NORA ANANGA WASANII WANAOTUMIKA KISIASA!
![](http://api.ning.com:80/files/ykZ*wTWqMzaNo2K8GrOLMvoDjBw30VKPtobUZ-jssf*R4xXliv9mEepNX2JiOyQNWRNo783oDwJ2dQt9GttldY9Co9AtTcGd/p.txt1.jpg)
Msanii wa ‘long time’ kwenye ulimwengu wa filamu, Nuru Nassoro ‘Nora’ amewananga wasanii ambao wanakubali kutumika kisiasa katika kipindi hiki bila kujua madhara watakayopata baada ya uchaguzi.Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Nora alisema kuwa, anawashangaa baadhi ya wasanii kukubali kununulika wakati wakijua kuwa, baada ya uchaguzi watamwagwa.  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1J3NfHE ...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies04 Oct
Riyama Awaasa Wasanii Wanaotumika Kutetea Matumbo ya Wanasiasa, Wakati…
Habari wapendwa wangu Leo naomba kuongea na wewe MTANZANIA mwenzangu rafiki yangu unae Like na ku comment katika ukurasa wangu (kwenye mtandao wa Instagram) naamini wewe ndio balozi wangu utake nifikishia ujumbe wangu Kwa jamii inayo tuzunguka.
Ndugu zangu kupiga kura ni haki ya kila MTANZANIA hivo shime tujitokeze kwa wingi kwa wale umri unao tu ruhusu kupiga kura angalizo usikubali kushurutishwa na mtu wa aina yeyote yule kwa kumchagua kiongozi anae mtaka yeye kwa maslahi yake, bali...
9 years ago
Dewji Blog12 Sep
BASATA yaonya wasanii dhidi ya lugha chafu, maadili wakati huu wa kampeni za kisiasa
Katibu Mtendaji, Basata, Godfrey L. Mngereza.
Katika siku za hivi karibuni kumeibuka wimbi la wasanii kuvunja maadili, kukaidi adhabu na kutumia lugha chafu kwa makusudi katika kazi za Sanaa hususan muziki hali ambayo imezua malalamiko, masikitiko na hofu kwa jamii ambayo ni walaji wa kazi za Sanaa.
Lugha hiyo chafu ambayo inajidhihirisha kwa matusi ya wazi, maneno ya uchochezi, kashfa, kejeli, dharau na udhalilishaji wa kada mbalimbali za kijamii wakiwemo viongozi wa kitaifa inaonesha wazi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mJm3snXM0mzS9AnYWemTWt13hZeAgJRVDkQpr8DTHUXzzHhvpxk0sYlK9n8e9CmhAdRHtjVgEC6QimfvtPtWnyEU9nmGUHDX/Leleti.jpg?width=650)
SARAFINA AWAFUNDA MASTAA WANAOTUMIKA KINGONO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pVOWqi0dq18Kmi4uAEdClwq11yB7YhvPRlJMpS76HMB2bFG9NM*DSHVhm-IH3KC9jhANrAvoYNjczo5XmOHvotRwp9GKPhia/nora.jpg?width=650)
NORA ATESWA NA MATAPELI
9 years ago
Bongo Movies30 Oct
Nipo Sijapotea- Nora
MWIGIZAJI wa kike katika tasnia ya filamu Bongo Nuru Nassor ‘Nora’ anasema hajapotea katika tasnia ya filamu bali ni kujipanga na kufanya kazi zake zaidi kuliko za kushirikishwa kwani mara nyingi filamu ili ung’are lazima uwe mtayarishaji.
“Filamu ni tofauti na tamthilia, katika filamu kuna changamoto nyingi sana hali ya soko lakini pia maandalizi yake ni gharama, ndio kuna wakati wanaona msanii kama kapotea kumbe anajipanga,”Nora.
Nora anasema kuwa baadhi ya watayarishaji ni waoga...
10 years ago
Vijimambo23 Sep
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tBTKCkFUMvM6fZZON6KezVj0iU42N4aSOSyldOXuQHTE4AqKp0iflE*OUDEMUuKYWw-WAkYzwWh1mfWVqeHXmmTwjLra1PL9/kajala.jpg)
NORA AMCHANA KAJALA
10 years ago
Bongo Movies17 Apr
Nora Aibuka, Akana Kufulia
Staa mrembo wa Bongo Movies, Nuru Nassoro ‘Nora’ ameibuka kutoka mafichoni na kueleza kuwa, hajafulia kama baadhi ya watu wanavyofikiria.
Akistorisha na gazeti la Ijumaa hivi karibuni, Nora ambaye amekuwa kimya kwa muda mrefu alisema anawashangaa watu wanaozusha kwamba amefulia wakati maisha yake anayaendesha kama kawaida.
“Mimi sijafulia jamani, nipo na nitazidi kuwepo na mashabiki wangu wajue kwamba kimya kingi kina mshindo mkuu, kisanii nipo chimbo naandaa mambo mazuri,” alisema...
10 years ago
GPLNORA: SIFIKIRII MAPENZI TENA!