyingine tena Cheki Tanzania Limited ambayo inameweza kutimiza mwaka mmoja tokea kuingia nchini inatarajia kushirikiana na wadau mbalimbali wa...

 

5 years ago

Michuzi

WANYAMA 380 WAMEKUFA KWA KUGONGWA NA MAGARI NDANI YA MWAKA MMOJA 2019


WANYAMA 380 wamekufa kwa kugongwa na magari  ndani ya mwaka mmoja 2019 katika eneo la mapito ya wanyama kuanzia Magugu wilayani Babati hadi Makuyuni wilayani Monduli ambayo husaidia wanyama kwenda hifadhi ya tarangire na hifadhi ya Manyara.

Mtafiti wa wanyamapori katika mradi wa Simba Tarangire, Dk Bernard Kissui alitoa taarifa hizo juz katika kikao cha kujadili kuokoa eneo la mapito ya wanyama kwa kuchinja hadi Mdori ambalo linaendelea kuvamiwa .

Dk Kissui alisema kati ya januari hadi...

 

5 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT: MKURUGENZI MTENDAJI MTANDAO WA JAMII FORUM MAXENCE MERO AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MWAKA MMOJA AMA KULIPA FAINI

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jamii Forum Maxence Melo kulipa faini ya Sh. Milioni tatu ama kutumikia kifungo cha mwaka mmoja gerezani baada ya kupatikana na hatia katika kosa la kuzuia jeshi la polisi kufanya kazi yao ya uchunguzi kwa kuzuia taarifa binafsi za wateja wa mtandao wao.

Hukumu hiyo imesomwa leo Aprili 8,2020 na Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba.

Hata hivyo mahakama imemuachia huru mshtakiwa Micke William ambaye ni Mwanahisa wa mtandao...

 

5 years ago

Michuzi

Mwandishi wa habari ahukumiwa jela mwaka mmoja au faini ya shilingi milioni tano kwa kosa la kutoa maudhui kwenye mtandao wa youtube bila leseni




Mahakama ya Hakimu Mkazi Njombe imemtia hatiani na kumhukumu kulipa faini ya Shilingi Milioni 5 au kifungo Cha Mwaka mmoja jela Mwandishi wa habari Prosper Mfugale baada ya mwandishi huyo kukiri kutoa maudhui Katika Mtandao wa YouTube bila ya kuwa na leseni kutoka mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA), hata hivyo Mfugale amelipa faini hiyo na kuachiwa huru.

Mfugale alikamatwa mnamo Februari 29 Mwaka huu na kushikiliwa kwa siku nne kituo cha polisi Njombe na tarehe 4 Machi alifunguliwa...

 

10 years ago

Bongo5

Wizkid kuja Tanzania mwaka huu kwa mara ya kwanza

Mashabiki wa msanii kutoka Nigeria, Wizkid watarajie kumshuhudia staa huyo juu ya jukwaa la nyumbani. Wizkid anatarajia kuja Tanzania mwaka huu (2015) kwa mara ya kwanza. Wizkid Mwimbaji huyo wa ‘Show You The Money’ ameweka ratiba ya shows anazotarajia kuzifanya na Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo ziko kwenye ratiba hiyo. “Gambia ,London ,Tanzania ,Kenya, […]

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA MASWALA YA ULINZI MTANDAO WAKAMILIKA KWA KUPIGILIA MSUMARI KAULI MBIU “MWAKA 2014 NI MWAKA WA VITENDO”

Akizungumzia mkutano huo bwana Yusuph Kileo ambaye aliongoza timu ya maandalizi ya mkutano huo alibainisha hayo na kueleza mkutano huo umekamilika salama ambapo mambo mbalimbali yalipata kujadiliwa yahusuyo ulinzi mtandao “Cyber security” na kupigilia msumari kauli mbiu ya mwaka 2014 kua ni mwaka wa vitendo.  Mwanzo wa mkutano bwana Craig Rosewarne (Mwenyekiti wa kundi linalojiuhisisha na maswala ya ulinzi mtandao (ISG) katika nchi za afrika ambaye pia ni Mkurugenzi mkuu wa kampuni Wolfpack...

 

11 years ago

Michuzi

Tamasha la Magari Tanzania (Autofest) limerudi na Matoleo Mapya ya Magari

Likirudi kwa mwaka wake wa saba, tamasha la magari Tanzania (autofest) litakua likionyesha magari mapya, matoleo mapya ya pikipiki, burudani za muziki kutoka kwa wasanii mbalimbali wa nchini na burudani nyingine za kusisimua kwa ajili ya familia nzima kuanzia Septemba 19-21, 2014. Tamasha la mwaka huu ambalo linaandaliwa na Vision Investment, litafanyika katika viwanja vya Biafra, Kinondoni. Anayetarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi ni Mhe. Dk Abdallah O. Kigoda, Waziri wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani