Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUNDA MAN: SIFIKIRII KUTOKA KIMAPENZI NA WEMA

Na Ibrahim Mussa
MKALI wa kibao cha Msambinungwa, Khalid Ramadhani ‘Tunda Man’, amesema hana mpango wa kutoka kimapenzi na msanii wa filamu za maigizo, mwanadada Wema Sepetu kwa kuwa hawaendani kabisa.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Idris Sultan akanusha kuwahi kutoka kimapenzi na Wema Sepetu

Mshindi wa BBA 2014, Idris Sultan amekanusha kuwahi kutoka kimapenzi na Wema Sepetu baada ya kuonekana kuwa karibu zaidi katika miezi kadhaa iliyopita. Akizungumza jana kwenye kipindi cha Mkasi TV kinachorushwa kupitia kituo cha runinga cha EATV, Idris alisema hajawahi kutoka kimapenzi na Miss Tanzania huyo wa mwaka 2006 kama watu wanavyosema. “Kwahiyo mimi nikiwa […]

 

11 years ago

GPL

TUNDA MAN YAMKUTA MAZITO

Na Shakoor Jongo
Memba wa Kundi la Tip Top Connection, Khalid Ramadhan ’Tunda Man’ amekutwa na mauzauza baada ya kupokea simu yenye namba zinazodaiwa kuwa za ajabu na kumsababishia atokwe damu puani, mdomoni na kupooza upande mmoja. Memba wa Kundi la Tip Top Connection, Khalid Ramadhan ’Tunda Man’ akiwa katika Hospitali ya Palestina. Chanzo makini kilicho karibu na msanii huyo ambacho kilikuwa...

 

10 years ago

GPL

VIBAKA WAMLIZA TUNDA MAN

Issa Mnally
VIBAKA ambao hawakufahamika mara moja mwishoni mwa wiki iliyopita, walivunja kioo kidogo cha gari la nyota wa Bongo Fleva, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’ na kumkomba vitu mbalimbali vikiwemo power window, kompyuta mpakato na fedha katika tukio lililotokea Kigamboni, jijini Dar es Salaam. Nyota wa Bongo Fleva, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’. Katika usiku ambao msanii huyo ilikuwa apande na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tunda Man: Ukata ni tatizo

MSANII wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tip Top Connection, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’, amesema kinachomfanya ashindwe kufanya mambo makubwa kwenye muziki ni ukata wa pesa. Akizungumza jijini Dar es...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Tunda Man – Mama Kijacho

MAMA-KIJACHO

Msanii Tunda Man ameachia wimbo mpya unaitwa “Mama Kijacho”. Studio A.M Records

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

GPL

TUNDA MAN ATINGA GLOBAL TV ONLINE

Msanii wa Bongo Fleva, Tunda man akifanya mahojiano na Global TV online jioni ya leo. Mtangazaji wa Global TV Online, Pamela Daffa (kushoto) akiwa na Tunda man wakiendelea na kipindi cha Mtu Kati.…

 

9 years ago

Bongo5

Music: Delilah Ft. Tunda Man — Kichuna

Wimbo mpya wa msanii Delilah amemshirikisha Tunda Man Studio Rubi Records Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Tunda Man aulilia msamaha wa Matonya

Matonya na Tunda Man

Tunda Man amedai yupo tayari kumpigia magoti Matonya ili wamalize tofauti zao zilizodumu kwa kipindi kirefu.

Matonya na Tunda Man

Muimbaji huyo ambaye ameachia wimbo mpya, Mama Kijacho hivi karibuni, amekiambia kipindi cha Friday Night Live cha EATV kuwa ameshachoshwa na kusikia kuhusu masuala ya kutoelewana.

“Nilimpigia simu akanitukana matusi mengi sana mpaka leo sipati jibu kwanini,” alisema. “Nilimpigia simu ili nijue tunafanyaje kuhusu video ya wimbo tuliofanya pamoja kwa sababu kuna sehemu nilipita...

 

9 years ago

GPL

NAKUSOGEZEA 3 ZA TUNDA MAN MWEZI HUU

Staa wa Bongo Fleva, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’ STAA wa Bongo Fleva, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’ anatarajia kuachia ngoma zake tatu kwa mpigo alizowashirikisha mastaa wakubwa ndani na nje ya nchi mwezi. Tunda aliitonya Global Showbiz kuwa ngoma hizo ni Jiachie aliyomshirikisha Diamond Platnumz, Debe Tupu aliyomshirikisha msanii mkubwa nchini Nigeria (Jina linahifadhiwa) pamoja na Mama Kijacho...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani