Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NORA: SIFIKIRII MAPENZI TENA!

Brighton Masalu Mwigizaji wa filamu za Kibongo, zao la Kundi la Kaole, Nuru Nassoro ‘Nora’ amesema kwa sasa hafikirii tena kuingia kwenye uhusiano wa mapenzi na kwamba anaamua kuelekeza nguvu na akili zote kwenye kazi. Nora ameliambia Amani kwamba, ameamua kuwa hivyo baada ya kuambulia maumivu mara nyingi katika mapenzi, jambo ambalo limechangia kumdidimiza kisanii.“Sitaki tena kusikia habari za mapenzi, kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

NORA: NILIINGIA VITANI NA JOHARI, KISA MAPENZI!

 Mwigizaji wa kitambo Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’. Stori: Brighton Masalu KUTOKA moyoni! Bila kumtaja mwanaume husika, mwigizaji wa kitambo Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ amekiri kuwahi kuingia vitani na staa mwenzake, Blandina Chagula ‘Johari’ kisa kikiwa ni kugombea penzi la mwanaume mmoja maarufu jijini Dar (jina ni siri yake). Katika mahojiano maalum na gazeti hili, Nora alifunguka kuwa hali hiyo ilitokana na...

 

9 years ago

Bongo Movies

Nora: Naolewa, Nikiachika Tena…!

MUIGIZAJI wa muda mrefu katika tasnia ya filamu Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ yuko katika siku za mwisho za kuhitimisha harakati za kufunga ndoa, huku akijiapiza kuwa, endapo ataachika tena, basi atakuwa na nuksi.

Akipiga stori na paparazi wetu juzi, mmoja wa marafiki wa muda mrefu na Nora, ambaye pia ni msanii wa filamu (jina lipo kwenye droo zetu), alisema kwa sasa Nora yuko ‘bize’ kuhakikisha mambo na mipango ya harusi yake na mwanaume ambaye alitajwa kwa jina moja la Omary inakwenda...

 

9 years ago

Global Publishers

Nora adaiwa kuwa chizi tena!

558246_160632094084448_1672048294_nMwigizaji wa kitambo Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’.

Na Brighton Masalu
NURU Nassoro ‘Nora’ ambaye ni mwigizaji wa kitambo Bongo,anadaiwa kuugua uchizi kwa mara nyingine tena, jambo ambalo amelipinga vikali na kwamba wabaya wake wameendelea kumtakia mabaya katika maisha yake, lakini yuko safi na anaendelea na maisha yake.

Mwanzoni mwa wiki hii, mmoja wa rafiki zake wa karibu aliliambia gazeti hili kuwa, uzushi na uvumi huo ulianza kuenezwa wiki mbili zilizopita, hali iliyosababisha watu wengi,...

 

9 years ago

GPL

NORA: NAOLEWA, NIKIACHIKA TENA…!

Brighton Masalu MUIGIZAJI wa muda mrefu katika tasnia ya filamu Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ yuko katika siku za mwisho za kuhitimisha harakati za kufunga ndoa, huku akijiapiza kuwa, endapo ataachika tena, basi atakuwa na nuksi. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1JnAHiR

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Beyonce na Jay Z mapenzi tele licha ya tetesi kuwa ndoa yao ipo kwenye mawe tena

Tetesi kuwa Beyonce na Jay Z huenda wakawa katika hatua ya mwisho kuachana, hazioneshi kuwa na maana yoyote baada ya kuona picha hizi. Ni wazi kuwa Bey na Jay bado wanapenda na sana. Mastaa hao wanaonekana kuwa bado wapo kwenye mapenzi tele katika picha zinazowaonesha wakitupiana mabusu tele kwenye mapumziko na familia. Mtoto wa Blue […]

 

10 years ago

GPL

Mwaikimba: Sifikirii kustaafu

Aliyekuwa mshambuliaji wa Azam, Gaudence Mwaikimba. Na Martha Mboma
BAADA ya uongozi wa Azam FC kuwaacha wachezaji wake watatu kutokana na kumaliza mikataba yao, aliyekuwa mshambuliaji wa timu hiyo, Gaudence Mwaikimba, amefunguka kuwa licha ya kuachwa ataendelea kucheza soka mahali pengine na hafikirii kustaafu kwa sasa. Azam imeachana na wachezaji hao ambao wamemaliza mikataba akiwemo beki mahiri David Mwantika, Amri Kiemba...

 

9 years ago

Mtanzania

Hemedi: Sifikirii kurekodi video nje ya nchi

hemedi_suleiman_06NA THERESIA GASPER

MSANII wa muziki wa kizazi kipya na filamu za kibongo nchini, Hemedi Suleiman ‘PHD’, amesema hajawahi kufikiria kufanya video za nyimbo zake nje ya nchi kama wafanyavyo baadhi ya wasanii wenye kipato cha juu.

Hemedi, ambaye kwa sasa anatamba na kibao chake cha ‘Memories’, alisema anachofikiria ni kushirikiana na wasanii kutoka nje na si kufanya video nje ya nchi wakati nchini kuna mazingira ya kutosha kunogesha video zake.

“Kitu ambacho kipo kichwani mwangu kwa sasa ni...

 

10 years ago

GPL

TUNDA MAN: SIFIKIRII KUTOKA KIMAPENZI NA WEMA

Na Ibrahim Mussa
MKALI wa kibao cha Msambinungwa, Khalid Ramadhani ‘Tunda Man’, amesema hana mpango wa kutoka kimapenzi na msanii wa filamu za maigizo, mwanadada Wema Sepetu kwa kuwa hawaendani kabisa.…

 

10 years ago

GPL

HAMISA MABETO: SIFIKIRII NDOA, NAKULA UJANA

Stori: Mayasa Mariwata
Mrembo ambaye sasa amejiingiza kwenye filamu, Hamisa Hassan ‘Mabeto’ amesema kwa sasa hafikirii suala la kuolewa kwani bado anakula ujana. Mrembo ambaye sasa amejiingiza kwenye filamu, Hamisa Hassan ‘Mabeto’. Akipiga stori na paparazi wetu, Mabeto alisema bado anajiona mtoto hivyo kuliko kukimbilia maisha ya ndoa bora ale kwanza ujana. “Suala la kuolewa hapa kwangu hata...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani