Hemedi: Sifikirii kurekodi video nje ya nchi
NA THERESIA GASPER
MSANII wa muziki wa kizazi kipya na filamu za kibongo nchini, Hemedi Suleiman ‘PHD’, amesema hajawahi kufikiria kufanya video za nyimbo zake nje ya nchi kama wafanyavyo baadhi ya wasanii wenye kipato cha juu.
Hemedi, ambaye kwa sasa anatamba na kibao chake cha ‘Memories’, alisema anachofikiria ni kushirikiana na wasanii kutoka nje na si kufanya video nje ya nchi wakati nchini kuna mazingira ya kutosha kunogesha video zake.
“Kitu ambacho kipo kichwani mwangu kwa sasa ni...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo504 Nov
Fid Q kwenda kushoot video mpya nje ya nchi, atoa sababu za kwanini alikuwa hafanyi video
9 years ago
Bongo517 Dec
Kwenda kufanya video nje ya nchi ni kama trend tu – Fid Q

Fid Q anaiunga mkono kasi ya wasanii wa Bongo kwenda kushoot video zao nje ya nchi, na kuongeza kuwa inasaidia kufanya watu wafatilie kwa ukaribu ujio wa kazi hiyo.
“Nadhani kwenda kufanya video nje ya nchi ni kama trend tu, unajua wabongo ukisema unaenda kufanya video nje ya nchi tayari wanakuwa wanaisubiria kwahiyo sidhani kama ni kosa, ni kitu kizuri kwasababu kinasaidia mtu kunotice kama kuna kitu ulifanya.” Alisema Fid Q kupitia 255 ya XXL.
“Nimeona wasanii wametoa video hivi karibuni...
10 years ago
CloudsFM04 Nov
FID Q KUSHUTI VIDEO NZURI KWA MARA YA KWANZA NJE YA NCHI
Rapa Fid Q amekiri kuwa hajawahi kuwa na video nzuri kwa zaidi ya miaka kumi aliyokaa katika game ya muziki wa bongo flava hapa Bongo,Fid Q amefunguka mpango wake wa kwenda kushuti video kali kwa mara ya kwanza nje ya nchi.
10 years ago
Bongo516 Oct
Hemedy PHD asema hana mpango wa kufanya video nje ya nchi
9 years ago
Bongo530 Dec
Adam Juma awaunga mkono wasanii wanaoenda kushuti video nje ya nchi

Muongozaji wa video za muziki nchini, Adam Juma wa Visual lab amesema sio jambo baya kwa wasanii wa Tanzania kwenda kufanya video zao nje ya nchi endapo kuna faida yoyote ya ziada wanaipata.
Adam ambaye amekuwepo kwenye industry ya video kwa muda mrefu, ameongeza kuwa kikubwa anachoamini kinawapeleka nje wasanii kufanya video ni kutafuta connection na mawazo mapya na hilo sio jambo baya.
“I think ubora hatuko tofauti sana lakini pia labda ni mawazo mapya, siwezi kusema sio kwamba ubora uko...
11 years ago
Bongo521 Sep
Juma Nature asema hana mpango wa kutoa album wala kushoot video nje ya nchi
11 years ago
Tanzania Daima17 Aug
Walio nje ya nchi waonyeshe kwa vitendo watasaidia vipi nchi
TUMESHAZOEA maneno ya wanasiasa wanapopiga kampeni za kutafuta kuchaguliwa na wananchi. Wengi wao wanakuja na ahadi kemkem kama njia ya kutaka kuwavutia watu kuwa wao ndio wanafaa katika nafasi hiyo...
11 years ago
Michuzi.jpg)
mkutano wa Mawaziri wa Mazingira na Mambo ya Nje kutoka nchi za kamati ya wakuu wa nchi za Afrika kufanyika Agosti 29, jijini Dar
Alitoa rai hiyo alipokuwa akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dar-es-salaam kuhusu mkutano wa Mawaziri wa Mazingira na Mambo ya Nje kutoka nchi za kamati ya wakuu wa nchi za Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi utakaofanyika jijini Dar-es -salaam katika ukumbi wa...